Rais Magufuli ataja sababu kusitisha ujenzi bandari ya Bagamoyo kwa Mkopo wa Dola Bilioni 10

Waivujishe basi hiyo mikataba tuione na sisi wananchi. Watu weusi ni wazito wa kusoma vitu. Tupieni hapa tuichambue.
 
Magufuli hawezi na hajawahi kukubaliana na mkataba wowote ulioingiwa bila yeye kushirikishwa ( kupewa DEAL ).

Ukitaka kujua hilo muulize Kangi Lugola.

Yeye tu ndio MR PERFECT and PROCURER IN CHIEF.

Wakati anaingia madarakani alikuwa anaponda sana sheria ya manunuzi, kumbe alitamani yeye ndio MNUNUZI Mkuu.

Huyu jamaa sijui kaokotwa wapi aisee. Daaah
 
Magufuli hawezi na hajawahi kukubaliana na mkataba wowote ulioingiwa bila yeye kushirikishwa ( kupewa DEAL ).

Ukitaka kujua hilo muulize Kangi Lugola.

Yeye tu ndio MR PERFECT and PROCURER IN CHIEF.

Wakati anaingia madarakani alikuwa anaponda sana sheria ya manunuzi, kumbe alitamani yeye ndio MNUNUZI Mkuu.

Huyu jamaa sijui kaokotwa wapi aisee. Daaah


Kaokotwa vijiji vya Chato akilima tumbaku ya ugoro
 
Toka Lin mikataba ya kuvunjwa ikajadiliwa bungeni waambie wanao kutuma kutukana wawe Wana kuelimisha kidogo. Huo mkataba ulijadiliwa wakati wa kikwete bungeni so now mzee anauvunja Sio kwamba watu hawaujui
Wewe ndye mlevi na mpumbavu unaambiwa vitu hewa unaamini. Mikataba mikubwa ya namna iyo hujadiliwa na bunge nje ya hapo ni batili.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais wetu na mpigania wanyonge amekataa kupokea mkopo wa dola 10 billion kutoka kwa China ili kupambana na corona,Rais amefikia uamzi huo baada ya kuona masharti ya mkopo huo ni magumu na yanaliweka taifa letu rehani.

Mheshimiwa rais ameukataa mkopo huo kutokana na kujifunza yaliyowapata majirani zake kama Kenya, lakini pia kutoka srilanka,kwani baada ya kushindwa kulipa deni la nchi kama china kinschofuata na utaifishwaji wa miundo mbinu ambao hufanywa na China

Kila la kheri rais wa wanyonge,kila la kheri serikali yangu ya CCM.

"""""""""""""""""""

President Magufuli of Tanzania has been trending on Twitter after he cancelled a 10 Billion dollar loan that was offered by China.

China has been giving African countries loans which many citizens feel are not good for their economies, even a Kenyan Tweeted a funny meme on Twitter;


You may ask why a country like Tanzania can just cancel a huge loan that could improve their economy? With Covid19 ravaging the country? Wouldn't it be a great thing to just accept the loan and pay later?

But Magufuli termed the loan terms as "terms that can only be accepted by a drunkard"

Here is why;
Debt-trap diplomacy used by China
According to Wikipedia, Debt-trap diplomacy refers to the strategy used by China to lure or trap underdeveloped countries like the ones in Africa to borrow money to be used for infrastructure projects e.g. the standard gauge railway in Kenya that cost US$3.6 billion funded entirely by China.

What happens when you fail to pay the Chinese loan?
Take an example of Sri Lanka, the Chinese gave Sri Lankan government loans worth billions of dollars, which also funded Hambantota Port.


After Sri Lanka became unable to service the Chinese loan, according to Chinese loan terms, the port had to be handed over to China. Now the port belongs to the Chinese.

With Chinese loan, you either pay or they take any project that they funded if Kenya can't pay the Chinese, China will reposses the Railway which they will gain all profits from it for 99 years of lease.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acheni kujiosha...... Jakaya alivyotoka Deni la Taifa lilikuwa how much na Sasa baada ya Mwamba kuingia Ni kiasi gani?????

Ivi ile 1.5 ya CAG Assad imeshapatikana???? Najiuliza mwenyewe TU.
 
Weka sababu za Raisi Magufuli kukataa mkopo huo tokea China.
Kusema tu anayekubali mkopo huo ni drunkard its vague.
Kama ukienda kuomba msaada nawewe hukukubaliana na masharti,hakuna haja ya kutoa lugha hiyo kuna kesho na keshokutwa.Jifunze kuseme NO THANK YOU ndio lugha ya diplomasia.
 
Jiwe akatae pesa?za tetemeko la ardhi Kagera kazifanya nini?hizi za michango ya Corona zilichangwa na Barrick na Vodacom kazifanya nini?hii habari inamapungufu makubwa Jiwe kwa pesa ni kama uji na mgonjwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom