baz kaiza
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 14,108
- 16,933
Kuna balozi kuleSerikali hizo hela kuchezechezea inatoa wapi kutuma watu hadi japani kwenda kumteka recho dagwa kwanini hizo fedha zisielekezwe kwenye miradi ya naendeleo
Kuna balozi kuleSerikali hizo hela kuchezechezea inatoa wapi kutuma watu hadi japani kwenda kumteka recho dagwa kwanini hizo fedha zisielekezwe kwenye miradi ya naendeleo
🤣🤣🤣Umesoma kwa maria sarung huko X unajifanya unajua sana kutuletea huku.
🤣🤣🤣Habari hii Haibadilishi bei ya mafuta sheli na viunga vyake 🥲
🤣🤣🤣Wasimduhuru tu, ila waliomshikilia Wana Hali hata ya kula Mzigo kidogo mixer kumpakua kinyesi
Kwani kazi ya mahakama ni nini ndugu?Kama yupo Kwenye Mikono Salama Haina sababu ya kufikishwa Mahakamani.
Daah!! Mtampa kesi ya ugaidi au mtampoteza mazima? Maana hamchelewi
Intepol kwani ni muahalifuAcha ujinga wewe yule ni kiporo tu Interpol wakiamua saa yoyote watamkabidhi hapo Airport.
Kuna yule jamaa na mkewe waliua wakaiba huko South walikamatwa Arusha hujui?
Rusesabagina wa Hotel Rwanda alitamba sana huko US,Belgium na Europe yoote kwamba ni mwamba.
Alikamatwa kizembe tu na mpaka leo kala nyundo za kutosha hapo Rwanda.
Na yule mwanamke aliegombea urais akajipeleka mwenyewe kupiga campain kaliwa kichwa miaka 30.
Hiyo ni mifano tu.
Siku wakiamua Mange sekunde tu mtamuona hapo Dar.
US si mbinguni na wao wakimtaka mtu wao wanapewa anytime.
Yule mwizi mbona alikamatwa Dubai aliowaibia huko US wakampeleka kula nyundo kule
sasa askari wa kiume anaweza kumpekua mhalifu wa kike?Hii nchi kila mtu ni mwanasheria. Tofautisha ukamataji na upekuzi
Umekurupuka, rudia kusoma nilichosahihisha. Wakati mwingine soma ili uelewe sio unasoma ili ubishanesasa askari wa kiume anaweza kumpekua mhalifu wa kike?
Ila dada alikuwa anaongea matusi ya kuudhi na kudhalilisha sana viongozi. Hata kama alikuwa anajitambulisha kama mpinzani, aliokuwa anaufanya sio upinzani, ni jinai na udhalilishaji.
Hakuna haja ya kutumia nguvu kupita kiasi, ashughulikiwe tu kwa mujibu wa sheria zetu inatosha. Atakuwa amepata haki yake na litakuwa fundisho kwa wengine.
Nchi imekuwa ya kijinga sana...Na mlalamikaji ni nani?
Wewe utakuwepo duniani milele?Huyo anapaswa Kufundishwa adabu Hadi ailaani siku Aliyozaliwa
Yes. Anafikishwa Mahakamani then MirembeSasa yule si mgonjwa wa akili ama?
Matusi na wewe unayerishia kuua watu nani hafai kwenye jamii? Wewe ndiye wa kupigwa life ban humu.Matusi ndio jadi yenu
tulia dogo na utakula ban