RPC Arusha na ulinganishi wa vyeo JWTZ na PT

RPC Arusha na ulinganishi wa vyeo JWTZ na PT

Kozi za police na jw azifanani polisi awajui kutumia Silas nzito kama makombora, kutegua milipuko na nk
Na ndio maana jeshi lipo kwa kazi hizo ambazo haziwezi kufanywa na mamlaka za kiraia.
 
Na kwa taarifa yako vifaru mpka umalize recruit course Kwanza na si wanajeshi wote wanajua vifaru au mizinga jeshin Kuna vitengo tofauti

Mnapokuwa recruit mnafundishwa basic na ndio maana wakitoka wanagawanywa kwenda kwenye vikosi husika kisha wanaenda kozi za mizinga au vifaru na koz nyingne kulingna na kikosi
Hueleweki unatetea nini au unabishia nini hueleweki kabisa. Jeshi limeitwa jeshi kulingana na majukumu yake pamoja na uwezo mkubwa kwenye silaha dhidi ya maadui wa nchi.
 
Na si jwtz wote wanajua kutegua mabomu nadhani watu hawaelewi mambo Katika basic kila kitu huwa sawa utofauti unakuja baada ya kumaliza recruit tu
Ila polisi wote wanajua kupokea hela ya kubrashi viatu [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
 
Kamisheni, mkuu hii ni itifaki tu ya kimataifa, nchi kama Rwanda, Rais anatoa kamisheni kwa afisa wa polisi nyota moja. Kwahiyo unaona ushuhuda hapo.
Hiyo ni Rwanda sio Tanzania. Hata India Polisi wanakwenda Cadet kama Jeshi Na ndio maana wanaheshimiana kwasababu wote wanajua walihenya kwenye kupata vyeo na sio vyeo vya kupewa bila kuvitafuta kwa jasho.
 
Uko kulinda amani majukumu yao yanafanana?
Sory kuna police wapo congo kulinda amani km jw?
Tuanzie apo
Jukumu la kulinda amani ni jukumu la polisi ila kwa vile uwezo wao kwenye silaha ni mdogo, na kwa vile waasi mara nyingi hutumia silaha nzito ndipo jukumu hilo likarasimishwa kwa jeshi, kwa maana jeshi wao kwenye silaha wana uwezo kisilaha dhidi ya waasi. Polisi wao wamebaki kudeal na raia tu. Hata hapa nchini idadi ya polisi ni ndogo na hawatoshelezi je wakiambiwa waandae battalion nzima kwa ajili ya ulinzi wa amani! Hawatoweza. Ndio maana kwenye ulinzi wa amani polisi wanakuwepo hawazidi 10. Na pia ni kwa ajili ya majukumu ya mamlaka zao za kiraia.
 
Wewe ndio jinga kabsa la mwisho maana hujui hata katiba ya nchi yako kwamba inayatambua kuwa kuna Jeshi la wananchi, Jeshi la Polisi na Jeshi la Magereza
Katiba siyo msahafu. Katiba nayo ina mapungufu. Neno Jeshi haliwezekani kutumika kwenye Magereza wala Polisi.

Mimi nakufafanulia kitaalamu. Istilahi neno Jeshi kwa Tz linavyotumika na maana yake ni tofauti kabisa. Tz Polisi kwa kingereza linaitwa Tanzania Police Force.

Neno Force ndipo lilipowachanganya kwa lugha ya Kiswahili, wao wametafsiri kama Jeshi. Force kwa police ni Enforcement of the law.

Kwa maana wanawafanya watu wafuate sheria kwa wale wanaovunja sheria, ndiyo maana wana deal na raia. Ndiyo maana inapotokea ghasia Police huwa wana restore order ili kuleta amani na usalama ndani ya nchi.

Ukija kwenye TPDF imeandikwa kabisa ni armed forces in Tanzania. Wakati ukiangalia Tanzania Police force huwezi kukuta imeelezewa kama armed forces.

Kwa nini iwe hivyo? Jawabu ni kutokana na majukumu yao. Kwa hiyo Police siyo Jeshi! Police ni idara tu inayoshughulika na usalama wa raia na mali za raia.

Ukibisha, Tuambie maana ya Jeshi ni nini?
 
unajua shida ni kwamba,wapo watu fulani wajinga hili swala linawauma sana[emoji16][emoji16].sijui kanini?

us wana army,tz mbona hatutumii hili neno kama tunafanana majukumu?

katiba inasema wazi,kutakuwa na jeshi la ulinzi la wananchi wa tz,unaelewa maa yake?
kutakuwa na jeshi la polisi tz,unaelewa maana yake?
Nini maana ya Jeshi?
 
Katiba siyo msahafu. Katiba nayo ina mapungufu. Neno Jeshi haliwezekani kutumika kwenye Magereza wala Polisi.

Mimi nakufafanulia kitaalamu. Istilahi neno Jeshi kwa Tz linavyotumika na maana yake ni tofauti kabisa. Tz Polisi kwa kingereza linaitwa Tanzania Police Force.

