Rachel Dangwa yuko 'kwenye Mikono Salama'

Rachel Dangwa yuko 'kwenye Mikono Salama'

ID za ofice account na mtumiaji mmoja.Ana comment na ana ji like
Screenshot_20260805-225318.png
 
Kuna wengine walifurahia matusi yale na kuona ni burudani kwao, matusi ya vijana wahuni
 
Hamjawahi kwenda nchi za mbali mkaondoka na mtu msifumwe.
Kifupi huwa mnaharibu hata kabla ya kukamilisha kazi kwa kuwa akili zenu huwa ndogo.

Na ikitokea amekamatwa hiyo ni kazi za Agents na sio hawa vilaza mnaowafuga hapo ndani.
 
Back
Top Bottom