Kwa maoni yangu zawadi sio jambo la msingi sana kujadiliwa, tunapoteza malengo na makusudio.

nadhani hata yeye mwenyewe Mzee wetu Babu yetu wa Taifa Mzee Ruksa atafarijika zaidi akiona tunajikita kujadili MAUDHUI ya kitabu chake alicho kiandika badala ya kujadili ZAWADI aliyo pewa.
 
Jana taharuki ambayo ilizuka kutokana na kuahirisha pambano la watani kwa muda uliopangwa ili wewe uweze zindua kitabu chako halikuwa la kiuungwana.

Pengije hukuhusishwa. Lakini ni wazi kuwa ilisababisha taharuki isiyo na lazima kwa jambo ambalo lilikuwa binafsi.lako binafsi si la kitaifa.

Mechi ya Simba na Yanga ni wa kitaifa. Ndio maana kuna watu walitoka mikoani hata nchi jirani kuja angalia.

Kitabu chako si jambo la kitaifa. Ungeuliza Watanzania wachague kuangalia uzinduzi wako au kuangalia mpira asilimia 90 wangekwambia mpira.

Nani angetaka kufuatilia kitabu cha tsh 75,000? Nani? Kimsadie nini? Muda wa kukisoma angepata wapi na changamoto za maisha duni?

Hawa Watanzania walisababishiwa taharuki isiyo na sababu na yangeweza hata tokea maafa kama wangeweza kuwa mobillized kidogo tu kugoma na kufanya fujo.

Mzee wangu naamini una busara. Umri wako mkubwa n.k. kusema pesa zinazopatikana kutokana na kitabu hicho zichangie sijui mfuko gani...hamna kitu hapo. Wanunuzi wa kitabu hicho tz nzima sidhani kama watafika hata 1000.

Mi nadhani kama una nia ya kuwasaidia Watanzania rudisha hiyo gari uliyopewa. Ipigwe mnada then pesa zake zitumike kusaidia watanzania maskini. ukauze baadhi ya mali zako uwasaidie maskini.

Watoto wako hawashindwi kukununulia gari utakalo. Asilimia 80 ya mshahara unaoendelea kupata hushindwi wewe kununua gari utakalo. Unalipiwa karibia kila kitu. Kuna haja gani mzee kuchukua zaidi pesa za Watanzania maskini hawa?

Mshukuru mama Samia mwambie asante kwa zawadi nami naitoa kuirudisha kwa watanzania maskini. Huo ni uungwana.

Ni hayo tu mzee wangu.
Wabillah Tawfiq.
 
Sasa ni wakati wa wananchi kupiga kelele, Vingozi wanapigiania maslahi yao wenyewe, haiwezekani mtu anapata kila kitu mpaka matibabu bure kwa kodi zetu, leo unamzawadia gari yenye thamani ya 400m, ili hali hela hiyo inaweza kujenga mradi wa maji ikanufaisha wananchi kibao
 
Unataka Rais anunuliwe gari na watoto wake? Hivi nyie mmezaliwa Somalia Nini? Unataka Rais sasa akiwa Madarakani awe mwoga ajilimbikizie. Benz moja tu roho imewatoka kwa mtu ambaye ametutoa Gizani akatuweka kwenye nuru
 
Ushamba sana huu kwa the so-called viongozi; wanasahau kuwa kiongozi ni kioo cha jamii.
 
Sasa ni wakati wa wananchi kupiga kelele, Vingozi wanapigiania maslahi yao wenyewe, haiwezekani mtu anapata kila kitu mpaka matibabu bure kwa kodi zetu, leo unamzawadia gari yenye thamani ya 400m, ili hali hela hiyo inaweza kujenga mradi wa maji ikanufaisha wananchi kibao
Wanasiasa wanajitengenezea ulimwengu wao Afrika, wao ndo wanafanya hali za nchi zao kuendelea kuwa duni. Ndo maana hata sasa wasomi wanakimbilia siasa.Siasa inalipa kuliko kusoma. Kuanzia sasa kila mmoja alipo agombee kwa nafasi yoyote, ni muhula mmoja pisha wengine. Wasitudanganye na eti uzalendo.
 
Jana taharuki ambayo ilizuka kutokana na kuahirisha pambano la watani kwa muda uliopangwa ili wewe uweze zindua kitabu chako halikuwa la kiuungwana.

Pengije hukuhusishwa. Lakini ni wazi kuwa ilisababisha taharuki isiyo na lazima kwa jambo ambalo lilikuwa binafsi.lako binafsi si la kitaifa.

Mechi ya Simba na Yanga ni wa kitaifa. Ndio maana kuna watu walitoka mikoani hata nchi jirani kuja angalia.

Kitabu chako si jambo la kitaifa. Ungeuliza Watanzania wachague kuangalia uzinduzi wako au kuangalia mpira asilimia 90 wangekwambia mpira.

Nani angetaka kufuatilia kitabu cha tsh 75,000? Nani? Kimsadie nini? Muda wa kukisoma angepata wapi na changamoto za maisha duni?

