Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,157
- 166,103
Ana domo kubwa kuliko akili yako Tlaatlaahhivi ni yule mwenye domo kubwaaaah right?š
Ana domo kubwa kuliko akili yako Tlaatlaahhivi ni yule mwenye domo kubwaaaah right?š
nimekutishia wap dogo?Matusi na wewe unayerishia kuua watu nani hafai kwenye jamii? Wewe ndiye wa kupigwa life ban humu.
Kwa hiyo wamalizane naye kama wafanyavyo kwa mateka wengine??Kama yupo Kwenye Mikono Salama Haina sababu ya kufikishwa Mahaamani.
we mpumbavu kaa kimya huna hulijualoHesabu shule zote halafu piga budget ya madawati pekee!
HAKUNA ANAYEPENDA HIYO HALI!
Pale wehu wanapoteteanaššSerikali ya hovyo inakamata Hadi wagonjwa wa akili
Acheni vitisho vyenu vya kipuuzi. Kwanza hii nchi siyo mali yenu nyinyi wahuni wachache.kila kibaka ataonja anachostahili.
Good Day .
Endelea kuamini ujasiri wa Kuytpe ndio ujasiri ukiwa mbele ya plato.
Watchout.
Kwani Chief wamemalizana nae?Hawezi pewa kesi huyo kama kweli amedakwa.
Njia ni zile zile za kina slow...
Mar gapi sasa.Huwezi kutukana Halafu baadaye uombe msamaha. Inatakiwa AMinywe
Hivi na wewe ni mjinga kiasi hiki? Kweli unadhani nchi inatakiwa kupoteza muda na raslimali ku-deal na mtu kama yule? Hivi ukiangalia profiles za watu wengi waliotekwa tangu kibibi kiwe rais unakuta ni vijana wadogo ambao hawakuwa na impact yoyote kubwa kwenye mabadiliko. Naanza kuamini kuwa TISS inaendeshwa na mjinga Abdul.Kwa yale matusi ngoja avune alichopanda...
Haya ni matusi dhidi yetu CHADEMA maana huyu dada amekipaisha sana chamaSerikali ya hovyo inakamata Hadi wagonjwa wa akili
Wewe mlugaluga utakuwa uliwahi kuja na kurudi na gari la mkaambona hata dar kuna waamerika wanaiona ni kijiji cha wavuvi kilichopo pwani ya bahari ya hindi?
Hivi mnasoma habari huko x mnatuletea huku ili muonenakane mko mstari wa mbele kujua habari zaidi kumbe mnabashiri tuu.Rasmi yule dada anayetukana matusi Rasmi yuko kwenye mikono Salama taangu tarehe 30/07/2026 soon atapandishwa kujibu Yanayomkabili au anaweza asionekane kabisa Save huu Uzi serikali ina mkono mrefu.
Wapi kuna sehemu nimesema amekamatwa badala ya Kumpikia Mumeo unahangaika mitandaoni utaachika DadaHivi mnasoma habari huko x mnatuletea huku ili muonenakane mko mstari wa mbele kujua habari zaidi kumbe mnabashiri tuu.
Aliekuambia kakamatwa ni nani.
Serikali ya tz ilivyo na kiherehere kutangazi siku nyingii ingeshatanganza.huyu dada yupo na anawachora tuu
unajiita Makebo? Ungejiita mbunye tu ujulikane hivyo, acha ubishi dar ni kijiji cha wavuviWewe mlugaluga utakuwa uliwahi kuja na kurudi na gari la mkaa
Upo mkuu!Tafadhali wale wajuvi tu wa masuala mazito mazito hapa JamiiForums na Wazee wa za ndani tupeni updates zake.