nankumene

JF-Expert Member
Nov 12, 2015
6,326
2,000
najua watu watacheka na kumtukana huyu jamaa ila inawezekana waliotoa matamko ya kuitaka TFF wasgeze mechi mbele ndio wana mawazo km ya huyu jamaa, hakika sisi waafrika kuendelea mpk kufika level za dunia ya kwanza inaweza isiwezekane kabisa mpk mwsho wa dunia, watu bado tuna fikra duni sana loh
 

Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
37,255
2,000
Wewe mbwiga hata Dr Mahera alisema amepewa orodha ya akina Halima Mdee na Katibu mkuu wa Chadema J J Mnyika.

Hiyo barua umeiona?

Nyie ndio maana Ndugai anawaburuza kadri apendavyo!
Unaelewa kuwa hiyo barua ya TFF ni official document?Unaelewa maana ya official document?Unaelewa kuwa FIFA wataitumia barua hii kama kielelezo/ushahidi?Kwa hiyo FIFA wataacha kuiwajibisha Tanzania kwa kosa la kuvunja kanuni kisa hata Dr Mahera alisema amepewa orodha ya akina Halima Mdee na Katibu mkuu wa Chadema J J Mnyika?
 

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
112,199
2,000
'…Wahafidhina wa Ujamaa walinifunga Goli 1987 kwa kumnyima kura Cleopa David Msuya Waziri wangu muhimu lakin nami nilihakikisha Pamoja na kunifunga goli hawashindi mechi …na hawakushinda mechi'-Ally Hassan Mwinyi kwny kitabu chake cha Mzee Rukhsa!


Mzee Rukhsa ni Yanga Lia lia naona katumia mbinu ya kimedani kutoharibu tukio lake muhimu kwa Utopolo kufungwa kwa kipigo cha Mbwa mwizi,
Ccm hakuna msafi
 

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
50,925
2,000
Unaelewa kuwa hiyo barua ya TFF ni official document?Unaelewa maana ya official document?Unaelewa kuwa FIFA wataitumia barua hii kama kielelezo/ushahidi?Kwa hiyo FIFA wataacha kuiwajibisha Tanzania kwa kosa la kuvunja kanuni kisa hata Dr Mahera alisema amepewa orodha ya akina Halima Mdee na Katibu mkuu wa Chadema J J Mnyika?
Kwahiyo barua za Chadema siyo official? Ni vipeperushi?!!

Nimekuambia Ndugai atawaburuza apendavyo kwa sababu ninyi wenyewe hamjitambui!
 

zandrano

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
4,574
2,000
Kitabu cha Mzee Ruksa kimeanika kila kitu wazi bila chembe ya unafiki.

ni kitabu kinatufundisha mambo mengi sana haswa kwenye maisha ya uongozi.

kuna aina kuu mbili ya viongozi

1. Viongozi waadilifu na wasema kweli.

2. Viongozi wanafiki

Viongozi wanafiki ni hatari zaidi kuliko silaha ya nyuklia., viongozi wanafiki ndio huchelewesha maendeleo ya wananchi, viongozi wanafiki ndio hueneza chuki miongoni mwa wananchi n.k

Ahsante Mzee Ruksa kwa kumwaga madini.
 

Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
37,255
2,000
Kwahiyo barua za Chadema siyo official? Ni vipeperushi?!!

Nimekuambia Ndugai atawaburuza apendavyo kwa sababu ninyi wenyewe hamjitambui!
Huna akili timamu.Unamfananisha Ndugai ambae yeye mwenyewe amekiri kuwa ana file Mirembe na FIFA?Una matatizo ya akili!
 

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
50,925
2,000
Huna akili timamu.Unamfananisha Ndugai ambae yeye mwenyewe amekiri kuwa ana file Mirembe na FIFA?Una matatizo ya akili!
Hahahaaaa...... Wewe umekiri kuwa barua zenu hapo Ufipa siyo official!

Ndio maana daktari wa Sheria Tulia alimuonya mama Kafulila kwamba ni mwanachama halali wa Chadema!
 

Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
37,255
2,000
Hahahaaaa...... Wewe umekiri kuwa barua zenu hapo Ufipa siyo official!

Ndio maana daktari wa Sheria Tulia alimuonya mama Kafulila kwamba ni mwanachama halali wa Chadema!
Wapi nimesema kuwa natokea ufipa?Wapi nimekiri kuwa hizo barua siyo official?Ni kitu gani kinazifanya hizo barua kuwa siyo official?
 

Ivan said

Member
Feb 14, 2021
83
150
Watoto wa miaka ya 2000 mnajulikana tu. Sikiliza nikwambie kijana.. usione maduka kibao k'koo, shule nzuri za serikali na binafsi, mitumba ya kumwaga tandale, manzese, k'koo na sehem mbali mbali za nchi, zahanati na hospital za serikali na binafsi, mchele mzuri wa kunukia, unga safi wa ugali na ngano ukafikiri labda vimeletwa na Kikwete au Magufuli. Hizo ni juhudi za huyo unaemkandia, pengine bila upendo wake kwa wananchi wake leo hii ungekuwa unavaa magunia. Hata hiyo sim unayotumia kuandikia pumba pengine leo usingekuwa nayo. Usione vyaelea vimeundwa kaka
Vema sana
 

Bulesi

Platinum Member
May 14, 2008
11,293
2,000
Kuna watu 'hawana shukran'
Gari la milioni 400 is nothing compares na alichofanya Mwinyi nchi hii..

Aliruhusu Uhuru huu WA habari
Kwa mara ya Kwanza vyombo binafsi vya habari vikaruhusiwa..

Akaruhusu vyama vingi ...

Achilia mbali mambo mengi Sana ya kiuchumi

Leo mnamsimanga Kwa gari??

Mimi naona tatizo liko kwenye justification ya kumzawadia aina hiyo ya gari na sio kumpatia zawadi.. Mzee Mwinyi na wenzie wastaafu wamepewa maV8 kama magari yao ya kutumia, sasa Rais Samia akasema amemuona Mzee Mwinyi anateseka sana wakati wa kupanda na kushuka kwenye hayo maV8 ndio maana akaja na hiyo zawadi ya birthday yake ya kumpa Mercedes benz ya milioni 400 ambayo atapanda bila shida!!

Sasa watu wanajiuliza hilo gari Mercedes Benz 500 huyo Mzee atakuwa analitumia katika shuhuri zake mjini tu na kwenye barabara za lami; kwani kwa safari za Mwenda Mkuranga hilo gari halifai, barabara za huko ni makorongo matupu!! Kwa shuhuri zake za kutembea kwenye barabara za lami je haingekuwa busara kama angepewa gari sedan ya bei poa kidogo lakini ya hadhi yake kama TOYOTA CROWN au LEXUS halafu hilo V8 lake aendelee kulitumia kwenda nyumbani kwake KIVULE!! Kulipelleka hilo benz Kivule ni kuliharibu tu!!

Hapa tueleweke tu kwamba tunaangalia rationale na functionality ya kununua mercedes 500 under our economic circumstances!! Kikwete nae baada ya miaka miwili wapambe wake serikalini wakimjengea hoja kuwa siku hizi mzee hawezi kupanda V8 anapanda kwa taabu mtamyima mercedes benz 500? You have created a precedent!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom