T14 Armata

JF-Expert Member
Mar 7, 2017
4,260
2,000
Naona unataka kujaribu kukipulizia kinyesi manukato,najua maana ya ugaidi usifikiri nimekurupuka,au wewe unadhani ugaidi ni kujifunga kilemba na kufuga ndevu?
Wapi nimesema hivo. Kwanza hakuna aliyetaja dini unajishtukia, au kati ya waliotajwa ukiondoa Mbowe sio magaidi?

Unachopinga ni nini pale? Weka list yako ya ambao hawajavaa viremba na hawana ndevu. Usije leta walioua kwa ajari ukawaita magaidi
 
The Icebreaker

JF-Expert Member
Feb 11, 2018
8,601

Rudia tena kusoma comment yangu # 2
 
AlphaPii

JF-Expert Member
May 15, 2015
1,140
2,000
Weka na picha za magaidi wanaoua wanawake na watoto huko Palestina,weka picha za magaidi walioua watu huko Iraq,Afghanistan,Libya,Syria na kwingineko,weka picha ya yule nesi mzungu aliyewachoma sindano ya ukimwi watoto wadogo huko Libya,

Mmelishwa matango pori na kuaminishwa na mzungu kua magaidi ni watu wa aina fulani tu au wa dini fulani tu,ugaidi upo wa aina nyingi na sio kila gaidi hujiweka wazi.
Mkuu,kwani kuna dini imetajwa hapo?
 
OKW BOBAN SUNZU

JF-Expert Member
Aug 24, 2011
35,291
2,000
Weka na picha za magaidi wanaoua wanawake na watoto huko Palestina,weka picha za magaidi walioua watu huko Iraq,Afghanistan,Libya,Syria na kwingineko,weka picha ya yule nesi mzungu aliyewachoma sindano ya ukimwi watoto wadogo huko Libya,

Mmelishwa matango pori na kuaminishwa na mzungu kua magaidi ni watu wa aina fulani tu au wa dini fulani tu,ugaidi upo wa aina nyingi na sio kila gaidi hujiweka wazi.
Hili povu la kufulia nguo za magaidi
 
Magobe T

JF-Expert Member
Mar 19, 2008
4,029

Naona kama hujaelewa mantiki ya cartoonist.
 
The Icebreaker

JF-Expert Member
Feb 11, 2018
8,601
2,000
MAGAIDI wote ni Waislam, lakini sio WAISLAM wote ni magaidi.

Harisha au Tapika, asubuhi au jioni huo ndio ukwerii

Bisha kinagaubaga...!
Wewe yahudi wa Nzega ningeshangaa sana kama usingekuja kutingisha kalio kwenye hii thd au kucomment hivyo,tingisha kalio pole pole usije kata shanga za kiunoni.
 
kalonji

JF-Expert Member
Feb 17, 2021
6,197
2,000
Ugaidi hauna dini bali gaidi anaweza jifichia kwenye dini Ili kupata wafuasi, maana dini ndipo kichaka cha kufichia uovu.
 
kalonji

JF-Expert Member
Feb 17, 2021
6,197
2,000
Hiyo imeeleweka But at the same time hiyo katuni ina ujumbe mwingine pia unao maanisha kua Magaidi ni watu wa aina "Fulani" tuu.
Kilemba ni utamaduni wa maeneo fulani kilemba hakiwakilishi dini fulani watu wa huko uvaa vilemba vya kichwani au puani Ili kujikinga na upepo na baridi
 
Magobe T

JF-Expert Member
Mar 19, 2008
4,029
2,000
Hiyo imeeleweka But at the same time hiyo katuni ina ujumbe mwingine pia unao maanisha kua Magaidi ni watu wa aina "Fulani" tuu.
Siyo kweli. Ila labda kwamba 'what we often hear or see reported'. Hata ingekuwa wewe ukichora cartoon haiwezi kueleza everything from A-Z. It's practically impossible. Lazima tukubali kuwa humans as we are we are limited in many things. Si huwa ukiweka rula iliyonyooka kwenye maji huwa unaona imepinda? Anga, maji ya ziwa na bahari huwa unaona ni bluu? Jua huwa unaona lina'move' kutoka Mashariki kwenda Magharibi na mwezi kinyume chake? Nyota au sayari huonekana ndogo kuliko hata kichwa cha mtoto? Mawingu huwa yanaonekana meupe, kijivu au meusi? Is it true?
 
kipara20

JF-Expert Member
Jul 30, 2021
839
1,000
Weka na picha za magaidi wanaoua wanawake na watoto huko Palestina,weka picha za magaidi walioua watu huko Iraq,Afghanistan,Libya,Syria na kwingineko,weka picha ya yule nesi mzungu aliyewachoma sindano ya ukimwi watoto wadogo huko Libya,

Mmelishwa matango pori na kuaminishwa na mzungu kua magaidi ni watu wa aina fulani tu au wa dini fulani tu,ugaidi upo wa aina nyingi na sio kila gaidi hujiweka wazi.

