Baljurashi
JF-Expert Member
- Dec 30, 2017
- 2,236
- 3,703
Ndugu yangu nashukuru kwa nasaha zako, huwa tunakutana kwenye mijadala na wasio kuwa waislamuIbilisi alisema kwa kumwambia Allah subhanahu wataala: "Nina apa kwa utukufu wako na kwa nguvu zako nitaendelea kuwapotosha waja wako kwa kadri roho zao bado zimo kwenye kiwiliwili chao (kwa maana; maadamu bado wapo hai nitaendelea kuwapotosha na hutapata wenye kukushukuru wewe)".
Akasema Allah rabbul izza: Nina apa kwa utukufu wangu na kwa nguvu zangu, nitaendelea kuwasamehe (waja wangu) mradi tu wataniomba msamaha wangu.
-------------------
Kuna nyakati huwa zinamfika binaadamu na kumsahau Allah. Katika kumsahau Mola wake binadamu huwa anafanya madhambi na wakati mwengine huwa anafikia kufanya kufru. Unapofika wakati anataka kurudi kwa Allah huwa anajihisi haya kwa madhambi aliyoyafanya. Anajiona haya hata kutaja jina la Mola wake.
Hakika ya Allah yeye alishasema: "Yeye ni arrahmani arrahiim". Yeye ni mwingi wa rehema mwenye kurehemu. Ni mwenye kusamehe na kwake hilo lipo.
Mmoja katika watu alifika kwenye Kaaba na akisema; Ya Allah nimekukosea mimi, lakini naona aibu kukuelekea wewe kwa dhambi nilizofanya. Lakini ni nani nitakayemuomba zaidi ya wewe? Ninataka msamaha kutoka kwako ewe Mola wangu.
Mmoja katika watu qaumu ya Nabii Musa Alayhi ssalaam alikuwa ni mwenye kuabudu sanamu. Katika ibada zake alikuwa ni mwenye kusema; Ewe sanamu niponye, ewe sanamu niruzuku mimi, ewe sanamu nisamehe.
Siku hiyo ulimi wake uliteleza katika kufanya ibada yake. Alupotaka kutamka ya swanamu ukatamka ya Swamad, Allah subhanahu wataala akajibu kwa kuitikia "labbayka yaa abdi" (nipo hapa ewe mje mja wangu).
Nabii Musa Alayhi ssalaam akasema; "Ewe Mola wangu! Unajibu kwa kumwitikia wito wake wakati huyo mtu anaabudu usiyekuwa wewe?" Allah subhanahu wataala akamjibu akamwambia "Ewe Musa! Kuna Asswamad (tegemeo wa kila kitu ambaye hategemei chochote) mwengine zaidi yangu?"
Hivyo, tusikate tamaa kumuomba Allah msamaha. Allah ni mwenye huruma sana, tena sana. Halikadhalika, tusiwakatishe tamaa watu ambao wanataka kurudi kwa Allah subhanahu wataala.
Waalaykum Salaam Warahmatullahi Wabarakaatuh.Asalaam Aleykum ndugu zangu wote katika imani,
Kuelekea mfungo mtukufu wa mwezi wa Ramadhan, waislamu wote ninawaomba tukutane humu ili tuelimishane mawili matatu kuhusu mwezi huu.
Lengo kuu ni kuweza kufahamu yale yote aliyotufunza kipenzi chetu mtume Muhammad S.A.W kuhusu mwezi huu.
Vitu gani tukifanya vitaharibu swaumu zetu, vitu gani tukifanya vitaongeza thawabu zinazopatikana katika kufunga, ipi hukumu kwa wale wasiofunga na yapi malipo anayopewa mja ambaye anafunga swaumu kikamilifu.
Pia tuweze kujifunza neema zinazopatikana kwenye usiku wa lailatul qadr, usiku ambao umebarikiwa kuliko siku elfu moja.
Kwa haya machache ninapenda kutanguliza shukrani zangu za dhati kwa muumba wa mbingu na ardhi ambaye si mwingine bali ni Allah S.W. T na kipenzi chake, Mtume Muhammad S.A.W.
Karibuni.
Kobazi ni wehu.Tukigusia hizi ndoa zinazofungwa kuelekea Ramadhan tunapata picha kuwa ndugu zetu Waislamu ni wanafiki konki.
Yaani Mungu gani anayeweka kipaumbele mwezi wa watu kuwa watakatifu?
Swali: Kama Waislamu wanafunga kwanini demand ya chakula masokoni iwe kubwa?
Wazee wa marketing imekaaje hii?
Walaji wamepungua lakini wafanyabiashara wa vyakula masokoni hushangilia. Imekaa vipi hii?
Tukigusia hizi ndoa zinazofungwa kuelekea Ramadhan tunapata picha kuwa ndugu zetu Waislamu ni wanafiki konki.
Yaani Mungu gani anayeweka kipaumbele mwezi wa watu kuwa watakatifu?
Swali: Kama Waislamu wanafunga kwanini demand ya chakula masokoni iwe kubwa?
Wazee wa marketing imekaaje hii?
Walaji wamepungua lakini wafanyabiashara wa vyakula masokoni hushangilia. Imekaa vipi hii?
Nani alisema kobazi wanafunga?kobazi wanabadili tu ratiba ya chakula kutoka mchana kwenda usiku,na usiku wanakula kama viwavijeshi halafu ikifika mchana wanajifanya wamefunga huku full kubeua,vijamaa vinafiki kiwango cha lami.Tukigusia hizi ndoa zinazofungwa kuelekea Ramadhan tunapata picha kuwa ndugu zetu Waislamu ni wanafiki konki.
Yaani Mungu gani anayeweka kipaumbele mwezi wa watu kuwa watakatifu?
Swali: Kama Waislamu wanafunga kwanini demand ya chakula masokoni iwe kubwa?
Wazee wa marketing imekaaje hii?
Walaji wamepungua lakini wafanyabiashara wa vyakula masokoni hushangilia. Imekaa vipi hii?
Njaa na akili finyu=ukobazi.Kobazi ni wehu.
1 . Wenye mgogoro na chadema ni Kobazi
2. wenye mgogoro na CUF ni kobaz
Hao jamaa wana PHD za unafiki
Huwajui kobazi ww kaa kutulia.Nitajisikia aibu kama Mkristo mwenzangu anaweza kuwakosea adabu waislam kwa kiwango hiki!
Kwanza nikuhakikishie mambo yafuatayo ( Mimi ni Mkristo safi ila )
1. Mwislam aliyeshika dini ni mwaminifu mara nyingi sana kwa ibada zake zaidi ya Wakristo.
2. Waislam walioshika dini ni waaminifu mno kufanya nao Biashara ( hawalo haramu )
3. Waislam ni watiifu mno kwa maelekezo ya Imani yao, mara dufu kulinganisha na WA Kristo.
Tujifunze Kuheshimi dini za wenzetu, wana maelekezo yao kwa Imani yao, huna sababu ya kuya challenge, ila unaweza ongea ubora wa Imani yako, Kama watashawishika ni sawa!
Mambo ya Dini za watu achana nayo no ya kizamani sana, Fool!