RPC Arusha na ulinganishi wa vyeo JWTZ na PT

RPC Arusha na ulinganishi wa vyeo JWTZ na PT

Kiitifaki ya kupigiwa saluti,Commisioned officer (CP) wa polisi ni sawa na commisioned officer (2lt wa nyota moja) wa Jwtz.

Chini ya Commisioned rank, vyeo hivyo huitwa other ranks.

Kwa hiyo kwa cheo chake cha ACP ukilinganisha na Jwtz ni cheo cha pili kurudi chini ya commisioned officer ambacho ni Warrant officer class2 na hata mishahara ukiichunguza inalingana.

Asijikweze, sababu hata vita vikizuka, akishikizwa jeshini, lazima atapewa mafunzo (refresher) wakufunzi wakiwa ni hao other ranks na atakasimiwa na kuvishwa vyeo vya other ranks na hilo halina ubishi ni kanuni.

Halafu tukija kwenye sheria za kijeshi (military defence act) hao civilian police ni idara za kiraia zinazofanya kazi zinazofanana na za kijeshi, wakiwemo magereza na zimamoto.
Hivyo Jwtz hawaruhusiwi kumkamata raia na kumuweka rumande za jeshi akiwemo yeye, kwa sababu anahesabika kuwa ni raia kwenye vitabu vya sheria za majeshi.
Sasa unalinganishaje vyeo vya kiraia na jeshi?
 
Wengi humu wanabishana kwa lengo la kujitetea, minjagu [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wakati hata kirefu cha neno POLICE hawakijui, ngoja niwape elimu kidogo[emoji38][emoji38][emoji23][emoji23]
POLICE
Protection
Of
Life and
Investigating
Criminals
Establishment
 
Sasa unalinganishaje vyeo vya kiraia na jeshi?
Tatizo wengi hawajui kuhusu Constabulary [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
Tatizo wengi hawajui kuhusu Constabulary [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
Una elimu gani wewe mbaka kuwachukulia polisi wote ni mbumbu eti washindwe kufahamu ilo neno 'constabulary'
Polisi Tz haina hili neno ila nchi kama Pakistan polisi wake wanatumia hilo neno.
 
Police ni wakubwa kwasababu wanamiliki lock up.

Ukistaafu jeshi/ police/ magereza/ uhamiaji, hautaondoka na vyeo vyako kwenda navyo nyumbani, Bali utaondoka na tumali ulivyochuka wakati wa utumishi.

Mwenye pesa ndio mkubwa, hao wawaza vyeo nadhani ni wajinga.
 
Ujeshi misifa siku hizi sio deal sifa ni mshiko na unapata muda wa kutumia hizo hela wewe na familia.SALUTE NI NZURI KWA WAFUASI WAKO TU ILA SI LAZIMA UESHIMIKE NJE YA HIMAYA YAKO.
Mjadala kwisha!!
Saivi kitu muhimu ni kumiliki hela bana mambo ya sijui jeshi sijui idara hii kitu ni ya kikoloni.
 
Jeshi la faya wenzangu mpo? Tuacheni kudhauriana.
 
Barati angewamaliza [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mtu asie na mafunzo ya kimedani anakuwaje mwanajeshi? [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
Anakuwa raia mkakamavu
 
Una elimu gani wewe mbaka kuwachukulia polisi wote ni mbumbu eti washindwe kufahamu ilo neno 'constabulary'
Polisi Tz haina hili neno ila nchi kama Pakistan polisi wake wanatumia hilo neno.
Huo ndio muundo wanaotumia polisi, ndio maana maafisa wake ni gazzeted tu kwa maana ni sawa na maafisa kilimo, maafisa mifugo, maafisa afya au hata maafisa elimu mfumo wao hausupport kuwa ni jeshi. Pili uliongelea kwa nchi kama South Africa kuwa wanatumia mfumo wa vyeo vya kijeshi nilikuuliza swali langu hukujibu, nalorudia tena, je South africa wanatumia vyeo tu vya kijeshi au wao mfumo wao wa kipolisi ni Paramilitary?
 
Una elimu gani wewe mbaka kuwachukulia polisi wote ni mbumbu eti washindwe kufahamu ilo neno 'constabulary'
Polisi Tz haina hili neno ila nchi kama Pakistan polisi wake wanatumia hilo neno.
Hata IGP anajulikana kama Constable general. Sasa we kataa. Kama hujui kitu uliza au ingia kajisomee kwenye Police General OrdersView attachment sheria ya polisi.pdf
 
Ko kutembea na pikipiki ndiyo kuwa mkubwa?
Ukitaka kuwa na msafara hata wewe unaweza..
Ni pesa yako tu!!
Ya kupata scot
IGP anaweza kuwa mkubwa CDF maana IGP ana msafar wa pikipiki na akitaka kwenda sehem traffic wanasimamisha magar, wakati mkuu wa majeshi yeye anatembea barabaran kama Raia wakawaida.
 
Hata IGP anajulikana kama Constable general. Sasa we kataa. Kama hujui kitu uliza au ingia kajisomee kwenye Police General OrdersView attachment 1203052
Constaburaly meaning that is "non-paramilitary (police) force consisting of police officers called constables. This is the usual definition in the United Kingdom",
Kwamujibu wa wikipedia. Sasa uraia hapo upo wapi!!
 
Polisi ya South African ni paramilitaly
Huo ndio muundo wanaotumia polisi, ndio maana maafisa wake ni gazzeted tu kwa maana ni sawa na maafisa kilimo, maafisa mifugo, maafisa afya au hata maafisa elimu mfumo wao hausupport kuwa ni jeshi. Pili uliongelea kwa nchi kama South Africa kuwa wanatumia mfumo wa vyeo vya kijeshi nilikuuliza swali langu hukujibu, nalorudia tena, je South africa wanatumia vyeo tu vya kijeshi au wao mfumo wao wa kipolisi ni Paramilitary?
 
Tatizo wengi hawajui kuhusu Constabulary [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
"A large police force organised and trained along military lines, which may contain military elements"

Wasomi huwa tunajibu kwa facts
 
Labda tuongelee neno Commisioner. Je police ni wakati gani anakuwa commissioned na mwanajeshi anakuwa commisioned wakati gani. Hii inajulikana. Luteni usu anakuwa commisioned so he is a commisioner from nyota moja
Kipolisi NCO Ni RSM Kushuka chini, Inspector ni Commisioned Officer, IGP au Waziri husika anaweza kutoa Kamisheni kwa niaba ya Rais.
 
Constaburaly meaning that is "non-paramilitary (police) force consisting of police officers called constables. This is the usual definition in the United Kingdom",
Kwamujibu wa wikipedia. Sasa uraia hapo upo wapi!!
Usiseme kwa mujibu wa United Kingdom, Tulitawaliwa na mwingereza na hata hivyo mfumo mzima wa Polisi ni ule ule uliorithiwa kutoka kwa mwingereza
 
Back
Top Bottom