Marekani anasubiri nini kuipiga Iran? Iran ndiye gaidi hatari

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,581
4,631
I don't know why US is hesitating to attack Iran wanataka ushahid gani kudhibitisha kuwa ni magaidi? Irani ni tatizo sana wanafadhili vikundi kila mahali dunian wanagawa pesa na kila silaha.

Kuangushwa kwa iran kutakua na faida tena zaidi kwa waislam wenyewe huu ndo ukweli ambao hata Saudia na waarab wengine washaujua sasa hivi Ukiangalia hapa nchini Iran anatoa ufadhiri wa masomo ya dini tu na kusambaza itikadi ya kuichukia Marekani na Israel serikali ipo tu.

Iran inatengeneza sumu ya ugaidi na chuki angalia Naijeria fujo haziishi kumbe Iran ndio awafadhiri wale mashehe wa kidini.

Adui wa waarab sio Israel, adui wa waarab ni Iran anafadhiri ugaidi

Nashindwa kuelewa jamii ya kimataifa inasubiri nini kumponda huyu gaidi Ayatollah huyo babu ni gaidi mbaya sana ana chuki na ndevu nyingi.

Dunia itakuwa salama kukiwa na amani na waarab na Israel wakiishi kwa pamoja kwa amani bila Iran kuwepo.

Afrika haipo salama tena, Tanzania hatupo salama kwasababu huyu Iran anafadhili harakati za kidini kwa kasi wanagawa misaada na masolar huko vijijini kwa sharti watu wabadili dini kisha wanafundishwa chuki kali dhidi ya Marekani na Israel.

Dunia haitokuwa salama hadi Iran amalizwe.
 
I don't know why US is hesitating to attack Iran wanataka ushahid gani kudhibitisha kuwa ni magaidi? Irani ni tatizo sana wanafadhili vikundi kila mahali dunian wanagawa pesa na kila silaha

Kuangushwa kwa iran kutakua na faida tena zaidi kwa waislam wenyewe huu ndo ukweli ambao hata Saudia na waarab wengine washaujua sasa hivi Ukiangalia hapa nchini Iran anatoa ufadhiri wa masomo ya dini tu na kusambaza itikadi ya kuichukia Marekani na Israel serikali ipo tu

Iran inatengeneza sumu ya ugaidi na chuki angalia Naijeria fujo haziishi kumbe Iran ndio awafadhiri wale mashehe wa kidini

Adui wa waarab sio Israel, adui wa waarab ni Iran anafadhiri ugaidi

Nashindwa kuelewa jamii ya kimataifa inasubiri nini kumponda huyu gaidi Ayatollah huyo babu ni gaidi mbaya sana ana chuki na ndevu nyingi

Dunia itakuwa salama kukiwa na amani na waarab na Israel wakiishi kwa pamoja kwa amani bila Iran kuwepo

Afrika haipo salama tena, Tanzania hatupo salama kwasababu huyu Iran anafadhili harakati za kidini kwa kasi wanagawa misaada na masolar huko vijijini kwa sharti watu wabadili dini kisha wanafundishwa chuki kali dhidi ya Marekani na Israel.

Dunia haitokuwa salama hadi Iran amalizwe.
licensed-image (1).jpeg

Ayatollah Khamenei.
His comeuppance is coming.
 
Hapo umekaa kwenye kochi la shemeji yako umeshashiba ugali na dagaa ukashushia na juice ya miwa basi unatapika tu hapa JF huku ukijiongopea ndani ya nafsi yako kua wewe ni bonge la GT na unaona vitu ambavyo hata mataifa makubwa hayavioni,

Hao wa magharibi ndio magaidi wakubwa na ndio wafadhili wa ugaidi hata Africa ili wapore mali za wazawa ila mtu kama wewe Yahudi mweusi wa huko Nzega umeshakua brainwashed hata ufahamishwe vipi katu akili yako haiwezi kukubaliana na ukweli.
 
I don't know why US is hesitating to attack Iran wanataka ushahid gani kudhibitisha kuwa ni magaidi? Irani ni tatizo sana wanafadhili vikundi kila mahali dunian wanagawa pesa na kila silaha.

Kuangushwa kwa iran kutakua na faida tena zaidi kwa waislam wenyewe huu ndo ukweli ambao hata Saudia na waarab wengine washaujua sasa hivi Ukiangalia hapa nchini Iran anatoa ufadhiri wa masomo ya dini tu na kusambaza itikadi ya kuichukia Marekani na Israel serikali ipo tu.

Iran inatengeneza sumu ya ugaidi na chuki angalia Naijeria fujo haziishi kumbe Iran ndio awafadhiri wale mashehe wa kidini.

