Abu Miqdad
Member
- Mar 24, 2024
- 71
- 25
Numbisa kwanza mbwa ana manufaa kadhaa katika jamii yetu ima kwa uwindaji au kwa ulinzi
Na muislamu anaweza kufuga mbwa kwa sababu hizo, anaweza mtumia kumuwindia wanyama wa porini na kitoeo chake kikawa safi tu,,,ila wakati anamuelekeza kwenda kumkamatia mnyama atataja jina la Allah na hapo mambo yatakuwa safi
Nilianza na hilo kwanza nikupe faida zaidi.
Ubaya wa mbwa upo kwenye najisi ya mate yake, akikunusa katika nguo au mwili wako pale hautakuwa na sifa ya kuswali mpaka ujitoharishe au kujisafisha kwa namna maalum
Utatakiwa ujisafishe kwa maji mara Saba na moja wapo na mchango hapo ndo najisi itakuwa imeondoka,,, kwahiyo unaweza ona ugumu wake ndio maana watu hawapendi kufuga mbwa labda kwa uhitaji wa ulinzi
Allah anajua zaidi
Asee, sio chaka, mnyama bila kuchinjwa kwa kutokwa damu sio halali huyo.Numbisa kwanza mbwa ana manufaa kadhaa katika jamii yetu ima kwa uwindaji au kwa ulinzi

Unatakiwa umkute yupo hai kisha unamchinjaAsee, sio chaka, mnyama bila kuchinjwa kwa kutokwa damu sio halali huyo.
NumbisaNice.ufafanuzi mzuri. Tuje sasa kwenye paka maana imekuwa trend kule tik tok watu kuswali nyumbani huku paka akiwasumbua unakuta analalia kile kimkeka cha kulalia mara akivute huku na kule mara amvue ushungi mwanamke anayeswali. Je hio hali ni sahihi au ni maamuzi binafsi ya wahusika?