Pongezi kwenu Single Mothers
Kasikilize stronger than I was by Eminem.
Screenshot_20250217-003012_1.jpg
 
Sasa hivi ni mwendo wa kuviziana si ndio?

Baby niko Bar na rafiki zangu kumbe niko site naangalia ujenzi,Hati ya kiwanja iko kwa Mama Bonyokwa huko 😂😂
Ww unajua mwanaume mjinga huyuuu
😄😄😄Muhimu ni umeumia mkuu wanawake sikuhizi hawacheki na wowote 😃😃

Nakutania bhana usije ukalia Bure😂😂
 
Ktk Maisha yangu najutia sana kukutana na Binti Fulani single Mathers ana Watoto watatu.(Watoto wote Baba Mmoja)

Nilitokea kumpenda siku tu ya kwanza kumuona ilikua mwaka Jana mwezi Wa 3.

yaani nilimpenda yule single mather mpaka nikatamani kumuoa.

Jambo la kwanza ilinibidi ni nunue Kiwanja bila kumwambia nikajenga Vyumba Vitatu kuanzia mwezi 8 Mwaka 2024 kufika mwezi Wa kwanza mwaka 2025 Nyumba imekamilika ila kauli na Maelewano na huyo Mwanamke ni mabovu sana, anajiona mzuri yeye Kila Kitu Yuko sahihi, mda wote mtu wa kunitoa kasoro tu

Kwa kua nampenda Kila ninalolifanya kwake baya, kufikia Mwenzi wa kwanza nikaanza utaratibu wakumpotezea, ile nyumba nikakabizi madalali waipangishe nichukue Kodi Maisha yaendelee.
kiuhalisia naichukia sana kumpenda mtu ni miongoni mwa upumbavu ni Kumpenda mwanamke.
Shida sio kumpenda mwanamke, ila upumbavu ni kumpenda single mother😀 hawafai.
 
Nachompendea mama Yangu kila kikoba ananiambia ananiandikia jina moja🤣🤣,mimi kijana wa kiume sina muda wa kuhesabu hisa sijui.

Na mke wangu hajui,tumestuka 2025 December kila mtu na miamala yake.
 
Mnadharau Sana vikao lakin vimetuokoa saana,
Naskitika azizi ki siku ya mhtasari wa katiba hakuwepo kazuzuriwa na ule mwonekano,
Huku kwenye ndoa mwonekano unachukua sehemu ndooogo saana,
 
Back
Top Bottom