Neno Force ndipo lilipowachanganya kwa lugha ya Kiswahili, wao wametafsiri kama Jeshi. Force kwa police ni Enforcement of the law.

Kwa maana wanawafanya watu wafuate sheria kwa wale wanaovunja sheria, ndiyo maana wana deal na raia. Ndiyo maana inapotokea ghasia Police huwa wana restore order ili kuleta amani na usalama ndani ya nchi.

Ukija kwenye TPDF imeandikwa kabisa ni armed forces in Tanzania. Wakati ukiangalia Tanzania Police force huwezi kukuta imeelezewa kama armed forces.

Kwa nini iwe hivyo? Jawabu ni kutokana na majukumu yao. Kwa hiyo Police siyo Jeshi! Police ni idara tu inayoshughulika na usalama wa raia na mali za raia.
Uko sawa tatizo ni wengi wanashindwa kuelewa istilahi ya neno force, wakati jeshi iko rasmi ni armed forces
 
Tanzania kuna vyombo vya ulinzi na usalama, polisi, uhamiaji, magereza, zimamoto na uokoaji wote hao wako kwenye usalama. Wapo kwenye wizara moja (Wizara ya mambo ya ndani).
Jeshi la ulinzi la wananchi wa Tanzania pekee lipo kwenye wizara ya ulinzi. Na ndio jeshi kwa maana jeshi liwe limekamilika kwenye vifaa vyenye nguvu dhidi ya adui na kwa vile ulinzi wake ni kwa nchi dhidi ya maadui tofauti na polisi ambao wanaangalia usalama wa raia, uhamiaji ambao wanaangalia usalama wa raia pamoja na kuzuia wasio raia kuingia nchini kwa njia zisizo rasmi, magereza wanawalinda wenye makosa mbali mbali zimamoto na uokoaji wako tayari kwa ajili ya kuzuia/kudhibiti majanga mbali mbali. Wote mnaobishana hapa mnatakiwa mjue vitu vidogo kama hivi ili walau mbishane kwa kujua sio kichwa kichwa tu.
Polisi ni polisi popote pale duniani na sio jeshi la polisi, kwa vile halina silaha zenye nguvu kama majeshi rasmi.
 
Hiyo ni Rwanda sio Tanzania. Hata India Polisi wanakwenda Cadet kama Jeshi Na ndio maana wanaheshimiana kwasababu wote wanajua walihenya kwenye kupata vyeo na sio vyeo vya kupewa bila kuvitafuta kwa jasho.
Na hawa watu wanatakiwa kuhenya kama India
 
Ukiwaambia walete maana ya neno Jeshi hata kwa kamusi ya Kiswahili watakimbia humu.
Jeshi
Force
Army
Military
Haya maneno yana maana pana sana ila kila moja linatakiwa litumike sehemu sahihi. Mfano jeshini kuna Polisi jeshi anaitwa Military police je kama polisi ni jeshi wana Military police? Je wanaitwaje? Vichekesho kweli kweli [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
 
Hiyo ni Rwanda sio Tanzania. Hata India Polisi wanakwenda Cadet kama Jeshi Na ndio maana wanaheshimiana kwasababu wote wanajua walihenya kwenye kupata vyeo na sio vyeo vya kupewa bila kuvitafuta kwa jasho.
Magereza, polisi hawapew vyeo mezani wote wanakwenda henyea Katika vyuo vyao kuanzia cpl hadi 3 nyota huko juu mavyeo yao yanaendelea Kama kawa kupewa kwa mujibu wa sheria wa rais wa jamhur ya muungano wa Tanzania
 
Na hawa watu wanatakiwa kuhenya kama India
Hawawezi wameshazoea ubwanyenye! Mwaka 2007 walipelekwa pale SMI kwa ajili ya kozi ya uongozi, unaambiwa ndani ya wiki wote walikimbia [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
Na nahisi msongo wa mawazo unawasumbua kwa vile polisi kwao ni ngumu sana kupanda vyeo, unakuta mtu ana miaka zaidi ya 20 kazini eti ndio anakuwa Koplo. Wakati jeshini ni kozi na elimu yako tu vinakubeba. Jwtz ndio jeshi haya mengine ni vyombo vya usalama wa raia.
Hata nembo rasmi ya polisi inajieleza
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
images.jpeg
 
Magereza, polisi hawapew vyeo mezani wote wanakwenda henyea Katika vyuo vyao kuanzia cpl hadi 3 nyota huko juu mavyeo yao yanaendelea Kama kawa kupewa kwa mujibu wa sheria wa rais wa jamhur ya muungano wa Tanzania
Vitaje hivyo vyuo.
 
Tena acha uongo kabisa, sio kama siwapendi, vitaje hivyo vyuo vya polisi vinavyoendesha kozi ya uongozi mdogo (Jnr) na kozi ya uongozi mkubwa (Snr)
Nimekulia kota za polisi sio kama nabuni polisi wwngi vyeo vyao ni vya kupewa, umefanya kazi vizuri mkuu wa kituo kapenda unapewa cheo. Hata kwenye kuachishwa kazi polisi wengi mkuu wa kituo tu anaweza kuwafuta kazi.
 
Back
Top Bottom