RPC Arusha na ulinganishi wa vyeo JWTZ na PT

RPC Arusha na ulinganishi wa vyeo JWTZ na PT

Maelekezo ya kutovaa hivyo vyeo yalitoka juu, na hii kitu inawezekana tu Polisi kuvaa hivyo vyeo mfano S.Africa hata Sudani na huko nchi za kiarabu, polisi hutumia vyeo vya jeshi.
Luten badala ya inspector
Capt " Asp....n.k
Je wanatumia vyeo tu au ni para military?
 
Ni kwel mkuu polisi kupande cheo ningumu sana kuliko ngamia kupenya kwe tundu lasindano tofauti na Jwtz vijana wadogo utawaona wana nyota au V ambapo ukienda polisi nivingumu kumkuta kijana ana miaka27 ana nyota au ata V3 , ninge mshauli Rais awapeleke viongoz wa jwtz wakaibadilishe polis kwenye utaratibu wakupanda vyeo.
Polisi polisi tu wakorofi haiwezekan ivyo
 
Mjadala kwisha!!
Saivi kitu muhimu ni kumiliki hela bana mambo ya sijui jeshi sijui idara hii kitu ni ya kikoloni.
Nadhani upo sahihi sana.Hawa vijana junior ndio hawaelewi.Maofisa wala hawana hizo Propaganda maana wengi ni Wasomi wazuri.
Utakuta mtu yupo getini lakini anamdharau mkuu wa gereza wakati anatembelea VX na watoto wake wanasoma international School.
Yaani una msikiliza halafu unabaki kushangaa tu.
 
Hawawezi wameshazoea ubwanyenye! Mwaka 2007 walipelekwa pale SMI kwa ajili ya kozi ya uongozi, unaambiwa ndani ya wiki wote walikimbia [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
Na nahisi msongo wa mawazo unawasumbua kwa vile polisi kwao ni ngumu sana kupanda vyeo, unakuta mtu ana miaka zaidi ya 20 kazini eti ndio anakuwa Koplo. Wakati jeshini ni kozi na elimu yako tu vinakubeba. Jwtz ndio jeshi haya mengine ni vyombo vya usalama wa raia.
Hata nembo rasmi ya polisi inajieleza
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1202075
Waliacha nyoya nakumbuka hii
 
jwtz nalo lina binaadamu.hatuwezi kuwa tunawaza wawe malaika kila sehemu.

viongozi wa jeshi la polisi tunaweza wafananisha na nzi,hawatengenezi asali sababu ya mizaha na kutofocus mambo ya msingi,ni kuwa tu hawako serious ila uwezo wanao.

hata jwtz wenyewe huwa wanawashangaa.
Point
 
Jeshi lolote duniani lazima linakuwa na Military Police (Polisi jeshi) sasa nashangaa kwa hawa polisi, polisi jeshi kwao sijuii watawaitaje! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
Jeshi lina military Police (Mp). Ukifikiri kwa Haraka utasema jeshi lipo kamili kwa vile lina polisi jeshi lakini si hivyo. Jeshi lina MP kwa vile jeshi chombo kamili kuanzia ulinzi hadi kihuduma it means lina hospitali, shule bank, polisi wao, utawala wao n.k.

Swali kwanini PT hawana Military Police? Kwanza PT hawana mafunzo ya medani hiki ni kigezo kabsa cha kutokuwa na MP, coz sifa kuu ya militari ni uwe umefuzu medani.
 
HAWA KAJAMBA NANI NAO WANAJILINGANISHA NA JWTZ?
POLISI NI RAIA WANAOVAA MAGWANDA A.K.A MSOKOTO WA BANGI NA KIROBA.!
POLISI WAENDELEE TU KUTULINDIA HELA ZETU HUKO KWENYE MABANK
 
Nadhani RPC Huyo yupo sahihi.
Swala la kamisheni au hajakamisheni halina nafasi hapo.Alichomaanisha ni kwamba kwa mamlaka aliyonayo,anamwajibisha Mwanajeshi yeyote aliyetenda kosa isipokuwa Brig.General na kwenda juu.
Swala la kwamba vita imetokea na nani anaenda kuongoza kikosi halina nafasi hapa.
Kwaiyo anaweza aka mvua cheo askar wa jwt mfano V?
 
IGP anaweza kuwa mkubwa CDF maana IGP ana msafar wa pikipiki na akitaka kwenda sehem traffic wanasimamisha magar, wakati mkuu wa majeshi yeye anatembea barabaran kama Raia wakawaida.
 
Jeshi lina military Police (Mp). Ukifikiri kwa Haraka utasema jeshi lipo kamili kwa vile lina polisi jeshi lakini si hivyo. Jeshi lina MP kwa vile jeshi chombo kamili kuanzia ulinzi hadi kihuduma it means lina hospitali, shule bank, polisi wao, utawala wao n.k.

Swali kwanini PT hawana Military Police? Kwanza PT hawana mafunzo ya medani hiki ni kigezo kabsa cha kutokuwa na MP, coz sifa kuu ya militari ni uwe umefuzu medani.
Mtu asie na mafunzo ya kimedani anakuwaje mwanajeshi? [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
Kiitifaki ya kupigiwa saluti,Commisioned officer (CP) wa polisi ni sawa na commisioned officer (2lt wa nyota moja) wa Jwtz.

Chini ya Commisioned rank, vyeo hivyo huitwa other ranks.

Kwa hiyo kwa cheo chake cha ACP ukilinganisha na Jwtz ni cheo cha pili kurudi chini ya commisioned officer ambacho ni Warrant officer class2 na hata mishahara ukiichunguza inalingana.

Asijikweze, sababu hata vita vikizuka, akishikizwa jeshini, lazima atapewa mafunzo (refresher) wakufunzi wakiwa ni hao other ranks na atakasimiwa na kuvishwa vyeo vya other ranks na hilo halina ubishi ni kanuni.

Halafu tukija kwenye sheria za kijeshi (military defence act) hao civilian police ni idara za kiraia zinazofanya kazi zinazofanana na za kijeshi, wakiwemo magereza na zimamoto.
Hivyo Jwtz hawaruhusiwi kumkamata raia na kumuweka rumande za jeshi akiwemo yeye, kwa sababu anahesabika kuwa ni raia kwenye vitabu vya sheria za majeshi.
We kihiyo!! Unawalinganisha kwa misingi ipi? Cheo dhidi ya nani?
 
Back
Top Bottom