Bulesi

Platinum Member
May 14, 2008
11,308
2,000
Hata Mzee kupokea na kuridhika inaleta ukakasi.

Mwalimu Julius asingepokea na angewashangaa sana kwa hicho wanachokifanya.
Kikwete amejenga kijiji kizima kwao Msoga kwa pesa ya IKULU na akajengewa nyumba nyingine pale Migombani ambayo alinunua kwa bei poa na zaidi ya hayo yote ana nyumba nyingine anayodanganya kuwa amepanga hapo Msasani na sasa amejengewa nyumba nyingine huko Masaki ufukuweni!!! Mtu huyo huyo mmoja na nyumba zote hizo za nini?

Angekuwa ni mtu wa busara kawavile ana nyumba ya hadhi yake,angekataa kupewa hiyo nyumba na kuomba hizo fedha ambazo zingetumika kumjengea zielekezwe kwenye maendeleo ya kwao Chalinze!! Lakini kwasababu ya ubinafsi hawezi kuwa na mawazo hayo!!! Viongozi wetu ni walafi wanaowatumia wananchi wao kujijengea ufalme!!
 
lulu za uru

JF-Expert Member
Aug 7, 2015
1,636
2,000
Hata Mzee kupokea na kuridhika inaleta ukakasi.

Mwalimu Julius asingepokea na angewashangaa sana kwa hicho wanachokifanya.
Hata makufuri wangu angekataa..ungesikia kandarasi wa shure yuko wapi mkuu wa wiraya mwalimu mkuu...nimeamua gari iuzwe na pesa muongeze madarasa na madawat ore wenu mule mutaitapika porisi mko wapi? Hii shure ijengwe baada ya mienzi miwili niretewe taarifa..au porisi acha njoo mtu wajeshi ndie asimamie porisi mko slow sana....mzee alikuwa na uzuri wake bwana tukatae tukubali
 
kurlzawa

JF-Expert Member
Jan 23, 2018
16,430
2,000
uyu mzee kila akiongea ni pumba tu jana kakwamisha mechi kisa mambo yako
 
The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
44,135
2,000
Kuna watu 'hawana shukran'
Gari la milioni 400 is nothing compares na alichofanya Mwinyi nchi hii..

Aliruhusu Uhuru huu WA habari
Kwa mara ya Kwanza vyombo binafsi vya habari vikaruhusiwa..

Akaruhusu vyama vingi ...

Achilia mbali mambo mengi Sana ya kiuchumi

Leo mnamsimanga Kwa gari??
 
May Day

JF-Expert Member
May 18, 2018
4,974
2,000
Kikwete amejenga kijiji kizima kwao Msoga kwa pesa ya IKULU na akajengewa nyumba nyingine pale Migombani ambayo alinunua kwa bei poa na zaidi ya hayo yote ana nyumba nyingine anayodanganya kuwa amepanga hapo Msasani na sasa amejengewa nyumba nyingine huko Masaki ufukuweni!!! Mtu huyo huyo mmoja na nyumba zote hizo za nini?

Angekuwa ni mtu wa busara kawavile ana nyumba ya hadhi yake,angekataa kupewa hiyo nyumba na kuomba hizo fedha ambazo zingetumika kumjengea zielekezwe kwenye maendeleo ya kwao Chalinze!! Lakini kwasababu ya ubinafsi hawezi kuwa na mawazo hayo!!! Viongozi wetu ni walafi wanaowatumia wananchi wao kujijengea ufalme!!
Kuna Watu wanatafsiri kama husda, ila kiukweli ni mambo yanayokosa kabisa ulazima zaidi ya ufujaji tu.
 
