Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 21,854
- 27,025
Tunamhurumia, hatumwandami. Unafikiri majizo na mondi waliona nini kwa ile nyara ya serikali? Hersi kameungiza dogo chaka.Wiki hii naona mmemuandama sana Aziz Ki....🤣
Tunamhurumia, hatumwandami. Unafikiri majizo na mondi waliona nini kwa ile nyara ya serikali? Hersi kameungiza dogo chaka.Wiki hii naona mmemuandama sana Aziz Ki....🤣
This one touched me."Nyakati ngumu huunda watu wenye nguvu, watu wenye nguvu huunda nyakati nzuri, nyakati nzuri huunda watu dhaifu, na watu dhaifu huunda nyakati ngumu."
by G. Michael Hopf.
Its simple mabibi na mabwana, Wadada wengi wamekuwa VIBURI MTU na TAMAA KAMA ZOTE huku vijana wa kiume wengi wamekuwa "DHAIFU na MOTIVES ZA KIPORNO PORNO KAMA ZOTE"
Sasa either way, mmoja anaweza kuwa stable angalau then mwingine akawa na majanga kama hayo, au wote wakakukatana wa namna hio.
To conclude, tujitahidi tusiwanyime hawa viumbe wadogo malezi bora ya pande mbili kama tuliyopata sisi.
View attachment 3249342
Is that strange really?Guys, tuseme umekutana na that wonderful woman of your dreams—she’s submissive, respectful, hardworking (anajitegemea kifedha), loyal, wife material, reciprocating, and has all those good qualities of a good woman.
But here’s the catch… (usikimbie, maliza kusoma). She’s a single mom (mtoto ana miaka 3), but the father of the child passed away mtoto akiwa na mwaka 1 na nusu.
So, would you make her your wife and the mother of your children?
Why do you think modern men want submissive women?Guys, tuseme umekutana na that wonderful woman of your dreams—she’s submissive, respectful, hardworking (anajitegemea kifedha), loyal, wife material, reciprocating, and has all those good qualities of a good woman.
But here’s the catch… (usikimbie, maliza kusoma 😅). She’s a single mom (mtoto ana miaka 3), but the father of the child passed away mtoto akiwa na mwaka 1 na nusu.
So, would you make her your wife and the mother of your children?
Kwanini?I wouldn't dare to.
Kwanini?I wouldn't dare to.
Single mother!!
It is always funny until it happens to you.Msaada wadau, moja kati ya vitu ambavyo katika maisha yangu niliplan sitokuja kuishi au kuoa mwanamke ambaye kashazilishwa..Hii leo nimempatia mimba binti wa watu ambaye kashazalishwa na wananikomalia nimuoe na sitak kumpoteza mwanangu
Mkuu ukisema hivyo unanichomaKwa unavyojua wewe mimba ni matokeo ya kujamiiana?
Kama ndivyo. Unajua njia za kuzuia mimba?
Elimu ni janga Tanzania