rejea post niliyokunukuu,usibishane tu sababu umeshiba mkuu.
nimekuuliza wanavaa mikanda ya rangi ya nini[emoji16][emoji16],kama ulivyosema.umesema jeshi likichukua nchi polisi,na wengine wanaambiwa wakae nyumbani.nikakazia wakati huu ambapo halijashika nchi,linatii mamlaka iliyopo,halitajipambanua wazi wazi,na kuonyesha mabavu au ubabe wake kwa vyombo vingine vya serikali.
sasa basi kwa wakati huu ambao kila kitu kiko sawa,jeshi ni tiifu na halijiongozi na kujiamulia nini linataka,bali kile limeelekezwa na mkuu wa mamlaka anayefuata katiba na sheria zake.ndio maana tukisema mwaka huu hakuna kozi,ni hivyo wala hakuna kima yeyote anakoroma,ni amri halali hiyo.