Rachel Dangwa yuko 'kwenye Mikono Salama'

Rachel Dangwa yuko 'kwenye Mikono Salama'

Jidanganye, USA watu wanakodi hitman , anapigwa chuma kweupe habari yake kwisha..Huyo kimambi hata wakija watu wa delivery kwake anaogopa , nchi rahisi sana kuuliwa ni USA, kila mwaka wanaongoza kwa kesi za watu kuuliwa , ukija afrika ni South Africa.
Watachunguza na watajua nani aliyesuka mpango wakishagundua kiama chako ndio kitafika uliyepanga uwo mpango
 
Kuna nchi ambazo wasingewaza ata kumfuata mojawapo ni USA kwa mambo anayoyaongea Mange angekuwa nchi za kusadikika tayari walikuwa wameshamalzana nae kitambo sana..shida inakuja ni USA kumfanya chochote akiwa kule wanaweza kabisa tatizo linakuja ni lazima itajulikana na ikashajulikana moto ndio utaanzia apo
 
Rasmi yule dada anayetukana matusi Rasmi yuko kwenye mikono Salama taangu tarehe 30/07/2026 soon atapandishwa kujibu Yanayomkabili au anaweza asionekane kabisa Save huu Uzi serikali ina mkono mrefu.
Mbona kapost TIKTOK
 
Waliokuwa wanamshangilia huyo kahaba na ule ujinga wake sasa naona wote wamemgeuka baada ya kukamatwa ni kama vile polepole baada ya kukamatwa wakaanza kumuita ndezi
Wabongo ndumilakuwili
 
Waliokuwa wanamshangilia huyo kahaba na ule ujinga wake sasa naona wote wamemgeuka baada ya kukamatwa ni kama vile polepole baada ya kukamatwa wakaanza kumuita ndezi
Wabongo ndumilakuwili
Kweli wanamuona Kenge wote walikua nyuma yao
 
Back
Top Bottom