Adui wa waarab sio Israel, adui wa waarab ni Iran anafadhiri ugaidi

Nashindwa kuelewa jamii ya kimataifa inasubiri nini kumponda huyu gaidi Ayatollah huyo babu ni gaidi mbaya sana ana chuki na ndevu nyingi.

Dunia itakuwa salama kukiwa na amani na waarab na Israel wakiishi kwa pamoja kwa amani bila Iran kuwepo.

Afrika haipo salama tena, Tanzania hatupo salama kwasababu huyu Iran anafadhili harakati za kidini kwa kasi wanagawa misaada na masolar huko vijijini kwa sharti watu wabadili dini kisha wanafundishwa chuki kali dhidi ya Marekani na Israel.

Dunia haitokuwa salama hadi Iran amalizwe.
wakati mwingine siyo lazima sana kuuweka hadharani ujinga wako.
 
Proxy war zinaumiza sana kuliko Vita kamili. Atakapomshambulia kweli ataingia lakini matokeo yatakuwa Mabaya sababu Iran ni baba wa Shia Islam duniani kote

Lakni itampa advantage China na Urusi watakapotoa misaada na mali ili Marekani ashindwe ambapo itaharibu kabisa Uchumi wa Marekani

Kama Uchumi wa Urusi unavyoanguka Vita yake na Ukraine
 
Hapo umekaa kwenye kochi la shemeji yako umeshashiba ugali na dagaa ukashushia na juice ya miwa basi unatapika tu hapa JF huku ukijiongopea ndani ya nafsi yako kua wewe ni bonge la GT na unaona vitu ambavyo hata mataifa makubwa hayavioni,

Hao wa magharibi ndio magaidi wakubwa na ndio wafadhili wa ugaidi hata Africa ili wapore mali za wazawa ila mtu kama wewe Yahudi mweusi wa huko Nzega umeshakua brainwashed hata ufahamishwe vipi katu akili yako haiwezi kukubaliana na ukweli.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
I don't know why US is hesitating to attack Iran wanataka ushahid gani kudhibitisha kuwa ni magaidi? Irani ni tatizo sana wanafadhili vikundi kila mahali dunian wanagawa pesa na kila silaha.

Kuangushwa kwa iran kutakua na faida tena zaidi kwa waislam wenyewe huu ndo ukweli ambao hata Saudia na waarab wengine washaujua sasa hivi Ukiangalia hapa nchini Iran anatoa ufadhiri wa masomo ya dini tu na kusambaza itikadi ya kuichukia Marekani na Israel serikali ipo tu.

Iran inatengeneza sumu ya ugaidi na chuki angalia Naijeria fujo haziishi kumbe Iran ndio awafadhiri wale mashehe wa kidini.

Adui wa waarab sio Israel, adui wa waarab ni Iran anafadhiri ugaidi

Nashindwa kuelewa jamii ya kimataifa inasubiri nini kumponda huyu gaidi Ayatollah huyo babu ni gaidi mbaya sana ana chuki na ndevu nyingi.

Dunia itakuwa salama kukiwa na amani na waarab na Israel wakiishi kwa pamoja kwa amani bila Iran kuwepo.

Afrika haipo salama tena, Tanzania hatupo salama kwasababu huyu Iran anafadhili harakati za kidini kwa kasi wanagawa misaada na masolar huko vijijini kwa sharti watu wabadili dini kisha wanafundishwa chuki kali dhidi ya Marekani na Israel.

Dunia haitokuwa salama hadi Iran amalizwe.
Wewe ni mpumbavu. Jitahidi sana watu wengine wasijue kuwa wewe ni mpumbavu
 
Hapo umekaa kwenye kochi la shemeji yako umeshashiba ugali na dagaa ukashushia na juice ya miwa basi unatapika tu hapa JF huku ukijiongopea ndani ya nafsi yako kua wewe ni bonge la GT na unaona vitu ambavyo hata mataifa makubwa hayavioni,

Hao wa magharibi ndio magaidi wakubwa na ndio wafadhili wa ugaidi hata Africa ili wapore mali za wazawa ila mtu kama wewe Yahudi mweusi wa huko Nzega umeshakua brainwashed hata ufahamishwe vipi katu akili yako haiwezi kukubaliana na ukweli.
Mkuu wangu Nzega tulikufanyaje 😃
 
Hivi unaweza kueleza Kwa nn papa anashawishi watu wafi...rane haliyakua bible imelaani suala hilo?.
Mm sio RC, sijui kwann anafanya hivo na sijui ana mipango gani yeye(papa) na watu wake.

Haya na mm nijibu swali langu??
 
Umeongea ukweli mchungu sana ...dunia itakuja kushtuka ugaidi ukiwa umepamba moto , huyo Iran anapaswa apelekewe moto mapema sn kbl hawajaiharibu dunia nzima na chinja chinja yao
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom