Rais Samia: Mbowe alijificha Nairobi aliporudi akaanza harakati za madai ya Katiba, nadhani ni Calculation akijua kwamba ana kesi

BAVICHA inabidi watumie akili na busara za mtu wa kawaida. Haiwezekani kwamba wao wanajua kila kitu anachokifanya au alichowahi kufanya Mbowe.

Kuna mambo Mbowe anafanya au amewahi kuyafanya, ambayo hata mke wake mwenyewe hajui. Sheria iachwe ichukue mkondo wake!
Kama ni hivi basi system ina vuja sana maana alijua kesi imekamilika ndio maana akarudi.
Je alijuaje kama upelelezi umekamilika?
 
Mahojiano na Salim Kikeke. Inaonekana Rais yupo nyuma ya hii yote. Na yoote yanayofanyika anaangalia tuu.

Anyway Leo ndo nimemjua rais tulienae...
Kwa mtazamo wangu nimesikitika kwamba raisi hakuandaliwa kwa taarifa kabla ya "mazungumzo" Majibu yake "yamemuumbua" kwamba hana taarifa sahihi, hajui maana ya demokrasia na hajui siasa na umuhimunwa katiba. Nimesikitika
 
Acheni kujitoa fahamu nyie bavicha..ni kweli mbowe kipindi alikuwa hayupo mpaka alivyofariki Magufuli ndio akaibuka na kudai alikuwa nje ya Nchi kutafuta uwekezaji.
Shahidi kasema aliporudi ndo akanza harakati za katiba na maandamano. Hizi harakati zimeanza lini?
 
Kwanza sijaku-quote wewe, ila nashangaa umeijibu hoja yangu kwa Matusi.

Haya basi umenitukana kuwa mimi ni mjinga, wewe mwenye akili zitumie kumtoa Freeman Mbowe huko aliko.
Wa wapi wewe "mjinga" ni matusi?
Kawauliza walimu wako wa Kiswahili wakusaidie.
 
Wewe toka povu kwa kuingia ktk mtego wa mbowe ila rais kaongea kama mtu ambaye ameshapewa intels zote na kaamua utawala wake usiwe chaka la mbowe...
Intel? Si walisema hakuna Corona na chanjo hazifai hyo intel gani inayokosa fact moja leo hii eti corona ipo na chanjo ni nzuri?? Bado unaamini wanasiasa wa CCM?

Mbona intel ya waziri mkuu na Samia zilidai JPM yupo hai na tuache wivu..... Ghafla kesho yake wanatangaza kifo!! Bado unaamini intel zao??

Tatizo tunaona Rais ana akili kuliko raia wote wa nchi hii!! Kma intel anayo mbona alishindwa zuia moto wa kariakoo au watu kuchota mabilion BOT??
 
Aliyeyasema hayo, tena hadharani, ni Rais wa JMT anayepata habari nyingi kuliko mimi na wewe humu JF
Si huyu huyu alidai Corona hamna na chanjo sio halali? Kivp leo hii waone chanjo ni nzuri na corona ipo? Ina maana tuna intel kigeugeu???

Hyo intel mbona haikuzuia wizi BOT au soko la kariakoo kuungua?? Nani kachukuliwa hatua kwa kufuja hela Tanroads?

Tusikuze mambo.... Hta kma Mbowe angefanya uhalifu hawezi kuhusika moja kwa moja angemtuma hta Kigaila au Munishi sio yye aende front kabisa kutoa hela ya mafuta kwa magaidi.... Hakuna mafia mjinga hivo.
 
waterloo shauri lilishakuwepo toka 2020 msijitoe akili waziwazi
Yes waliachiwa yye na Boniface Jacob..... Tena lilianza kipindi matokeo ya Urais yametangazwa. Kivp kipindi kile wawaachie bila masharti ila leo hii kesi ile ile eti ina ushahidi??

Hvi hawa si walisema JPM yupo hai.... Kwanini mnaona hawadanganyi?
 
Wa wapi wewe "mjinga" ni matusi?
Kawauliza walimu wako wa Kiswahili wakusaidie.
Naona unalazimisha mknd wako utafune muwa na sio kazi uliombiwa, kazana.

Nimekwambia Sitaki mjadala na wewe ila naona unaforce na kujikuta muongeaji,twende kama unavyotaka Sasa.
 
Back
Top Bottom