Rais Samia: Mbowe alijificha Nairobi aliporudi akaanza harakati za madai ya Katiba, nadhani ni Calculation akijua kwamba ana kesi

Polisi na CCM huwa wanasaidiana kufichiana aibu. hii kauli ya Samia na ile ya Sirro ukiangalia kwa makini utaona wote wana mtazamo unaofanana.

Kama Mbowe alijificha Nairobi waliwahi kusema? kuna Interpol kwanini hawakutangaza ili wasaidiwe kumtafuta?

Nashawishika kuamini Rais ameongea uongo, analeta propaganda kwenye haki za binadamu, kusema Mbowe alijificha Nairobi wakati muda wote alikuwa Dsm na Moshi kumzika ndugu yake ni maneno ya kisiasa tu.
Ile pole ilitumwa Nairobi?
 
Hivi Mbowe alijificha lini Nairobi?

Mama anajua kuwa kusema uongo ni dhambi?
Alijificha bana, kana hujui ni wewe tu. Alianzia dubei kana kwamba ni ziara rasmi afrika ya kusini. Confused? Yes, the police were confused as well
 
36 Reactions
Reply
Back
Top Bottom