Rais Samia: Mbowe alijificha Nairobi aliporudi akaanza harakati za madai ya Katiba, nadhani ni Calculation akijua kwamba ana kesi

Mh.Rais amefanya jambo jema kuachiw watu waongee maana Katika kuongea tunawajua vizuri Kuna watu ni rigid.na huwezi kuwabadilisha ingawa wao wanatamani wawabafilishe wengine.

Muhimu hapa ni kukubali kuishi na wote kwa mfumo MAALUMU. Siasa siyo Dini au ushabiki kama wa football.
 
Mama kajikanyaga kweli kweli sijamwelewa hata kidogo anasema ANADHANI huenda mbowe ni gaidi wakati mahakama ikiendelea na uchunguzi maana yake nini sasa kuna kitu hakipo sawa apo
Mkuu yote hayo ni TISA, KUMI ni kwamba kwa sasa chama tawala kinakiogopa chadema ile mbaya. Kipo tayari kujitoa ufahamu pamoja na kuishi miaka mingi.
 
Kikeke naye aliamua kulegeza tu mama asingechelewa kupanic duuu!! Tanzania iko bond
 
Ubaya hakuandika..just imagine uwe na tuhuma za uhaini (kuua viongozi)ugaidi na uhujumu Uchumi then uruhusiwe kuingia kwenye jumuiko la kuchaguliwa kwa kura vyombo vya ULINZI enzi za Mwendazake wakuangalie tu??Waahadithie hii story watoto wa chekechea😏😏😏
 
Kipaumbele co

Hahahahaha kipaumbele Corona KATIBA ugaidi hahahaha
 
Ubaya hakuandika..just imagine uwe na tuhuma za uhaini (kuua viongozi)ugaidi na uhujumu Uchumi then uruhusiwe kuingia kwenye jumuiko la kuchaguliwa kwa kura vyombo vya ULINZI enzi za Mwendazake wakuangalie tu??Waahadithie hii story watoto wa chekechea😏😏😏
Mama labda kaingizwa chaka .... Hii kesi ya Ugaidi na Uhujumu uchumi wapi na wapi?

Hivi inakuwaje Gaidi anaondoka nchini na kurudi kama anavyotaka ..... Only in Tanzania!!
 
Tunamsubiri na Tundu Lissu naye atakaporudi ataungana na wenzake kwenye hiyo kesi ya ugaidi. Na Lema hivyo hivyo. Hawa walikimbia nchi baada ya kugundua wanatafutwa na polisi kwa kesi ya ugaidi. Wengine waliomba hifadhi kwenye ubalozi na kuomba ubalozi uwasindikize hadi kiwanja cha ndege.
 
Kumbe ni wew? Habar yako
 
Msipotoshe, kasema alikuwa na kesi lakini upelelezi haukuwa umekamilika, ila kwakua yeye alijua kuwa ana kesi Mh. Ana hisi, hana uhakika ametumia Katiba kutafuta sympathy....Si vizuri kupotosha maneno ya mtu...
Magaidi wengine walikamatwa na baadhi wakahukumiwa, WAKATI HUO huo mbowe akichunguzwa kwa kesi hiyo hiyo ambayo wengine wamehukumiwa? Alafu akatoroka serikali ilikuwa wap mpaka gaidi anatoroka? Na mbona hawakusema
 
Si huyu huyu alidai Corona hamna na chanjo sio halali? Kivp leo hii waone chanjo ni nzuri na corona ipo? Ina maana tuna intel kigeugeu???

Hyo intel mbona haikuzuia wizi BOT au soko la kariakoo kuungua?? Nani kachukuliwa hatua kwa kufuja hela Tanroads?

Tusikuze mambo.... Hta kma Mbowe angefanya uhalifu hawezi kuhusika moja kwa moja angemtuma hta Kigaila au Munishi sio yye aende front kabisa kutoa hela ya mafuta kwa magaidi.... Hakuna mafia mjinga hivo.

Hoja zako zitakuwa za msingi kama ungeziwekea ushahidi, la, ni zinasukumwa na hisia za harakati za kisiasa.

Yako mazingira mengi ya uhalifu ambayo yana mkono wa Mbowe. Mengi yamekuwa yakijadiliwa humu JF, Serikali ikasingiziwa. Uhalifu huo ni moja ya mbinu za ugaidi (kuweka nchi katika hali ya kutokutawalika). Km kuuawa, kupotea, kushambuliwa, na kushitakiwa kwa wanasiasa ambao wengi wao ni wa Chama chake Mbowe. INAFIKIRISHA
 
Gaidi anakamatwa baada ya kudai katiba mpya,tupo nyuma Sana kwenye intelligence.
 
Yako mazingira mengi ya uhalifu ambayo yana mkono wa Mbowe. Mengi yamekuwa yakijadiliwa humu JF, Serikali ikasingiziwa
TAKUKURU ilifanya forensic investigation mwaka jana ila hawakuona ana kesi ya uhujumu uchumi wala unadhirifu kama mlivyodai wana JF na jalada likafungwa sasa ina maana nyie mnajua sana kuliko watu wa Financial intelligence unit??

Hoja zako zitakuwa za msingi kama ungeziwekea ushahidi, la, ni zinasukumwa na hisia za harakati za kisiasa.
Ushahidi niutoe kivp wakati burden of proof ipo kwa anayetuhumu...... Yaani mnasema Mbowe ni gaidi alafu unataka mie ndio nithibitishe otherwise??

Ndio nikufahamishe hapa kwamba Mbowe sio msafi sana ila hta matukio yote machafu angeamua kufanya hawezi directly kwenda front otherwise angeshabambikiwa kesi nyingi sana. Ndio maana nakwambia angemtumia Munishi, Lutembeka, ama Kigaila ili hta ikibuma asiwe na mkono.
 
Kuna anaekataa kuwa Mbowe hakukimbilia Kenya?
Tokea mwezi wa tisa mwaka jana 2020 walijuwa kuwa Mbowe ni gaidi halafu wakamuacha atoke nje ya nchi? Au unataka kusema alikimbilia Kenya bila kupitia uhamiaji?

Na alikimbia kama mnavyosema, ni Kwanini alirudi? Yani unaamini maneno ya Samia kuwa alirudi ili kuanzisha vurugu ya katiba mpya kwasababu alifahamu ana kesi?

Maneno kwamba madai ya katiba mpya ni vurugu za Mbowe, ameyasema Samia, wewe unaona ni kauli yenye kuonyesha weledi wowote kutoka kwa mkuu wa nchi?

Kwa akili yake, anadhani kuwa madai ya katiba mpya ndiyo yangeufuta ugaidi wa Mbowe kama kweli ushahidi upo?

Akili za kijinga kabisa sijapata kuona!
 
Back
Top Bottom