Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,740
- 76,381
We ni mjinga na usiyependa kueleweshwa,Kwani we ujaelewa nini apo? Jwtz askar asiye na cheo anaitwa private, akipewa mfano, V moja anatwa koplo, akipata V ya pili anaitwa lansi koplo ukimuona askar ana V 2 uyo ni lans koplo, akipanda cheo akiongezewa V nyingine jumla zikafika3 anatwa sajent, akipanda cheo tena v zitakuwa 3 na juu ya **** bibi na wana uyo sasa aitwi sajent tena anaitwa staff sajent, akipanda cheo tena atapewa cheo kinaitwa W Oll wenyewe wanaita kolokolo,iko cheo ata vaa mkonon kama saa wanakiita saaeja, akipanda cheo tena anaitwa alaisiem nacho kina valiwa mkononi kama saa sema utofauti ni rangi tu kijani na nyendu.
Vyeo vyenyewe huvijui ila unabwabwaja tu!
V1 - Lansi koplo
V2 - koplo
V3 - Sajenti
V3 na ngao ya ikulu - Staff sajenti
Huyo unaesema anavaa kama saa mkononi wapo wa aina mbili kulingana na vyeo, kuna
Afisa mteule daraja la pili - anavaa lile lisaa ndani lina chata ya mwenge
Afisa mteule daraja la kwanza nae pia anavaa mkononi tofauti yake na wa daraja la pili lisaa lake yeye ndani lina chata ya ikulu.
Tatizo unageuza!
Prove me wrong if you can! Shubbamit