Inferior Complex
JF-Expert Member
- Oct 17, 2014
- 3,655
- 5,042
KOLOKOLONI hebu msome mwenzako
@ngulyavyangu
@ngulyavyangu
Kikubwa kwa nani?.Captain ni Cheo konachoongoza Company tu kwenye uwanja wa vita na ndivyo ilivyo kwenye Polisi na katika utendaji wa kawaida Nyota tatu anaongoza vituo vya Polisi vikubwa tu kama vile central .kwenye mafunzo huko majeshini Nyota tatu ndiyo anaongoza company na ndiyo ilivyo kwa majeshi yote wanaongoza company sasa unaposema captain ni mkubwa sana nauliza mkubwa sana kwa nani? Bila shaka mkubwa kwa Nyota mbili kushuka chini .bila shaka umeelewa kuwa captain ni mkubwa kwa MTU mwenye Nyota mbili kushuka chini .Halafu bunge linaakili sana likasema mwenye mamlaka ya kutawanya maandamo ni hakimu au askari polisi au askari wa jwtz mwenye nyota moja na kuendelea hapo bila kupepesa macho wamelinganisha vyeo sasa nyie watenda kazi kwanini mnatokwa na povu au neno commissioned officer linawachanganya kumbukeni hata hakimu na mawakili ni makamishina na kwa maana hiyo wapo mapolisi wanavyeo vya constable ni mawakili hivyo nao ni commissioned .Haaaaaaaaa kuwa makini sana usichanganye siasa na jeshi .Sasa wewe unataka kumfananisha High commissioner wa Tanzania aliyopo Marekani au Burundi na Luten Usu Ohh shit .Nendeni mkaangalie basi hata mshauri wa mgambo pale wilayani anacho cheo gani kwenye ofisi ya mkuu wa wilaya "Mshauri wa Mgambo wa wilaya ya Shinyanga Meja Ford Mwakasege ".Haaaaaaa yaani yupo chini mkuu wa wilaya kitu ambacho mkuu Huyo wa wilaya hawezi kumpa amri ACP ambaye ni RPC mkoa wa Shenyanga wakati huo huo anampa amri Meja Ford Mwakasege wa Jwtz .Sasa bado mnabisha tu. Nyie askari ukiona ACP ni mtu anayeongoza mkoa na kuendelea .Ukiona ASP,SP, SSP ni mtu anayeongoza vikosi ndani ya wilaya mfano OCD ni SSP au SP hivyo hivyo kule jeshi la wananchi ni Captain,Meja na Luten Canal hao pia majukumu yao yapo ngazi ya Wilaya na vikosi au kambi .Sasa kwa Mtu kama Shana kusema vile yupo sahihi sana maanana anaongoza kikosi cha FFU ARUSHA,TRAFFIC ARUSHA,GENERAL DUTY ARUSHA, CID ARUSHA, CRT ARUSHA Pamoja na Shughuli zote za ulinzi na Usalama. Ikumbukwe mabomu mbagala,Gongo la mboto Aliyekuwa anasikilizwa na wananchi ni kamanda wa kanda Maalumu ila tukio limetokea ndani ya Kambi ya jeshi jwtz umewahi kujua alikuwa anatoa taarifa wapi wakati alikuwa ajafikia hata kamishina kamili wa polisi.Kumbuka tena kwenye kamati ya Ulinzi na usalama ya Taifa wanaongia ni CDF,IGP,kamishina General wa Magereza,MKurugenzi usalama wa,Taifa,Kamishina wa Uhamiaji,Kamishina wa zimamoto ,Mkurugenzi wa Takukuru pamoja na wale wote wenye vyeo kimoja kurudi nyuma wanaongoza idara za mambo ya ulinzi na usalama kama Upelelezi wa jinai DCI, .Kutokana na vyeo vya Polisi kamishina wa polisi CP ndiyo cheo kinachofuata hivyo anaingia kwenye kamati ya ulinzi Je unafikiri kamishina wa Polisi anafanana na Luten Usu au Luten Je Luten Usu anaingia kwenye