West london
Senior Member
- Jun 24, 2019
- 134
- 330
Kwann usijipende mwenyew adi uaenze kumpenda mtoto wa mtu niushebeleza huo.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kauziwa gunia ambalo halina mbuzi
Umejichenga tuTena Bonge la kunia la chenga mi langu nimelishitukia mapema.
Tatizo na wewe ulizidi sana shobo.Ktk Maisha yangu najutia sana kukutana na Binti Fulani single Mathers ana Watoto watatu.(Watoto wote Baba Mmoja)
Nilitokea kumpenda siku tu ya kwanza kumuona ilikua mwaka Jana mwezi Wa 3.
yaani nilimpenda yule single mather mpaka nikatamani kumuoa.
Jambo la kwanza ilinibidi ni nunue Kiwanja bila kumwambia nikajenga Vyumba Vitatu kuanzia mwezi 8 Mwaka 2024 kufika mwezi Wa kwanza mwaka 2025 Nyumba imekamilika ila kauli na Maelewano na huyo Mwanamke ni mabovu sana, anajiona mzuri yeye Kila Kitu Yuko sahihi, mda wote mtu wa kunitoa kasoro tu
Kwa kua nampenda Kila ninalolifanya kwake baya, kufikia Mwenzi wa kwanza nikaanza utaratibu wakumpotezea, ile nyumba nikakabizi madalali waipangishe nichukue Kodi Maisha yaendelee.
kiuhalisia naichukia sana kumpenda mtu ni miongoni mwa upumbavu ni Kumpenda mwanamke.
Ukisikia ujinga ndiyo huu sasa, mtu kishakutoa kasoro za kila aina tena mwanzoni mwa mahusiano yenu, hii ni ishara tosha kuwa hakufai kwani atakuja kukuumiza zaidi huko mbeleni. Ni bora kakuonyesha mapema kuwa hana matumaini nawe, achana naye huyo kibaka wa talaka.Ktk Maisha yangu najutia sana kukutana na Binti Fulani single Mathers ana Watoto watatu.(Watoto wote Baba Mmoja)
Nilitokea kumpenda siku tu ya kwanza kumuona ilikua mwaka Jana mwezi Wa 3.
yaani nilimpenda yule single mather mpaka nikatamani kumuoa.
Jambo la kwanza ilinibidi ni nunue Kiwanja bila kumwambia nikajenga Vyumba Vitatu kuanzia mwezi 8 Mwaka 2024 kufika mwezi Wa kwanza mwaka 2025 Nyumba imekamilika ila kauli na Maelewano na huyo Mwanamke ni mabovu sana, anajiona mzuri yeye Kila Kitu Yuko sahihi, mda wote mtu wa kunitoa kasoro tu
Kwa kua nampenda Kila ninalolifanya kwake baya, kufikia Mwenzi wa kwanza nikaanza utaratibu wakumpotezea, ile nyumba nikakabizi madalali waipangishe nichukue Kodi Maisha yaendelee.
kiuhalisia naichukia sana kumpenda mtu ni miongoni mwa upumbavu ni Kumpenda mwanamke.
Eti "nilimpenda" Bila ht aibu, huyo aliyemzalisha watoto 3 hakumpenda?Ktk Maisha yangu najutia sana kukutana na Binti Fulani single Mathers ana Watoto watatu.(Watoto wote Baba Mmoja)
Nilitokea kumpenda siku tu ya kwanza kumuona ilikua mwaka Jana mwezi Wa 3.
yaani nilimpenda yule single mather mpaka nikatamani kumuoa.
Jambo la kwanza ilinibidi ni nunue Kiwanja bila kumwambia nikajenga Vyumba Vitatu kuanzia mwezi 8 Mwaka 2024 kufika mwezi Wa kwanza mwaka 2025 Nyumba imekamilika ila kauli na Maelewano na huyo Mwanamke ni mabovu sana, anajiona mzuri yeye Kila Kitu Yuko sahihi, mda wote mtu wa kunitoa kasoro tu
Kwa kua nampenda Kila ninalolifanya kwake baya, kufikia Mwenzi wa kwanza nikaanza utaratibu wakumpotezea, ile nyumba nikakabizi madalali waipangishe nichukue Kodi Maisha yaendelee.
kiuhalisia naichukia sana kumpenda mtu ni miongoni mwa upumbavu ni Kumpenda mwanamke.
Recovery mode activated, stay calm!!Tayari hukooo Man down man down jamani
Mapenzi ni upofu, ni Sawa na MTU anatoka kushangillia nyimbo za kejeli dhidi ya CHADEMA halafu ghafla anakuja kukuomba nauli, Ada au pesa ya chakula cha Watoto. Unajiuliza Huyu kenge ana akili au hana? Unamshukuru MUNGU maisha yaendeleee. Ndio huyu sasa, Watoto Watatu?Eti "nilimpenda" Bila ht aibu, huyo aliyenzalisha watoto 3 hakumpenda?
😂😂😂😁Kweli siku yao leo, mbukinabe kauziwa mbuzi kwenye gunia live bila chenga!
Umewaza nilivyowazaMada hii kwa hisani ya KiAziz.