ngulyavyangu
JF-Expert Member
- Jan 9, 2019
- 203
- 266
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Police acheni umbumbu na kujikweza.
Kwanza km wewe ni raia unafatilia huu uzi jua Kwamb majukumu ya police na tpdf hayalingani.
Police jukumu lake kulinda raia na Mali zao.
Majukumu ya jeshi ni kulinda mipaka ya nchi na kulinda raia na mali zao endapo police Watashindwa kutekeleza majukumu yao....
Ulinganifu wa vyeo..
Kwakua majukumu ya police na jeshi hayalingani, ivyo basi vyeo vyao navyo havilingani.
Kwa nchi za wenzetu police ni idara sio force ivyo ni rahisi kutofautisha vyeo na majukumu yao.
Hoja ya msingi..
Kijeshi private wa jeshi la wananchi anatakiwa amsarute police kuanzia kamishna officer.
Kwasababu kapewa kamisheni na raisi...
Ivyo basi luten usu wa jeshi ni sawa na kamishna wa police au magereza au uhamiji.
Swali kwa police km kijeshi vyeo vya police na jeshi vinalingana je askari police mwenye nyota moja anakamisheniwa na raisi?
Askari anapopiga salute apigii nyota apigia salute ile camisheni ivyo anapiga salute kwa niaba ya raisi alie mkamisheni.
Ndio maana cadet officers endipo raisi akiwa amesafiiri hata km wamemaliza mafunzo watamsubiri hadi harudi.
Hoja kuu
Vyeo vya kipolice vipo kiutawala
Vyeo vya kijeshi vipo kiutwala kivita.
Huyo RPC naposema yupo juu ya conel anajua kwamba conel anaongoza battalion in battle Field?
Kwa skills zake zafunzo anaweza kuongoza battalion?
Leo hii gazetted officers sijui inspector sijui meja uanze kuwafanisha na luten wa jeshi?
Tusingalie nyota.
Km yote ni majeshi tuwapime kiutendaji wao kivita sio vyeo vya mabegani, vyeo vinaweza kufanan ila kuna utofauti wa upatiknaji wake hata majukumu bila kusahau taasisi ni tofauti kabisa kiutendaji.
Kifupi huyo RPC karopoka.kijeshi yeye ni sawa na coplo.
Alafu kuna vyeo na madaraka, wale ma afisa wa jeshi waliopewa madaraka kwenye taasisi furani wakawa chini ya baadhi ya maafisa wa police aimaanishi kwamba wapo chini.
Yale ni madaraka nje ya majukumu ya jeshi
Police wapambane na magereza