Hawa Watanzania walisababishiwa taharuki isiyo na sababu na yangeweza hata tokea maafa kama wangeweza kuwa mobillized kidogo tu kugoma na kufanya fujo.

Mzee wangu naamini una busara. Umri wako mkubwa n.k. kusema pesa zinazopatikana kutokana na kitabu hicho zichangie sijui mfuko gani...hamna kitu hapo. Wanunuzi wa kitabu hicho tz nzima sidhani kama watafika hata 1000.

Mi nadhani kama una nia ya kuwasaidia Watanzania rudisha hiyo gari uliyopewa. Ipigwe mnada then pesa zake zitumike kusaidia watanzania maskini. ukauze baadhi ya mali zako uwasaidie maskini.

Watoto wako hawashindwi kukununulia gari utakalo. Asilimia 80 ya mshahara unaoendelea kupata hushindwi wewe kununua gari utakalo. Unalipiwa karibia kila kitu. Kuna haja gani mzee kuchukua zaidi pesa za Watanzania maskini hawa?

Mshukuru mama Samia mwambie asante kwa zawadi nami naitoa kuirudisha kwa watanzania maskini. Huo ni uungwana.

Ni hayo tu mzee wangu.
Wabillah Tawfiq.
Akifanya hivyo mi ntakunya Posta Pale kwenye Sanamu ya Nyerer mchana kweupe
 
Sasa ni wakati wa wananchi kupiga kelele, Vingozi wanapigiania maslahi yao wenyewe, haiwezekani mtu anapata kila kitu mpaka matibabu bure kwa kodi zetu, leo unamzawadia gari yenye thamani ya 400m, ili hali hela hiyo inaweza kujenga mradi wa maji ikanufaisha wananchi kibao
Ukumbuke Bila Mwinyi Samia asingefika hapo alipo, Bila Magufuli Huseein Mwanaye asingefika pale alipo. Usiku mwema.
 
Unataka Rais anunuliwe gari na watoto wake? Hivi nyie mmezaliwa Somalia Nini? Unataka Rais sasa akiwa Madarakani awe mwoga ajilimbikizie. Benz moja tu roho imewatoka kwa mtu ambaye ametutoa Gizani akatuweka kwenye nuru

Sent from my vivo 1915 using JamiiForums mobile app

IMG-20210330-WA0000.jpg
 
Jana taharuki ambayo ilizuka kutokana na kuahirisha pambano la watani kwa muda uliopangwa ili wewe uweze zindua kitabu chako halikuwa la kiuungwana.

Pengije hukuhusishwa. Lakini ni wazi kuwa ilisababisha taharuki isiyo na lazima kwa jambo ambalo lilikuwa binafsi.lako binafsi si la kitaifa.

Mechi ya Simba na Yanga ni wa kitaifa. Ndio maana kuna watu walitoka mikoani hata nchi jirani kuja angalia.

Kitabu chako si jambo la kitaifa. Ungeuliza Watanzania wachague kuangalia uzinduzi wako au kuangalia mpira asilimia 90 wangekwambia mpira.

Nani angetaka kufuatilia kitabu cha tsh 75,000? Nani? Kimsadie nini? Muda wa kukisoma angepata wapi na changamoto za maisha duni?

Hawa Watanzania walisababishiwa taharuki isiyo na sababu na yangeweza hata tokea maafa kama wangeweza kuwa mobillized kidogo tu kugoma na kufanya fujo.

Mzee wangu naamini una busara. Umri wako mkubwa n.k. kusema pesa zinazopatikana kutokana na kitabu hicho zichangie sijui mfuko gani...hamna kitu hapo. Wanunuzi wa kitabu hicho tz nzima sidhani kama watafika hata 1000.

Mi nadhani kama una nia ya kuwasaidia Watanzania rudisha hiyo gari uliyopewa. Ipigwe mnada then pesa zake zitumike kusaidia watanzania maskini. ukauze baadhi ya mali zako uwasaidie maskini.

Watoto wako hawashindwi kukununulia gari utakalo. Asilimia 80 ya mshahara unaoendelea kupata hushindwi wewe kununua gari utakalo. Unalipiwa karibia kila kitu. Kuna haja gani mzee kuchukua zaidi pesa za Watanzania maskini hawa?

Mshukuru mama Samia mwambie asante kwa zawadi nami naitoa kuirudisha kwa watanzania maskini. Huo ni uungwana.

Ni hayo tu mzee wangu.
Wabillah Tawfiq.
Ahsante

Ungetegemee mtu ambae amekuwa Rais, anaelipiwa mpaka vocha mpaka leo ndio awe na uchungu na uzalendo na nchì hii kuliko mimi na wewe

Waafrika tuna nini ?????

Hivi vizee ambavyo vilienda shule peku na viraka matakoni kwa nini vinasahau umaskini wa walikotoka kuliko mimi ambae nilikulia mjini na sikuwahi kutembe peku wala kushindia uji, vina nini hivi vizeeeee ?
 
Hilo gari sio lake personal ni la serikali wamembadilishia....v8 inabakia back up tu yeye daily operation zake atumie gari chini iwe rahisi kupanda na kushuka....shida nini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom