Jerry Ekky
JF-Expert Member
- May 6, 2018
- 1,682
- 5,051
Kwani gaidi ana sura gani? au utambulisho wake?
Au gaidi ni mtu wa aina gani hata atofautiane na mbowe?
Gaidi anaweza kuwa mtu yeyote bila kujali rangi, sura, muonekano wala dini.
Hapo ni mwendo wa kucheza na coin tuu, wakati upande mmoja ni HEAD upande mwingine ni TAIL. Nyumbani kwenu ni freedom fighter, ila ugenini ni gaidi.