Maisha hayana fomula.... Wanangu hata watende ubaya gani lakini sitoacha kuwabariki.

Nitawabariki katika hali zote maana nikiwalaani hamna faida yoyote nitakayopata

Watibeli ni watu wa principles.
Kubariki tafsiri yake ni kuridhia. Kukubali, kuruhusu.

Yapo mambo watoto wangu wakiyafanya sitabariki. Hivyo watafanya kwa mabavu kwa maamuzi yao wenyewe

Siwezi ruhusu jambo lenye matokeo mabaya ya sasa au yabaadaye kwa watoto wangu.
 
Nawashukuru sana Moderator kwa kuunganisha hizi nyuzi za single mothers, nitakua nawatag kila uzi unaoibuka mnautupia humu, wateme nyongo zao humu, walie humu, wagare gare humu, wabembelezane humu, ila sio kutujazia servers kwa mada za aina moja kila siku.
 

Wanasema she should be happy alone? Hakuna, they don't even want them to be happy. Wanatamani kuwaona single mothers wapo miserable , wakiona single mother anashine, maisha yake yanashine wanaumia sana kwa sababu low-key wanatamani wawe na mwanamke kama huyo ila ego zao haziwaruhusu. Wanataka wamkute yupo desperate ili wamtumie watakavyo bila kuwajibika. Ndio maana wakikuta single mother yupo na standards wanakakasirika...like how dare you have standards wakati sisi tulitegemea uanguke chini utusujudie 🀣🀣 ndio maana hata humu wanaume wa aina hiyo kutwa kuanzisha nyuzi za single mothers. Sina tatizo na mtu anayeamua kutojihusisha nao kwa sababu maisha ni yake na ana uhuru wa kuchagua maisha yatakayompa amani ila hata kama nilikuwa namheshimu mtu siku nikiona anashambulia sm namdharau
 
(ondoa waliofiwa na labda waliofungwa magerezan au kutekwa)

Unawezaje kuzaa na mtu ambaye hayuko tayari kuishi na wew??wanawake wanaipenda kujiamulia mambo halaf wa kwanza kulaumu mtu huna uhakika na future naye mahusiano kidogo tuu me nataka nimzalie then after vilio kibao

Kwa utafit wangu wa miezi 6,nili deal na ma single mother zaid ya 200 nilipata reasons hizi
1: nataka nimzalie asiniache
2:mimba iliingia bila mipango yoyote(wanaita bahat mbaya)
3:mwanamke akifika miaka26+anaamza kutaman mtoto hata kama hajampata mume sahihi wanazaa na yeyote anasema nitalea mwenyew
4:anaolewa anaishi na mume ila baadae mume anamkimbia /ku mwacha sababu ya ukali,mdomo,kuwasikiliza rafk zake,umalaya n.k
5:Kuna kundi dogo linahusu mambo ya kiiman kwamba hatakiw kuishi na mume na akimpata LAZIMA waachame tuu(hii ni special case niliwapata 2na ni baada ya kutafuta historia zao)

Ukiondoa wajane na no 5,au na waliobakwa wakapata mimba single mother waliobakia woote ni makusudi na walijuwa wanachokifanya na wengine waliwatambia wenzao mitaani kuwa Wana wanaume wazuri

MUHIMU akitaka kubeba mimba hakikisha huyo mwanaume anaihitaji na Yuko tayari kulea hiyo mimba la sivyo utalia zaidi ya ambulance πŸš‘ Tena ile hice ya mloganzila Ina saut atari
 
Piga kichwani, kuna single mother bado wanahema πŸ˜‚
Kuna wengine huwa wanasema "mwanaume kitu gani nitalea mwenyewe"kumbe ni Malaya tu wamepata mtu mwingine nje baadaye wanaachwa wanaleta lawama,nasemaje single mother wengi ukiondoa waliofiwa(wajane) hawahaminiki
 
Kuna singo maza mmoja nilikuwa nammendea miaka ya zamani kidogo, niliona kama ana akili akili. Kwenye stori anampiga vita sana huyo bwana na kudai hawana mawasiliano. Nikaamua kufanya research.

Siku moja nikaenda kwake bila taarifa. Kuingia ndani nakuta ameweka picha ya bwana ake ukutani(alisahau kuitoa). Inaonekana huwa anaweka na kutoa nikiwa naenda pale. Nikasema asante Yesu umelianika hilo fala mapema, acha nilichezee tu

Naunga mkono hoja
 
Kauli ya single mother kiufupi sio nzuri kabs ,na ieleweke hakuna kitu kinaitwa single mother kwa sababu hii ,
1.ukikaa ukamuulz ww ni single mother? ataseme ndio
2.Ukiuliza tenha unalea mtoto mwenyewe bila msaada wowote?
Jibu atasema ndio kwa baba wa huyo mtoto sina kitu napokea
........Noo tumalize unatambua kuwa neno single mothers lipo kuweka kichaka kuwa anajipambania lahasha kuna wanaume waliopo kutoa huduma bila kufahamika ndio maan ya single mother ,,kiujumla single mother hatakiwi kutetewaa.
 
Single mothers haki yao ni kulombwa na kuachwa waendelee kuwa single
 
Ila huyu mods anayeunga hizi mada kwenye huu uzi ni kama vile nae n single mother hvy ana kisirani au ameoa single mother hvy ana maumivu makali πŸ˜‚
 
Single mothers mkiona hizi mada lazima mpandwe na presha πŸ˜‚
 
Single mothers mkiona hizi mada lazima mpandwe na presha πŸ˜‚
Sio kweli, single mothers ndie anaorun akili zenu si mnaona kutwa kucha kuwafungulia uzi!!? yan kiufupi mnawashobokea na wao hawaachi kuwapiga matukio mnakuja kulia lia humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…