This one touched me.
 
Guys, tuseme umekutana na that wonderful woman of your dreams—she’s submissive, respectful, hardworking (anajitegemea kifedha), loyal, wife material, reciprocating, and has all those good qualities of a good woman.

But here’s the catch… (usikimbie, maliza kusoma 😅). She’s a single mom (mtoto ana miaka 3), but the father of the child passed away mtoto akiwa na mwaka 1 na nusu.

So, would you make her your wife and the mother of your children?
 
Is that strange really?
 
Why do you think modern men want submissive women?
 
Msaada wadau, moja kati ya vitu ambavyo katika maisha yangu niliplan sitokuja kuishi au kuoa mwanamke ambaye kashazilishwa..Hii leo nimempatia mimba binti wa watu ambaye kashazalishwa na wananikomalia nimuoe na sitak kumpoteza mwanangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…