hiyo kamati ya Ulisi na Usalama?.Fikiri kwa kina upanuke kimawazo. Maisha anayoishi Kamishina wa Polisi yanafanana na Luten?bila shaka gap ni kubwa kupindukia .Sasa nyie askari wazeni kiakili siyo kijingjinga na kitoto.Acheni ligi za kijinga .Mimi huwa naona na kusikia Mapolisi wakirushiana Risasi na majambazi na wakifanikiwa kuwapata unakuta majambazi yenyewe yalikuwa askari ya Jw sasa napata tabu kama hawa jw wanamafunzo makali kwanini wanakamatwa wanapoingia kwenye Uhalifu.Ooohh shit hole. Unakuta askari wa usalama barabarani 1 anaongoza magari kwenye mataa wanashuka askari wa JW Lori zima kwenda kumshambulia sasa kama hawa ni imara sana kwanini lorry zima kwa Traffic mmoja hapo huwa napata tabu sana. Kutokea sasa naanza kuamuni huko majeshi ni kina madhaifu makubwa sana kwenye silabasi zao maana hawafundishwi jambo lolote kuhusu majeshi mengine mwisho wa siku askari wanauwana na wengine kuishia jela. Mchana mwema.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Police acheni umbumbu na kujikweza.
Kwanza km wewe ni raia unafatilia huu uzi jua Kwamb majukumu ya police na tpdf hayalingani.
Police jukumu lake kulinda raia na Mali zao.
Majukumu ya jeshi ni kulinda mipaka ya nchi na kulinda raia na mali zao endapo police Watashindwa kutekeleza majukumu yao....
Ulinganifu wa vyeo..
Kwakua majukumu ya police na jeshi hayalingani, ivyo basi vyeo vyao navyo havilingani.
Kwa nchi za wenzetu police ni idara sio force ivyo ni rahisi kutofautisha vyeo na majukumu yao.
Hoja ya msingi..
Kijeshi private wa jeshi la wananchi anatakiwa amsarute police kuanzia kamishna officer.
Kwasababu kapewa kamisheni na raisi...
Ivyo basi luten usu wa jeshi ni sawa na kamishna wa police au magereza au uhamiji.
Swali kwa police km kijeshi vyeo vya police na jeshi vinalingana je askari police mwenye nyota moja anakamisheniwa na raisi?
Askari anapopiga salute apigii nyota apigia salute ile camisheni ivyo anapiga salute kwa niaba ya raisi alie mkamisheni.
Ndio maana cadet officers endipo raisi akiwa amesafiiri hata km wamemaliza mafunzo watamsubiri hadi harudi.
Hoja kuu
Vyeo vya kipolice vipo kiutawala
Vyeo vya kijeshi vipo kiutwala kivita.
Huyo RPC naposema yupo juu ya conel anajua kwamba conel anaongoza battalion in battle Field?
Kwa skills zake zafunzo anaweza kuongoza battalion?
Leo hii gazetted officers sijui inspector sijui meja uanze kuwafanisha na luten wa jeshi?
Tusingalie nyota.
Km yote ni majeshi tuwapime kiutendaji wao kivita sio vyeo vya mabegani, vyeo vinaweza kufanan ila kuna utofauti wa upatiknaji wake hata majukumu bila kusahau taasisi ni tofauti kabisa kiutendaji.
Kifupi huyo RPC karopoka.kijeshi yeye ni sawa na coplo.
Alafu kuna vyeo na madaraka, wale ma afisa wa jeshi waliopewa madaraka kwenye taasisi furani wakawa chini ya baadhi ya maafisa wa police aimaanishi kwamba wapo chini.
Yale ni madaraka nje ya majukumu ya jeshi
Police wapambane na magereza