Rais Samia: Mbowe alijificha Nairobi aliporudi akaanza harakati za madai ya Katiba, nadhani ni Calculation akijua kwamba ana kesi

Mahojiano na Salim Kikeke. Inaonekana Rais yupo nyuma ya hii yote. Na yoote yanayofanyika anaangalia tuu.

Anyway Leo ndo nimemjua Rais tulienae...
Hakujificha, kila mtanzania ana haki ya kwenda anapotaka kwenda, kama angejificha angerudi kufanya nini wewe muuza mandaazi?
 
Duuu makubwa yeye siku zile alisema alikuwa dubai kibiashara ,,,kumbe alikuwa kenya nairobi ....kenya na TZ ni ndugu unajifichaje kenya
Samia hajui anachoongea na huyo Kikeke ameshindwa kumuuliza maswali magumu....... Sijaona rais wa ovyo kama Samia, huyo Magufuli ana unafuu
 
Wanaouliza kwa nini Mbowe amekamatwa sasa na si vinginevyo wanasahau kuwa Mbowe, Lema, Meya wa zamani Ubungo Boniface walikamatwa mara baada ya matokeo ya uchaguzi mkuu kutangazwa na kabla Rais hajaapishwa kwa kuchochea maandamano yasiyo na kikomo kupinga matokeo. Mambosasa alihojiwa na vituo vya ITV na TBC na kutoa madai hayo hayo ya ugaidi.
 
Ashukuriwe Mungu Watanzania ni watu wasiojua nini wafanye wakati wote. Viongozi huwalaumu wananchi nao wananchi huwalaumu Viongozi kila siku.

Imagine Rais wa nchi anasema hadharani kuwa shitaka la Mbowe si la sasa liko tangu zamani(kabla hajawa Rais).

Unajiuliza;
Walimpa dhamana gaidi?

Gaidi aliweza kuwatoroka wana Usalama kwa muda wote huo?

Unaona kuwa vichwa vya Viongozi wetu haviko sawa.
 
Gaidi sio mpaka ujilipue ,

"Mama anaupiga mwingi " ,uku wakishangilia kifo cha JPM na kufanyaa sherehee na kumdhihaki ,Ole Sabaya jambazi ! , na mengineyo mengi.

inatakiwa mpekuwe kwa undani ki dunia na kwa Tz Ugaidi umeanishwa ktk vipengele vipi .Acheni Serikali uendelee kuupiga mwingi .

CHADEMA mliendekeza kuwashambulia watu binafsi ambao wametoka ktk mfumo ule ule mkishirikiana na baadhi yao waliokosa nafasi ktk awamu ile kwa kuwafujishia siri na kuwapa uzushi wa wahusika binafsi na mkabweteka kwa kujiona mnaelekea kufanikiwa na kujisahaulisha kuhusu kuupinga mfumo wa enzi na enzi .

Sisi yetu macho .
 
Kama ni hivi basi system ina vuja sana maana alijua kesi imekamilika ndio maana akarudi.
Je alijuaje kama upelelezi umekamilika?

Serikali wanakuambia alirudi hapa akiwa nyuma ya kichaka cha madai ya Katiba Mpya kama hedging strategy yake!
 
HAWA wanasiasa wanajisahau sana na inawezekana wanavunja Sheria bila kujua ingawa siyo kinga.

Tatizo wanajiona wapo juu ya Sheria kwamba wao ni wababe kuliko serikali kwasababu hawaipendi serikali ndiyo maana wanaanzisha vikundi vya mapambano kwa koti la walinzi wanatafuta mavazi yenye ishara ya Shari wanahubiri na kufadhili mihemuko.

Kama tutaendelea kuto kukubali kutokukubaliana vita itaendelea na vita siku zote Haina macho.
 
Yawezekana Mbowe asiwe gaidi, ila kwamba kila kitu hawezi kufanya.

Wewe ni bodyguard wa Mbowe kwamba kula sehemu unakuwa nae? Au labda wewe ni mke wake kwamba lazima akuage kila anapokwenda?

System za usalama za Kenya naza hapa Tz zilithibitisha hilo, tuletee data zako zinazoonyesha kuwa huo ni uongo. Yaani Rais atasingizia kwa kutaja jina la nchi nyingine kizembe tu etieee.
Kuwa mtoto wa kike hakukupi uhalali wa kusema ujinga
 
Mama kajikanyaga kweli kweli sijamwelewa hata kidogo anasema ANADHANI huenda mbowe ni gaidi wakati mahakama ikiendelea na uchunguzi maana yake nini sasa kuna kitu hakipo sawa apo
 
Naona unalazimisha mknd wako utafune muwa na sio kazi uliombiwa, kazana.

Nimekwambia Sitaki mjadala na wewe ila naona unaforce na kujikuta muongeaji,twende kama unavyotaka Sasa.
Dogo hii platform huru kwa kila mtu kumenti sehemu yeyote,ukitaka kuwa selective na mtu fulani akomenti kwenye post yako nenda PM ukachat na mumeo.
TAGA khanithi wewe!
 
Kuna uwezekano wa mahakama kumsafirisha mbowe kweli? na kama ataonekana hana hatia itakaaje kwa mama
 
Back
Top Bottom