Akhi
JF-Expert Member
- Jul 12, 2021
- 4,894
- 8,222
Hlf ple ulipopata ajali sio maeneo yale ya scaba scuba?Assalam alleykum warhmatulah wabaraqatuh
Ndugu zangu mimi jumatatu nilipata ajali, alhamdulilah kiafya niko poa, ila upande wa uchumi siko poa ukizingatia bajaj yangu ndio ilikuwa kila kitu
Sasa kuna rafiki yangu, kwao mashallah amesema niwe naenda kufuturu kwao!
Kusema kweli nafeel shame hii imekaaje mana kwao ni extended family naombeni ushauri.
JE INAFAA KUFUNGA BILA YA KULA DAKU
❫ السُّــــ☟ـــؤَال : ﻫﻞ ﻳﺠﻮﺯ اﻟﺼﻴﺎﻡ ﺑﺪﻭﻥ ﺳﺤﻮﺭ؟ ﻭﺟﺰاﻛﻢ اﻟﻠﻪ ﺧﻴﺮا.
Swali: je inafaa kufunga bila ya kula daku? Allah awalipe kheri
Jawabu: jambo lililo wekewa sharia kwa mfungaji ni kula daku kabla ya kuchomoza kwa Al-fajiri kwa yale yaliyo kuwepo ndani yake katika uchamungu juu ya funga
❫ المصْــــدَرُ: ❪فَتــَاوى اللجنَةِ الدَّائمَ, اﻟﻔﺘﻮﻯ ﺭﻗﻢ (14093❫.
Abou hudaa Al-jaziiriyyi حفظــــــــــه اللــــــــــه تعالــــــــــى ورعــــــــــاه
Ili kupata faida zaidi ungana nasi katika channel 
Kua muadilifu us'badili chochote