RPC Arusha na ulinganishi wa vyeo JWTZ na PT

RPC Arusha na ulinganishi wa vyeo JWTZ na PT

Kula gwala
JWTZ ____polisi
Lt usu = assistance inspector
LT. = inspector
Captain =ASP
MEJA =SP
LT. COLONEL =SSP
COLONEL =ACP
BRIGEDIA GENERAL. =SACAP
MEJA GENERAL. =DCP
LT GENERAL =CP
GENERAL. =IGP

Note: wakikutana afisa wa jwtz na afisa wa polisi wanao lingana vyeo, afisa wa polisi atampigia saluti afisa wa jwtz kwa sababu JWTZ ndio jeshi SNR. But wakikutana mmoja anamzidi mwingine cheo, protoco za kijeshi lazima zifuatwe mdogo kumsalimia mkubwa.
 
Luteni Jenerali ni sawa na kamishna wa polisi?!

Three star general?!!!!!!......kweli?
 
JWTZ ____polisi
Lt usu = assistance inspector
LT. = inspector
Captain =ASP
MEJA =SP
LT. COLONEL =SSP
COLONEL =ACP
BRIGEDIA GENERAL. =SACAP
MEJA GENERAL. =DCP
LT GENERAL =CP
GENERAL. =IGP

Note: wakikutana afisa wa jwtz na afisa wa polisi wanao lingana vyeo, afisa wa polisi atampigia saluti afisa wa jwtz kwa sababu JWTZ ndio jeshi SNR. But wakikutana mmoja anamzidi mwingine cheo, protoco za kijeshi lazima zifuatwe mdogo kumsalimia mkubwa.
Hili ndilo jibu sahihi, mjadala ufungwe
 
Watu Wasiojua Mngekaa Kimya Tu, Jeshi Yaani ACP Alingane Na Brigade General
Hakuna Hata Utaratibu Huo

ACP Hata Huwezi Kulinganisha Na Warrant Officer Class One
Usiwe mwongo wewe! Canal na Brigedia General ni ranks za wakurugenzi tu katika Idara za Wizara mbalimbali. Major General yeye aweza kuwa katibu mkuu au mkurugenzi wa Idara. Infact, ACP naweza sema ni kama Kanali, SACP ni kama Brig. Gen, wakati CP ni kama Major Gen, Deputy IGP ni kama Lt Gen, na IGP ni kama Generali. Huu ni ulinganifu wa vyeo, sio majukumu, kila mmoja ana majukumu yake kwenye kada yake! Huwezi chagua capten akawe mkuu wa jeshi la polisi Tz wakati cheo chake ni sawa na ASP! Itakuwa ajabu sana.
 
Haitusaidii kitu na huo ulinganishaji vyeo, mmeua wajibikeni. Nyie mko juu ya sheria hadi mchukue vitu minor kama hivyo ndo mvifanye mjadala wa kitaifa? Wakati mwingine JW mnakosa utu na kudhani maisha ya mtu ni ya kuchezea kiasi hicho? Mwenzenu kaua wajibikeni.
Nimekuunga mkono Mkuu....Watu wanafikiri Brigdea Jeneral ni cheo kikubwa sana jeshini kumbe cha kawaida tu ..
 
JWTZ ____polisi
Lt usu = assistance inspector
LT. = inspector
Captain =ASP
MEJA =SP
LT. COLONEL =SSP
COLONEL =ACP
BRIGEDIA GENERAL. =SACAP
MEJA GENERAL. =DCP
LT GENERAL =CP
GENERAL. =IGP

Note: wakikutana afisa wa jwtz na afisa wa polisi wanao lingana vyeo, afisa wa polisi atampigia saluti afisa wa jwtz kwa sababu JWTZ ndio jeshi SNR. But wakikutana mmoja anamzidi mwingine cheo, protoco za kijeshi lazima zifuatwe mdogo kumsalimia mkubwa.
Umemaliza mkuu
 
Ivi mfano kwa mwanajeshi akifanya makosa si ruksa raia ama polisi kumkamata mwanajeshi hado waje wale Mp wa jeshi,je ni sawa
 
Kiitifaki ya kupigiwa saluti,Commisioned officer (CP) wa polisi ni sawa na commisioned officer (2lt wa nyota moja) wa Jwtz.

Chini ya Commisioned rank, vyeo hivyo huitwa other ranks.

Kwa hiyo kwa cheo chake cha ACP ukilinganisha na Jwtz ni cheo cha pili kurudi chini ya commisioned officer ambacho ni Warrant officer class2 na hata mishahara ukiichunguza inalingana.