Haswaa nimeipenda hi ila hapo penye palestina kidogo pana ukakasi mkuu,
 
Ngongo

JF-Expert Member
Sep 20, 2008
15,078
2,000
Siyo kweli. Ila labda kwamba 'what we often hear or see reported'. Hata ingekuwa wewe ukichora cartoon haiwezi kueleza everything from A-Z. It's practically impossible. Lazima tukubali kuwa humans as we are we are limited in many things. Si huwa ukiweka rula iliyonyooka kwenye maji huwa unaona imepinda? Anga, maji ya ziwa na bahari huwa unaona ni bluu? Jua huwa unaona lina'move' kutoka Mashariki kwenda Magharibi na mwezi kinyume chake? Nyota au sayari huonekana ndogo kuliko hata kichwa cha mtoto? Mawingu huwa yanaonekana meupe, kijivu au meusi? Is it true?

👌
 
The Icebreaker

JF-Expert Member
Feb 11, 2018
8,601
2,000
Kilemba ni utamaduni wa maeneo fulani kilemba hakiwakilishi dini fulani watu wa huko uvaa vilemba vya kichwani au puani Ili kujikinga na upepo na baridi
Kwahiyo magaidi ni watu wa aina hiyo pekee?
Magaidi wapo Dunia nzima,ila hiyo katuni imewakilisha watu wa eneo moja tuu na ndio kilichonifanya kusema kua watu wameaminishwa kua magaidi hutoka eneo moja tu,hakuna magaidi wavaa suti? hiyo katuni imekaa kibaguzi zaidi kuliko ujumbe uliokusudiwa.
 
kalonji

JF-Expert Member
Feb 17, 2021
6,197
2,000
Ugaidi ni itikadi binafsi ya mtu dhidi ya kundi,mtu,Jamii, mfumo,au taifa nyingine.
Mfano Osama walishindwana maslai binafsi na USA baada ya kumsambaratisha Mrusi afghanistan kupitia talebani akaamua kujifichia kwenye dini kwa kuwabrain wash vijana walioathirika na umasikini na ukosefu wa utambuzi kwamba wanapigania dini.Dini inapiganwa kiroho na sio kimwili.Makundi yote ya kigaidi yanauza madawa, biashara haramu za binadamu, silaha,na biashara zote haramu Ili kupata pesa za kugharamia ugaidi sasa swali kuna dini inaruhusu mambo machafu mfano kuuwa,ukahaba,madawa ya kulevya,kuuza watu, biashara haramu,nk.
Wenye kujua lengo la kundi huwa ni wale top leaders na sio hawa wapiganaji awajui chochote wale wamefanyiwa training za kuondoa fikra zao wakapandikizwa fikra za kundi thus mtu mwenye akili timamu hawezi vaa bomu akajilipue.
 
T14 Armata

JF-Expert Member
Mar 7, 2017
4,260
2,000
Kwahiyo magaidi ni watu wa aina hiyo pekee?
Magaidi wapo Dunia nzima,ila hiyo katuni imewakilisha watu wa eneo moja tuu na ndio kilichonifanya kusema kua watu wameaminishwa kua magaidi hutoka eneo moja tu,hakuna magaidi wavaa suti? hiyo katuni imekaa kibaguzi zaidi kuliko ujumbe uliokusudiwa.
Wewe si utaje hao watu wengine. Hawapo ndio maana huwezi wataja, unataka mchora katuni ataje magaidi ambao hawapo. Nani hajui kuwa al Shabaab, al Qaeda, ISIS na Boko Haram ni magaidi?

Leta list ya magaidi wa sehemu nyingine unaosema
 
The Icebreaker

JF-Expert Member
Feb 11, 2018
8,601
2,000
Wewe si utaje hao watu wengine. Hawapo ndio maana huwezi wataja, unataka mchora katuni ataje magaidi ambao hawapo. Nani hajui kuwa al Shabaab, al Qaeda, ISIS na Boko Haram ni magaidi?

Leta list ya magaidi wa sehemu nyingine unaosema
Soma comment # 2
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom