Kikwete amejenga kijiji kizima kwao Msoga kwa pesa ya IKULU na akajengewa nyumba nyingine pale Migombani ambayo alinunua kwa bei poa na zaidi ya hayo yote ana nyumba nyingine anayodanganya kuwa amepanga hapo Msasani na sasa amejengewa nyumba nyingine huko Masaki ufukuweni!!! Mtu huyo huyo mmoja na nyumba zote hizo za nini?Hata Mzee kupokea na kuridhika inaleta ukakasi.
Mwalimu Julius asingepokea na angewashangaa sana kwa hicho wanachokifanya.
Hata makufuri wangu angekataa..ungesikia kandarasi wa shure yuko wapi mkuu wa wiraya mwalimu mkuu...nimeamua gari iuzwe na pesa muongeze madarasa na madawat ore wenu mule mutaitapika porisi mko wapi? Hii shure ijengwe baada ya mienzi miwili niretewe taarifa..au porisi acha njoo mtu wajeshi ndie asimamie porisi mko slow sana....mzee alikuwa na uzuri wake bwana tukatae tukubaliHata Mzee kupokea na kuridhika inaleta ukakasi.
Mwalimu Julius asingepokea na angewashangaa sana kwa hicho wanachokifanya.
dhambi hizi mkuu...dhambi hiziiii
Kuna Watu wanatafsiri kama husda, ila kiukweli ni mambo yanayokosa kabisa ulazima zaidi ya ufujaji tu.Kikwete amejenga kijiji kizima kwao Msoga kwa pesa ya IKULU na akajengewa nyumba nyingine pale Migombani ambayo alinunua kwa bei poa na zaidi ya hayo yote ana nyumba nyingine anayodanganya kuwa amepanga hapo Msasani na sasa amejengewa nyumba nyingine huko Masaki ufukuweni!!! Mtu huyo huyo mmoja na nyumba zote hizo za nini?
Angekuwa ni mtu wa busara kawavile ana nyumba ya hadhi yake,angekataa kupewa hiyo nyumba na kuomba hizo fedha ambazo zingetumika kumjengea zielekezwe kwenye maendeleo ya kwao Chalinze!! Lakini kwasababu ya ubinafsi hawezi kuwa na mawazo hayo!!! Viongozi wetu ni walafi wanaowatumia wananchi wao kujijengea ufalme!!
Hata makufuri wangu angekataa..ungesikia kandarasi wa shure yuko wapi mkuu wa wiraya mwalimu mkuu...nimeamua gari iuzwe na pesa muongeze madarasa na madawat ore wenu mule mutaitapika porisi mko wapi? Hii shure ijengwe baada ya mienzi miwili niretewe taarifa..au porisi acha njoo mtu wajeshi ndie asimamie porisi mko slow sana....mzee alikuwa na uzuri wake bwana tukatae tukubali
Kuna Watu wanatafsiri kama husda, ila kiukweli ni mambo yanayokosa kabisa ulazima zaidi ya ufujaji tu.
Ni kweli mkuu, na pia tutambue bin adam tunatofautiana sana sana.Msisah
Msisahau huyo ni raisi mstaafu aliyeitumikia nchi hii, kupewa gari kama zawadi na raisi aliyekuwepo madarakani kama zawadi yake ya birthday it's not a big deal.
wajing hawajui hiloMzee Mwinyi ni mali ya serikali mpaka mwisho wa maisha yake.
Watoto wake hawahusiki
Jk atapewa Ferrari, kwakuwa bado ni
HB na alivyo bishoo,itamfaa Sana
But ukiwa mzee tabu tupu ,yaani sura ya mzee Mwinyi inachekesha sana
Yaani runinga ziache kurusha matangazo ya moja kwa moja ya hotuba ya Rais wa nchi kisa eti kuna mechi ya Simba na Yanga ambayo wadhamini wameshalipia matangazo.
TFF mnapaswa kuangalia ratiba za matukio muhimu ya nchi kwanza wiki moja kabla mechi hazijachezwa.
Hizo haki za television ni zenu lakini linapokuja swala muhimu kwa taifa Simba na Yanga si lolote wala chochote kwa sababu siyo kila mtanzania anafagilia mambo ya soka na kamari.
Kazi Iendelee!
Nimeshakuambia mara kadhaa kuwa wewe ni mpumbavu na uwe unakaa pembeni ila husikiiNimeshakuambia mara kadhaa kuwa wewe ni mpumbavu na uwe unakaa pembeni ila husikii!Suala hapa siyo kuahirishwa kwa mechi ya Simba na Yanga na tukio la mwinyi kurushwa live.
Suala hapa ni serikali kuvunja kanuni za FIFA kwa kuingilia mambo ya michezo kama TFF walivyodai kwenye barua yao kuwa wameamriwa na wizara kusitisha mechi,kitu ambacho kinaweza kutugharimu kama Taifa katika masuala ya michezo.Umeelewa sasa?
Pengo hilo lipo kwenye ubongo wakoR.I.P Magufuli.
Pengo lako ni kubwa upuuzi kama huu usingeweza kujitokeza mbele yako
Kibaya zaidi na bila kujua polisi wanatembeza kipigo kwa wapenzi waliokuwa wanadai kiingilio chao.Nimeshakuambia mara kadhaa kuwa wewe ni mpumbavu na uwe unakaa kimya ila husikii!Suala hapa siyo kuahirishwa kwa mechi ya Simba na Yanga na tukio la mwinyi kurushwa live.
Suala hapa ni serikali kuvunja kanuni za FIFA kwa kuingilia mambo ya michezo kama TFF walivyodai kwenye barua yao kuwa wameamriwa na wizara kuahirisha mechi kitu ambacho ni kinyume na kanuni.Kitu hiki kinaweza kutugharimu kama Taifa katika masuala ya michezo.Umeelewa sasa?
🤣🤣🤣Kibaya zaidi na bila kujua polisi wanatembeza kipigo kwa wapenzi waliokuwa wanadai kiingilio chao.