T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,787
- 46,654
Unafananisha mauaji na ugaidi?Soma comment # 2
Unamchukua Neema aliyemchoma moto Zungu unamlinganisha na Sheikh al Baghdadi na wafuasi wake walioua maelfu na kuhamisha mamilioni.
Unajifanya hujui ugaidi ni nini