Blac kid

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
6,362
2,000
Baadhi ya watanzania wana akili kama za kuku wa kienyeji.
1. JK ni Rais mpole na anayesafiri
mno.
2. Magufuli amekaza mno ni dikteta
3. Samia ni dikteta wa kike.

Basi hama nchi coz hakuna anayefaa kuwa rais wa nchi hii, awe mwanamke au mwanaume.
We pimbi unachapisha gazeti kampuni gani?
 
Jerry Ekky

JF-Expert Member
May 6, 2018
1,200
2,000
Hawa maigaidi wengine wameishia kumshangaa

View attachment 1875185
Kwani gaidi ana sura gani? au utambulisho wake?

Au gaidi ni mtu wa aina gani hata atofautiane na mbowe?Gaidi anaweza kuwa mtu yeyote bila kujali rangi, sura, muonekano wala dini.Hapo ni mwendo wa kucheza na coin tuu, wakati upande mmoja ni HEAD upande mwingine ni TAIL. Nyumbani kwenu ni freedom fighter, ila ugenini ni gaidi.
 
Kadhi Mkuu 1

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
11,153
2,000
Wafadhili wakubwa wa magaidi duniani ni nchi za Magharibi wakiongozwa na Marekani
Wanafadhili kundi gani la kigaidi Kati ya haya?
JamiiForums-447433985.jpg
 
Sir_Mimi

JF-Expert Member
Jun 21, 2013
7,141
2,000
Weka na picha za magaidi wanaoua wanawake na watoto huko Palestina,weka picha za magaidi walioua watu huko Iraq,Afghanistan,Libya,Syria na kwingineko,weka picha ya yule nesi mzungu aliyewachoma sindano ya ukimwi watoto wadogo huko Libya,

Mmelishwa matango pori na kuaminishwa na mzungu kua magaidi ni watu wa aina fulani tu au wa dini fulani tu,ugaidi upo wa aina nyingi na sio kila gaidi hujiweka wazi.
Mkuu kubali tu hapa umepuyanga mbaya kabisa!!!

Ulichoandika hapa na kinachojadiliwa ni mbingu na nchi umewaza nini hadi kuandika hivi?

Sent from my M2012K11AC using JamiiForums mobile app
 
The Icebreaker

JF-Expert Member
Feb 11, 2018
8,601
2,000
Mkuu kubali tu hapa umepuyanga mbaya kabisa!!!

Ulichoandika hapa na kinachojadiliwa ni mbingu na nchi umewaza nini hadi kuandika hivi?

Sent from my M2012K11AC using JamiiForums mobile app
Inahitaji mtu mwenye kufikiri ndio ataelewa nilichokiandika,wewe hata sikushangai kwa kutokuona lengo la comment yangu,ila unao muda wa kuendelea kujifunza,siku nyingine usirudie kunipangia cha kuandika.
 
Fall Army Worm

JF-Expert Member
Jan 8, 2015
13,168
2,000
Weka na picha za magaidi wanaoua wanawake na watoto huko Palestina,weka picha za magaidi walioua watu huko Iraq,Afghanistan,Libya,Syria na kwingineko,weka picha ya yule nesi mzungu aliyewachoma sindano ya ukimwi watoto wadogo huko Libya,

Mmelishwa matango pori na kuaminishwa na mzungu kua magaidi ni watu wa aina fulani tu au wa dini fulani tu,ugaidi upo wa aina nyingi na sio kila gaidi hujiweka wazi.
Mmasai kavamia disco.Sasa Mbona unaingiza ishu za Udini??.
 
Inside10

JF-Expert Member
May 20, 2011
23,097
2,000
Weka na picha za magaidi wanaoua wanawake na watoto huko Palestina,weka picha za magaidi walioua watu huko Iraq,Afghanistan,Libya,Syria na kwingineko,weka picha ya yule nesi mzungu aliyewachoma sindano ya ukimwi watoto wadogo huko Libya,

Mmelishwa matango pori na kuaminishwa na mzungu kua magaidi ni watu wa aina fulani tu au wa dini fulani tu,ugaidi upo wa aina nyingi na sio kila gaidi hujiweka wazi.
Ukiwewaka wewe inatosha.. yeye kaweka hao
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom