Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, ametoa ufafanuzi kuhusu kauli ya Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), Idara ya Oganaizesheni, Paul Chacha, kuhusu vyombo vya dola kuwa mali ya CCM.
Heche amesema kauli hiyo ni nzuri na kwamba inaweza kusaidia...
Na ninayaongea haya kama Mkristo
Kuna fikra potofu zilizozoeleka kwamba viongozi na teuzi nyingi lazima wajae wakristo, tuanze kuzoea baadhi ya teuzi muda mwengine wajae waislam hata kwa asilimia 90%.
Kwa muda mrefu sana tulizoea kuona safu za viongozi zikijaa wakristo, kuna wakati nafasi za...
Kila jambo lina mwisho wake. Mauaji ya Oktoba 29 mwaka 2025 bado yapo kwenye mioyo ya Watanganyika.
Huko mbeleni Paul Chacha na wenzako mtakuja kuona na kutambua nini maana ya nguvu ya umma.
Mageti ya ikulu yatavunjwa kwa kutumia meno.
Kauli ya Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) anayeshughulikia Oganaizesheni, Paul Chacha, kwamba vyombo vya ulinzi na usalama ni “mali ya CCM”, imeibua mjadala mpana kuhusu uhusiano kati ya chama tawala, Serikali na vyombo vinavyotakiwa kulinda Jamhuri na wananchi wote...
Paul Chacha, katibu wa NEC ya CCM amewatia jambajamba kubwa watu wasiojua kufikiria vizuri kwa hotuba yake kwa wanachama wenzake.
Vyombo vya dola vyote vinalitumikia dola, vinalinda dola, vinakula kiapo kumtii Rais na katiba. Rais ndiye AmiriJeshi Mkuu wa vikosi vyote na Mkuu wa nchi. Bahati...
Ili jambo limezungumziwa sana hapa JF.
sio vyombo vya dola tu,mpaka makahama,wakurugenzi na kila idara.
Wote waliopewa vyeo ni wananchama wa CCM na ndio maana maovu hawana yakalia kimya.
Wananchi wamekuwa na hasira na wamechoka.
Wanapambana na askari wa vyombo vya dola. Siku raia wakiwawazidi nguvu askari itakuwaje?
Huko Tabora naambiwa wananchi wametembea na Ak 47.
Hilo kwasasa halipingiki kuwa, unapozungumzia maridhiano pande zinazohusika ni:-
kundi la kwanza linaundwa na watawala, serikali na vyombo vya dola na wafanyabishara wakubwa ambao wamehozi CCM na wanaushawishi juu ya serikali. Kwenye kundi hili pia zipo baadhi ya Taasisi za dini kikristo...
Nchi hii, iko kwenye matatizo makubwa mno.
Hawa wanaoitwa polisi ni ngumu kuelewa ni wakati gani wao wanakua polisi au ni wakati gani wanaweza kugeuka na kuwa watekaji.
Magari yanayotumiwa na polisi au vyombo vya dola wakati yana namba ambazo sio za kwenye magari hayo!!
Unawezaje kujua kama...
Hii nchi kwa sasa hakuna Kiongozi mwenye sauti anaweza kutoka akakemea mambo yanayoendelea kwenye hii Nchi hakasikilizwa kutokana na past zao.
Tulikua na Mkapa huyu pamoja na mambo yake alikua ni mtu huyu aliwambia maneno serikali yangu...
Ndugu zangu Watanzania,
Hili jambo ni lazima liangaliwe kwa Umakini Mkubwa sana na kuchukua hatua za Makusudi za haraka sana kuwadhibiti kikamilifu na kisawasawa wanasiasa ambao wamekuwa wakijipa uhuru na kazi ya kuzunguka Nchi nzima kueneza chuki ,uchochezi na uchonganishi dhidi ya serikali...
Kaimu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche, akiwa Mbarali, Mbeya Juni 22, 2026 amesema
"Tuko kwenye ziara. Leo ni siku ya tano. Na tangu nimeanza mikutano ya hadhara kule Machingwea, baadaye nikaenda Masasi, siku nyingine siku iliyofuata tukaenda Songea, na jana...
Mbunge wa Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu akizungumza na Wasafi TV amesema demokrasia yetu nchini, mgombea pekee hatoshi kujipanga kushinda ubunge, bali dola ndio inaamua nani atangazwe mshindi.
Yaan kwamba una Jeshi la Polisi, Una TISS , lkn bado Wananchi wako wanatekwa kwa sababu za Mapenzi na Kishirikina
Yaan kwa Chande yeye, Ukitekwa kisa Mapenzi, au ushirikina , aaahhhhhh ni sawa tu bana
Kama sio kuvivua Nguo Vyombo vya Ulinzi ni nini Chande anajaribu kusema??.
Chande wewe ni...
Mbunge wa Mtama (CCM), Nape Nnauye ametahadharisha kuwa bila kusimamia utu, Chama cha Mapinduzi (CCM) inaweza kuondoka madarakani hivyo akaonya wanachama ndani ya chama hicho wasione aibu kusimamia utu.
Nape aliyewahi kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa...
Mbunge wa Jimbo la Mwibara (CCM), Kangi Lugola amesema ni vyema mihimili ya serikali iwe huru ili iweze kufanya kazi zake kwa usahihi bila kuingiliwa.
Soma pia: Vyombo vya Dola na taasisi nyingi zianitaji Kukombolewa na Wananchi ikiwepo mihimili Bunge na Mahakama Wananchi tuvikomboe virudi kua...
Nasikiliza hapa Maria space naona kama anajinyea na kujiharishia kwa hasira jamani , leo anaongea kwa msisitizo na mishipa imemtoka ya shingo kama vile anatumia dawa zileeeeeeeee
2. Mange kimambi naona kuanzia kesho atakuwa kapungua kilo 10 , haaamini kilichotokea
3. Kweli nimefurahi sana...
Amani ya Bwana iwe juu yenu watanzania.
Maandamano ya siku ya uchaguzi mkuu (MO29) yameweka hadharani mambo yanayofanywa na serikali ya CCM.
1.Utekaji
2.Mauaji
3.Uchakachuaji wa uchaguzi.
'D9' ni zamu ya vyombo vya dola kuandamana na hakuna tunachowadai 'Gen Z'.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.