Asijikweze, sababu hata vita vikizuka, akishikizwa jeshini, lazima atapewa mafunzo (refresher) wakufunzi wakiwa ni hao other ranks na atakasimiwa na kuvishwa vyeo vya other ranks na hilo halina ubishi ni kanuni.

Halafu tukija kwenye sheria za kijeshi (military defence act) hao civilian police ni idara za kiraia zinazofanya kazi zinazofanana na za kijeshi, wakiwemo magereza na zimamoto.
Hivyo Jwtz hawaruhusiwi kumkamata raia na kumuweka rumande za jeshi akiwemo yeye, kwa sababu anahesabika kuwa ni raia kwenye vitabu vya sheria za majeshi.
Kwa mujibu wa sheria operation gani mlifundishwa huu ujinga?
 
Usiwe mwongo wewe! Canal na Brigedia General ni ranks za wakurugenzi tu katika Idara za Wizara mbalimbali. Major General yeye aweza kuwa katibu mkuu au mkurugenzi wa Idara. Infact, ACP naweza sema ni kama Kanali, SACP ni kama Brig. Gen, wakati CP ni kama Major Gen, Deputy IGP ni kama Lt Gen, na IGP ni kama Generali. Huu ni ulinganifu wa vyeo, sio majukumu, kila mmoja ana majukumu yake kwenye kada yake! Huwezi chagua capten akawe mkuu wa jeshi la polisi Tz wakati cheo chake ni sawa na SSP! Itakuwa ajabu sana.
I salute you...
 
Ivi mfano kwa mwanajeshi akifanya makosa si ruksa raia ama polisi kumkamata mwanajeshi hado waje wale Mp wa jeshi,je ni sawa
Inategemea kisa amefanyia wapi?
Kama ni ndani ya kambi atakamatwa kijeshi na wenzake,,kama ametenda uraiani akiwa na magwanda ya kijeshi, atavuliwa magwanda na kuwa raia wa kawaida ili sheria ifuate mkondo wake .
 
Haitusaidii kitu na huo ulinganishaji vyeo, mmeua wajibikeni. Nyie mko juu ya sheria hadi mchukue vitu minor kama hivyo ndo mvifanye mjadala wa kitaifa? Wakati mwingine JW mnakosa utu na kudhani maisha ya mtu ni ya kuchezea kiasi hicho? Mwenzenu kaua wajibikeni.
Halafu jamaa inaonekana kabisa umeichukulia hii ishu personal, my concern sio kwamba aliyehusika na hatua asichukuliwe hatua za kisheria la hasha!! Elewa mada ndo uchangie usikurupuke tu
 
Yuko sahihi Assistant Commissioner ni sawa na Canal kwa TPDF rank ya juu yake kwa TPDF ni Brigadea General na Senior Assistant Commissioner kwa wizara ya mambo ya ndani, sijui kuhusu salary scale over.
Kanali ni 'canal' kwa kiingereza?
Nadhani ulikusudia kuandika 'colonel'.
Kama kuna mashaka ktk kuyatambua majina ya vyeo vya JW unahisi utakuwa mtu sahihi kumuunga mkono huyo askari polisi?
Huenda nae hajui kama wewe.
Kosa jingine 'Brigadea General' ni 'Brigadier General'.
 
Yuko sahihi Assistant Commissioner ni sawa na Canal kwa TPDF rank ya juu yake kwa TPDF ni Brigadea General na Senior Assistant Commissioner kwa wizara ya mambo ya ndani, sijui kuhusu salary scale over.
Nashukuru kwa kunijuza mkuu! Hii ni kupanua ufahamu tu
 
Wote ni waongo, majukumu ya Jw kwa wananchi ni tofauti na majukumu ya polisi kwa wananchi, hata vyeo vyao havina uhusiano wowote, isipokuwa ni mvutano wa kibabe tu unaotokana na vyeo vya Kamisheni/apishwa na rais
Kama nakuelewa mkuu, ndio mana nikauliza huo ulinganifu amezingatia nini?!
 
Inategemea kisa amefanyia wapi?
Kama ni ndani ya kambi atakamatwa kijeshi na wenzake,,kama ametenda uraiani akiwa na magwanda ya kijeshi, atavuliwa magwanda na kuwa raia wa kawaida ili sheria ifuate mkondo wake .
Ok,hapo katika kumvua ni raia hao hao waliomkamata ama vyombo vya dola vimkamate
 
Kwanza polisi ni idara ya mambo ya ndani . sio jeshi. Hakuna ulinganifu. Polisi linganisha na magereza, uhamiaji na zimamoto. Hata wasabato na nyota!!!
Kama nakuelewa hv mkuu, ndo mana nikauliza huyu RPC ametumia vigezo gani kulinganisha!?
 
Back
Top Bottom