Kilwa94
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 2,744
- 3,175
Congo bado hakuna polisi wanaohudumu kule ila Darfur na Sudan kusini wapo.Pia naomba ufahamu kuwa deployment of policemen depends on UN bajeti,mlinzi wa amani wa kipolisi huwa analipwa hela nyingi sana tofauti na wa jeshi, utaratibu wa kimataifa ni kwamba polisi hulipwa na UN wkt mwanajeshi hulipwa na nchi yake alikotokea na hulipwa kulingana na cheo.kwahiyo bajeti ikiwa powa hivi karibuni Polisi wataanza kupelekwa huko Congo.Uko kulinda amani majukumu yao yanafanana?
Sory kuna police wapo congo kulinda amani km jw?
Tuanzie apo