Si ndiyo atuzuie sasa, tusipumue. Aendelee tu kutuonea.
Awaonee vipi tena wakati sasa hivi mnapumua?
Awaonee vipi tena wakati sasa hivi mnapumua?
Daah haya madaraka haya
Tatizo la wanasiasa wetu ni ajira! Akijiuzulu hana ajira wala kipato kingine cho chote!ndugai ana fursa ya kuandika hostoria kwa bara ala Africa. Atapata heshima kubwa sana kama atajiuzulu sasa kwa sababu ya kushidwa kuelewana na Raisi wake kuliko kukomaa na kubakia madarakani bila maelewano ya serikali
Ndio mawazo yangu kwa kweli,ilitakiwa aitushe kikao cha dharula cha balaza la mawaziri,pamoja na Spika ili wasutane,wachambane mpka hamu yao iishe kisha ,warudi kuwaachia TRA kuja kuwaelimisha wananchi juu ya mikopo yenye riba na isiyo na riba na nini manufaa ya hiyo mikopo,Alitakiwa amute na asimamie alichokiamini kama alikuwa na uhakika na hoja alizoibua kuhusiana na suala la mikopo. Kitendo cha kujitokeza na kutaka asamehewe kwa kutaka, kulazimishwa, kutokuusoma mchezo vizuri ama hata kwa kulazimishwa ndio kilifungua na kimefungua njia ya yeye kusimangwa.
Ila subwoofer ni bonge la bwege.Ndugai amevuliwa ma-confidence yote aliyokuwa nayo amebaki mtupu!🤣🤣🤣
CcUwiiiiiiiiiiiiiii!
Sukuma gang chaliiiiiii
Chato legacy chini!!!!!?!
Nyanengh'we!!
Thanks for this
Mkuu Mag3
Hivi hiyo sauti kwenye video ni ya nani?Thanks for this
P