Nikiri kusema Mimi nimeacha Punyeto Huu mchezo nimeuanza mwaka 2011 Na nimeendelea nao mpaka 2014..Miaka yote Hapa nilikuwa nafanya mapemzi bila shida yoyote

Ila kuanzia Mwaka 2017 hadi mwaka 2018 Nimekutana na wanawake wanne kwa vipindi Tofauti Tofauti na vyote uume wangu umekuwa ukilegea na nikishindwa kabisa kufanya mapenzi..

Niliamua kuiacha Rasmi Punyeto rasmi mwaka 2019 nina mwaka hadi sasa sijaganya punyeto ninamshukuru Mungu kwa hilo..

Mpaka sasa najikuta naogopa sana kujamiana na mwanamke japo mimi ni mtu yule mwenye bahati ya kupendwa na wanawake na Hata sielewi kama nitarudi karika hali ya awali maana Hofu ndo umwkuwa kama ugonjwa mpya..
Mwaka mzima hujapiga punyeto wala kugegeda?? Mkuu mkuu unawezaje hio?
 
Kiuhalisia zamani pindi napiga punyeto uume uwa unasimama vizuri sana ila nikikutana na mwanamke unasimama kwa muda baadae unakuwa olaa...

Ila sisi nimeacha uume unasimama vizuri hata nikiamka asubuhi na ndoto vyevu napata haki tofauti na mwanzo.

Japo sijajaribu kwa mwanamke nkmeona nitulie kwanza kwa muda kidogo nahisi shida yangu ipo kwa saikolojia inabidi nisolve.
Hakuna aibu kama kukutana na mwanamke ushamwandaa afu gafla mnara hausomi.
 
Nikiri kusema Mimi nimeacha Punyeto Huu mchezo nimeuanza mwaka 2011 Na nimeendelea nao mpaka 2014..Miaka yote Hapa nilikuwa nafanya mapemzi bila shida yoyote

Ila kuanzia Mwaka 2017 hadi mwaka 2018 Nimekutana na wanawake wanne kwa vipindi Tofauti Tofauti na vyote uume wangu umekuwa ukilegea na nikishindwa kabisa kufanya mapenzi..

Niliamua kuiacha Rasmi Punyeto rasmi mwaka 2019 nina mwaka hadi sasa sijaganya punyeto ninamshukuru Mungu kwa hilo..

Mpaka sasa najikuta naogopa sana kujamiana na mwanamke japo mimi ni mtu yule mwenye bahati ya kupendwa na wanawake na Hata sielewi kama nitarudi karika hali ya awali maana Hofu ndo umwkuwa kama ugonjwa mpya..
Punyeto mbaya sana,,,
 
Ni kweli kaka confidence ndio ninayoamua kuwa nayo kwa sasa maana nina mwaka mmoja sasa sijawahi kuwaza wala kukumbuka kuhusiana na Punyeto maana imeniumbua sana kwa watoto wazuri...
Mm iliwahi nitokeaga kipindi hicho ila confidence ndo kila kitu sa hivi mambo fresh tu mwendo wa kusimamia dk 45 bila kushuka kifuani kwa wahusika
 
Chaputa itatoa maadhimio yake tunatatmini kwanza thread yako imetupotezea wajumbe wangapi ili tuanze kutafuta wengine
 
Tamu ukiwa unanyetuka hapa nazungumzia madhara yake badae
Hakuna madhara yeyote mkuu,,
Nyeto sio lazima usuguwe uume kwa sabuni,,sasa kuna nyeto za kidigital,,,hugusi uume na wala
hutumii nguvu nyingi na wakoloni weupe wanakuja haraka sn,,
Watu wanapiga nyeto tangu wana umri wa miaka 15 na sasa wana 45 na bado akigegeda msichana kama mlango haujafungwa sawa sawa msichana anakimbia chumba...
Suala la mwanaume kukosa nguvu za kugegeda ni kukosa lishe nzr masigara,,mapombe ,, stress,,,na kutokuwa na mazoezi,,
Hakuna zaidi..
Utakuta mwanaume kutembea tu anashindwa,,, anahema kama Chura,,sasa kugegeda ataweza wapi?kama kutembea tu unahema kiasi kile,?
Sex ni mazoezi Kama mengine mkuu,,ndy maana wanawake wanapenda six packs wanajuwa jamaa wanafanya mazoezi na wata enjoy sex.. Wakikutana na mwanaume wa six packs,,,kulinganisha na mwenye shepu ya kitunguu...
Yapo mambo mengi yanayopunguza nguvu za kiume na watu hawasemi,,
1...Kukaa sana sehemu moja,,mfano ofisini,,bila mazoezi ,,
2..kuendesha gari kwa muda mrefu bila kuwa na mazoezi,,pia ni tatizo,,
3..kukaribisha unene,, pia ni tatizo...
4,,kufanya kazi ngumu bila kupumzika..pia ni tatizo..
 
Salaam kwenu wana wa Adam!

Itokee nina mke/mpenzi ikawa mala kwa mala ananichezea Gegedeo kwa mkono wake, Mpaka namwaga wale mabeberu wa uchumi wetu sisi wanaume, je! inatofauti na punyeto.?

Je, kiimani hii imekaaje?

Maana naona Chaputa kimeyumba sana, baada ya uzi wa mwanaharakati aliye amua kukivunja chama kwa ule uzi wa

.... nguvu ya punyeto kiroho...

Mbali na imani vipi kitaalam katika afya ya uume pale mwanaume akiwa addicted kuchezewa na mwenza wake kwa mikono mpaka kumwaga? Maana naona haina tofauti na punyeto.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom