Rais Magufuli ataja sababu kusitisha ujenzi bandari ya Bagamoyo kwa Mkopo wa Dola Bilioni 10

Safi sana, hawa jamaa wanaangalia miaka ijayo nusu ya Africa iwe yao ili walime kwa ajili ya chakula cha kuwalisha watu wao wanaoongezeka kila kukicha
Ardhi yao kubwa wamejenga viwanda hivyo kukosa sehemu nyingi kwa kilimo
Mikakati yao ni ya miaka mingi sana nilisoma kwenye makala moja kuwa wanataka kuwekeza zaidi kwenye kilimo Africa

Mikataba ya unyonyaji na uporaji ni mingi sana wamefanya na nchi zingine zinaisoma namba
Kwa hili nampongeza sana


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Mikataba ya kinyonyaji haikubaliki ila asimuone mtangulizi wake kilaza! Hata yeye alikuwepo kwenye serikali iliyopita asijione malaika! Na yeye akitoka madarakani anayefuata atafuta baadhi ya mikataba anayoingia sasa! Sisi ngozi nyeusi ni wanafiki sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unashangaa na unamlaumu namna anashauri watu kujifukiza kisha unafall in love na maamuzi yake ya kuinusuru Tz dhidi ya wachina, kisha unachanganyikiwa zaidi unapokumbuka kua alisema wachina ni marafiki zetu ila kawatolea lugha ya dhihaka na hana noma.
 
Back
Top Bottom