Rais Samia amvaa Ndugai. Asema, "Huwezi kuamini mtu mzima ana-argue tozo na mkopo wa Trilioni 1.3"

Kwa hotuba ya leo ya Samia kama Ndugai asipojiuzulu basi hana akili timamu na anatumikia tumbo lake tu. Samia amesema wazi kuwa kilichomsukuma Ndugai kupinga mikopo ni Uchaguzi Mkuu wa 2025...
Ndugai ana fursa ya kuandika hostoria kwa bara ala Africa. Atapata heshima kubwa sana kama atajiuzulu sasa kwa sababu ya kushidwa kuelewana na Raisi wake kuliko kukomaa na kubakia madarakani bila maelewano ya serikali
 
ndugai ana fursa ya kuandika hostoria kwa bara ala Africa. Atapata heshima kubwa sana kama atajiuzulu sasa kwa sababu ya kushidwa kuelewana na Raisi wake kuliko kukomaa na kubakia madarakani bila maelewano ya serikali
Tatizo la wanasiasa wetu ni ajira! Akijiuzulu hana ajira wala kipato kingine cho chote!
 
Alitakiwa amute na asimamie alichokiamini kama alikuwa na uhakika na hoja alizoibua kuhusiana na suala la mikopo. Kitendo cha kujitokeza na kutaka asamehewe kwa kutaka, kulazimishwa, kutokuusoma mchezo vizuri ama hata kwa kulazimishwa ndio kilifungua na kimefungua njia ya yeye kusimangwa.
Ndio mawazo yangu kwa kweli,ilitakiwa aitushe kikao cha dharula cha balaza la mawaziri,pamoja na Spika ili wasutane,wachambane mpka hamu yao iishe kisha ,warudi kuwaachia TRA kuja kuwaelimisha wananchi juu ya mikopo yenye riba na isiyo na riba na nini manufaa ya hiyo mikopo,

kuliko kila mmoja kwenye Pablic kuwafaidisha wapizani na majini..zaidi sana mama aliruhusu kukosolewa na akasema atakuwa mvumilivu imekuwaje sasa..uvumilivu umeisha kwakuwa issue imetoka kwenye mhimili mwingine? This is Shame for all Tanzanian
 


Huo ujumbe unafikirisha sana.

Watanzania wenzangu tukumbuke kujilinda na magonjwa ya ili nasi tuwe na mioyo ya nyama na si ya mashine za grasi ambayo muda wowote inaweza kupasuka.

RIP JPM.
 
Kwa hii video sina la kuongezea...karibuni

View attachment 2071433

Toa maoni yako...

Mkuu Mag3

Kuna viumbe hawaelewi hadi yawafike .

Ndugai hakubaliani na katiba mpya hata siku moja. Anadai mifumo ipo sawa kwasababu ya Uspika na marupu rupu yake na Familia. Leo pale Kongwa hawezi kukubaliana na hoja hiyo tena

Nape alifungia uhuru wa habari hadi yalipomfika akikabiliana ana kwa ana na punje za shaba
Leo Nape anaelewa maana ya uhuru ni nini, udikteta nini na haki za watu ni nini

Polepole alikuwa katika rasimu ya Warioba. Alizunguka nchi nzima akipiga kelele za Katiba mpya.
Alipopewa ulaji, Polepole yule yule akasema katiba si muhimu tena bali uchumi
Majuzi kaondolewa karudi kusema katiba si kipaumbele mama aachwe afanye kazi
Wiki iliyofuata kasema katiba inaandikwa na Rais anayeondoka

Polepole mmoja ana 'evolve' kila baada ya miaka kwasababu ya utamu.

Juzi kashtakiwa na 'hakuna' kahukumiwa na TCRA na kuzibwa mdomo wa uhuru wa maoni ambayo ni haki yake. Leo Polepole yule anayegeuka atakwambia katiba mpya ni muhimu

Hatuwezi kufanikiwa kuongea lugha moja na hawa viumbe kama hawapitii madhila.

Yes hoja ya Ndugai ni muhimu lakini kuondoka kwakwe ni muhimu zaidi. Ndugai kanajisi Bunge sana pengine anguko la pua ukichanganya na wengine linaweza kutusaidia kutoa funzo

Kwamba, tunahitaji haki kama Raia kupitia katiba na kwamba anayekaa mbali au asiyetaka kushiriki ipo siku katiba hiyo hiyo itamweka kitako kama si yeye ni mwanae au mjukuu

JokaKuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom