Wewe mpumbavu toka unijue umekuwa ukitafuta attention kupitia mimi,

Ujuha wako na kukosa kwako maarifa kisiwe chanzo cha kunitag kwenye utumbo wako, endelea kuandika ujinga ila isinihusishe katika shit zako..

Stop involving me in your insane posts, tafuta attention kwa kuandika upuuzi ila keep my name out of you f*ckin mouth
 
😁😁 Si status tu au Kuna kingine umekiona
 
Kosa langu ni nin profesa?.
 
Baada ya shemeji kujihakikishia pasina shaka kuwa ameolewa na bwege asiyeweza kufanya maamuzi bila ruhusa yake, ameamua kuweka status picha ya mzazi mwenzake.

Badala ya kufanya maamuzi, umekuja kulia lia huku. Subiri uongezewe mtoto wa kumlea.


Kwisha kabisa, kwishney
 
Maskini,alimpenda zaidi baba mtoto wake kuliko wewe kigagula!
 
Mke wa MTU sumu, ona sasa sumu uliyoionja inavyokuua taratibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…