RPC Arusha na ulinganishi wa vyeo JWTZ na PT

Katiba siyo msahafu. Katiba nayo ina mapungufu. Neno Jeshi haliwezekani kutumika kwenye Magereza wala Polisi.

Mimi nakufafanulia kitaalamu. Istilahi neno Jeshi kwa Tz linavyotumika na maana yake ni tofauti kabisa. Tz Polisi kwa kingereza linaitwa Tanzania Police Force.

Neno Force ndipo lilipowachanganya kwa lugha ya Kiswahili, wao wametafsiri kama Jeshi. Force kwa police ni Enforcement of the law.

Kwa maana wanawafanya watu wafuate sheria kwa wale wanaovunja sheria, ndiyo maana wana deal na raia. Ndiyo maana inapotokea ghasia Police huwa wana restore order ili kuleta amani na usalama ndani ya nchi.

Ukija kwenye TPDF imeandikwa kabisa ni armed forces in Tanzania. Wakati ukiangalia Tanzania Police force huwezi kukuta imeelezewa kama armed forces.

Kwa nini iwe hivyo? Jawabu ni kutokana na majukumu yao. Kwa hiyo Police siyo Jeshi! Police ni idara tu inayoshughulika na usalama wa raia na mali za raia.

Ukibisha, Tuambie maana ya Jeshi ni nini?
unazidi kudhihirisha ujinga wako maana katiba katiba ndio imeainisha kisheria na ndio imefafanua
sasa hiyo maana yako ya endelea kuiokoteza huko wikipedia
 
Wacha ujinga wako wewe... KAtiba inamapungufu mno.... Kwanza lugha ya Kiswahili haina misamiati ya kutosha... Ndio maana kwa convinience JESHI ikatumika pia kwa Polisi
 
IGP( inspector general of police), CDF( chief of defence forces). Siro ni mkuu wa police Tanzania na mabeyo ni mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama ndani ya Tanzania. Kiprotocal ACP( assistant commissioner ) hawezi kuwa sawa na colonel
Sio tu kuwa hawezi kuwa sawa na Coloneal bali hawezi kuwa sawa hata na Luteni USU wa Jeshi
 
Nadhani RPC Huyo yupo sahihi.
Swala la kamisheni au hajakamisheni halina nafasi hapo.Alichomaanisha ni kwamba kwa mamlaka aliyonayo,anamwajibisha Mwanajeshi yeyote aliyetenda kosa isipokuwa Brig.General na kwenda juu.
Swala la kwamba vita imetokea na nani anaenda kuongoza kikosi halina nafasi hapa.
 
Kweli kabisa.
Ka
hapa hapa utataka useme luteni usu wa urusi ni sawa na wa hapa tz[emoji23][emoji23][emoji23].
wewe bruda una shida sana,bora uendee tu kule ukapambane na wasabato.
Kweli kabisa.
Kama watu wanashindwa kutofautisha majukumu ya JWTZ na POLISI,wakitaka yafanane ndio tuweze kujua nani mkubwa,itafika sehemu watu wataanza kuhoji hata wanaopokea hizo kamisheni kati ya nchi na nchi.Kwa akili hizi simshangai hata yule aliyesema Koplo wa Jeshi la Marekani anajua mbinu nyingi za Medani za kivita kuliko majenerali wengi wa nchi za Kiafrika.
 
hili mbona liko wazi.

maafisa na askari wanaopigia salute polisi waliowazidi vyeo,wanatumia reasoning ya kawaida kabisa,ambayo haihitaji thesis ya phd wala rocket science.
 
Ebu nichangie kidogo.
JWTZ na PT kuna commisioned officer na non commssioned officer.

Kwanza tuelewe commissioned officer ni yupi na non commissioned officer ni yupi?

Commissioned officer ni yule anayevikwa vyeo na Amiri mkuu wa jeshi yaani Rais wa nchi kwa wakati huo mfano sasa ni Dr. John pombe Magufuli. Hawa commissioned officer ufanya kaz kwa niaba Rais popote walipo wanamuwakilisha Rais maana haendi vitani.

Non commissioned officer ni yule asiyevikwa na Amiri jeshi au Rais.

Sasa tuje kwenye vyeo;

Nitachambua haraka haraka kidogo

Ila nitachambua vyeo vya kuanzia kamisha. Kwa maelezo zaidi nmefungua kurasa kuhusu mambo ya vyeo.

JWTZ kamisheni uanzia luteni usu(nyota moja) cadet officer au afisa mwanafunzi. Hapa ndipo Rais utunuku vyeo kwa JWTZ.

Polisi tofauti kidogo uanzia Assistant commissioner of Pilice (ACP) yaan kamishna msaidizi wa polisi. Hapa ndo Rais uanzia kutunuku vyeo kwa polisi.

Hapo inamaanisha ACP wa polisi ni sawa na Luteni Usu nyote moja wa JWTZ. Kwahiyo hapo inamaana ACP wa polisi kicheo ni Mdogo kwa Captain wa JWTZ

Pia Tuelewe vyeo vya JWTZ ni vikubwa zaidi ya Polisi maana km ACP ndo utunukiwa vyeo au ndo uanza kuwa kamisha wakt JWTZ huyu ni sawa na Luteni usu ina maana gm 1000 za polisi ni sawa na Kg 1 Za jwtz it means kg 1000 za JWTZ ni sawa na GM mil moja za polisi. Lugha nyepesi twasema Hatua moja za JWTZ ni sawa na hatua 1000 za polisi.

NOTE: ni mdogo kicheo lakini kiutawala ni mkubwa, ACP kapewa mamlaka makubwa kushinda captain mf kamanda wa mkoa au wilaya..
 
na mkuu wa wilaya ni mkubwa kuanzia cheo gani cha jwtz maana nayeye ni prez commissioned??
 
Kweli kabisa.
Ka

Kweli kabisa.
Kama watu wanashindwa kutofautisha majukumu ya JWTZ na POLISI,wakitaka yafanane ndio tuweze kujua nani mkubwa,itafika sehemu watu wataanza kuhoji hata wanaopokea hizo kamisheni kati ya nchi na nchi.Kwa akili hizi simshangai hata yule aliyesema Koplo wa Jeshi la Marekani anajua mbinu nyingi za Medani za kivita kuliko majenerali wengi wa nchi za Kiafrika.
Ni kweli kabisa hii nakubali kwa 100%
Huku kwetu wanapoteza muda wa kubishana mitaani tu Hadi wanaota vitambi.
 
Wacha ujinga wako wewe... KAtiba inamapungufu mno.... Kwanza lugha ya Kiswahili haina misamiati ya kutosha... Ndio maana kwa convinience JESHI ikatumika pia kwa Polisi
Kwani kuna lugha haina mapungufu?
huyo aliyetunga na kuweka maana ya neno Jeshi una uhakika hana mapungufu?
 
JWTZ ____polisi
Lt usu = assistance inspector
LT. = inspector
Captain =ASP
MEJA =SP
LT. COLONEL =SSP
COLONEL =ACP
BRIGEDIA GENERAL. =SACAP
MEJA GENERAL. =DCP
LT GENERAL =CP
GENERAL. =IGP

Note: wakikutana afisa wa jwtz na afisa wa polisi wanao lingana vyeo, afisa wa polisi atampigia saluti afisa wa jwtz kwa sababu JWTZ ndio jeshi SNR. But wakikutana mmoja anamzidi mwingine cheo, protoco za kijeshi lazima zifuatwe mdogo kumsalimia mkubwa.
Hii ndio sahihi kabisa wengine wameongea kishabiki.
 
Back
Top Bottom