Waberoya

Platinum Member
Aug 3, 2008
15,149
2,000
Hata makufuri wangu angekataa..ungesikia kandarasi wa shure yuko wapi mkuu wa wiraya mwalimu mkuu...nimeamua gari iuzwe na pesa muongeze madarasa na madawat ore wenu mule mutaitapika porisi mko wapi? Hii shure ijengwe baada ya mienzi miwili niretewe taarifa..au porisi acha njoo mtu wajeshi ndie asimamie porisi mko slow sana....mzee alikuwa na uzuri wake bwana tukatae tukubali

acha tu
 
Jesca hon

Member
Jan 9, 2019
6
125
Uzi Maalum wa Kujuzana yaliyomo kwenye kitabu cha Historia ya Maisha ya Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi. Karibuni kwa yaliyomo ili na wasiosoma vitabu wapate ujumbe.

IMG_2579.jpg
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
50,994
2,000
Yaani runinga ziache kurusha matangazo ya moja kwa moja ya hotuba ya Rais wa nchi kisa eti kuna mechi ya Simba na Yanga ambayo wadhamini wameshalipia matangazo.

TFF mnapaswa kuangalia ratiba za matukio muhimu ya nchi kwanza wiki moja kabla mechi hazijachezwa.

Hizo haki za television ni zenu lakini linapokuja swala muhimu kwa taifa Simba na Yanga si lolote wala chochote kwa sababu siyo kila mtanzania anafagilia mambo ya soka na kamari.

Kazi Iendelee!
 
Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
37,281
2,000
Nimeshakuambia mara kadhaa kuwa wewe ni mpumbavu na uwe unakaa kimya ila husikii!Suala hapa siyo kuahirishwa kwa mechi ya Simba na Yanga na tukio la mwinyi kurushwa live.

Suala hapa ni serikali kuvunja kanuni za FIFA kwa kuingilia mambo ya michezo kama TFF walivyodai kwenye barua yao kuwa wameamriwa na wizara kuahirisha mechi kitu ambacho ni kinyume na kanuni.Kitu hiki kinaweza kutugharimu kama Taifa katika masuala ya michezo.Umeelewa sasa?
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
182,824
2,000
Yaani runinga ziache kurusha matangazo ya moja kwa moja ya hotuba ya Rais wa nchi kisa eti kuna mechi ya Simba na Yanga ambayo wadhamini wameshalipia matangazo.

TFF mnapaswa kuangalia ratiba za matukio muhimu ya nchi kwanza wiki moja kabla mechi hazijachezwa.

Hizo haki za television ni zenu lakini linapokuja swala muhimu kwa taifa Simba na Yanga si lolote wala chochote kwa sababu siyo kila mtanzania anafagilia mambo ya soka na kamari.

Kazi Iendelee!
Nimeshakuambia mara kadhaa kuwa wewe ni mpumbavu na uwe unakaa pembeni ila husikii!Suala hapa siyo kuahirishwa kwa mechi ya Simba na Yanga na tukio la mwinyi kurushwa live.

Suala hapa ni serikali kuvunja kanuni za FIFA kwa kuingilia mambo ya michezo kama TFF walivyodai kwenye barua yao kuwa wameamriwa na wizara kusitisha mechi,kitu ambacho kinaweza kutugharimu kama Taifa katika masuala ya michezo.Umeelewa sasa?
Nimeshakuambia mara kadhaa kuwa wewe ni mpumbavu na uwe unakaa pembeni ila husikii
 
Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
112,225
2,000
Nimeshakuambia mara kadhaa kuwa wewe ni mpumbavu na uwe unakaa kimya ila husikii!Suala hapa siyo kuahirishwa kwa mechi ya Simba na Yanga na tukio la mwinyi kurushwa live.

Suala hapa ni serikali kuvunja kanuni za FIFA kwa kuingilia mambo ya michezo kama TFF walivyodai kwenye barua yao kuwa wameamriwa na wizara kuahirisha mechi kitu ambacho ni kinyume na kanuni.Kitu hiki kinaweza kutugharimu kama Taifa katika masuala ya michezo.Umeelewa sasa?
Kibaya zaidi na bila kujua polisi wanatembeza kipigo kwa wapenzi waliokuwa wanadai kiingilio chao.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom