Serikali gaidi, hutumia vyombo vya dola kutisha, kuwakamata, kuwafunga wanaoipinga

Bams

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
16,559
41,078
Ugaidi, ni neno lililotafsiriwa kutoka kwenye neno la kiingereza Terrorism.

Terrorism ni kijina cha neno terror, na neno terror maana yake ni kutisha. Hivyo, gaidi au magaidi hufanya matukio fulani, kama vile kuua, kuteka, kushambulia au kutesa kwa lengo la kutisha.

Serikali inaweza kuwa Serikali Gaidi, yaani serikali inayowakamata watu, kuwateka, kuwatesa, kuwafunga, na hata kuwaua raia kwa lengo la kuwatisha raia.

Lakini pia kunaweza kuwa na makundi gaidi au mtu gaidi.

Lakini wote, iwe ni Serikali gaidi, mtu gaidi au kundi gaidi, lengo lao huwa ni moja, ni kutisha ili watu waogope, na kisha wao waweze kutekeleza uovu wao.

Serikali gaidi huwa ina sifa zake kuu 8:
1) Huundwa na kikundi kidogo cha watu ambao lengo lao kubwa huwa ni kupora rasilimali za nchi ili kujitajirisha wao wenyewe na watu wao.

2) Serikali gaidi, huwatajirisha watu wao ili wawe na nguvu za kiuchumi kuweza ama kuwanunua au kuwapumbaza baadhi ya wanaoibiwa ili wawatumie kuzima harakati zozote zile za wanaoibiwa dhidi ya waporaji.

3) Serikali gaidi, hutumia vyombo vya dola kutisha, kuteka, kuwakamata, kuwafunga na hata kuwaua watakaoonekana kupigania rasilimali za nchi zisiporwe.

4) Serikali gaidi hutumia kila mbinu kuwahadaa wananchi ili kuendelea kubakia madarakani kwa hofu kama wakitoka, uovu wao utawekwa hadharani na hivyo kuweza kuchukuliwa hatua dhidi yao.

5) Serikali gaidi huhakikisha nafasi zote muhimu i za kimadaraka au kiuchumi zinakuwa mikononi mwa wanagenge, na baadhi, hasa wale ambao huwa wapo tayari kufanya chochote kwaajili ya utukufu wa tumbo, hupewa vyeo fulani, lakini bila ya kujitambua, wao huwa wamewekwa kwaajili ya kuwatumikia wanagenge, na hao ndio hutumika kuwadhoofisha wenzao wanaojitolea kulinda rasilimali zinazoporwa.

6) Serikali gaidi zote huondolewa kwa taabu sana, na zinapoondoka, huondoka kwa aibu kubwa, na wahusika wote huwa na mwisho mbaya sana.

7) Serikali gaidi huundwa na syndicate ya familia fulani chache, wengine wanaoingizwa kwenye Serikali wanakuwa kama watu walioalikwa kuwatumikia.

8) Serikali gaidi ni hatari na mbaya zaidi kuliko hata makundi gaidi au mtu gaidi. Wakati makundi gaidi hufanya ugaidi wao kwa kificho, ugaidi wa Serikali gaidi hufanyika kwa uwazi, mbwembwe na mbele ya uso wa watu wote, na hutumia vyombo vya dola vilivyotakiwa kuwalinda wananchi.

Pamoja na jitihada nyingine zozote, ni vema waumini wote kuingia kwenye maombi makuu ya kuzuia kumea kwa ugaidi wa kiserikali yaani state terrorism. Tuombe kuangamia kwa state terrorism.

Mwambukusi, Mdude, Madeleka, Dr. Slaa, Regemeleza, wote wana haki ya kuwa huru, kuwa na famikia zao sawa na uhuru wanaoufurahia magaidi wa kiserikali.

Magaidi wengi ni wanaume lakini magaidi wa kike ni hatari zaidi. Gaidi aliyemwua waziri mkuu wa India Rajiv Ghandi na maafisa wengine 14 ni mwanamke Kalaivani aliyejifanya anampelekea maua. Wanawake, kutokana na asili yao ya kuonekana wapole, waoga na wanyenyekevu, wakiamua kufanya uovu, huufanya kwa mafanikio makubwa.
 
Ugaidi, ni neno lililotafsiriwa kutoka kwenye neno la kiingereza Terrorism.

Terrorism ni kijina cha neno terror, na neno terror maana yake ni kutisha. Hivyo, gaidi au magaidi hufanya matukio fulani, kama vile kuua, kuteka, kushambulia au kutesa kwa lengo la kutisha.

Serikali inaweza kuwa Serikali Gaidi, yaani serikali inayowakamata watu, kuwateka, kuwatesa, kuwafunga, na hata kuwaua raia kwa lengo la kuwatisha raia.

Lakini pia kunaweza kuwa na makundi gaidi au mtu gaidi.

Lakini wote, uwe ni Serikali gaidi, mtu gaidi au kundi gaidi, lengo lao huwa ni moja, ni kutisha ili watu waogope, na kisha wao waweze kutekeleza uovu wao.

Serikali gaidi huwa ina sifa zake kuu 8:
1) Huundwa na kikundi kidogo cha watu ambao lengo lao kubwa huwa ni kupora rasilimali za nchi ili.kujitajirisha wao wenyewe na watu wao.

2) Serikali gaidi, huwatajirisha watu wao ili wawe na nguvu za kiuchumi kuweza ama kuwanunua au kuwapumbaza baadhi ya wanaoibiwa ili wawatumie kuzima harakati zozote zile za wanaoibiwa.

3) Serikali gaidi, hutumia vyombo vya dola kutisha, kuteka, kuwakamata, kuwafunga na hata kuwaua watakaoonekana kupigania rasilimali za nchi zizsiporwe.

4) Serikali gaidi hutumia kila mbinu kuwahadaa wananchi ili kuendelea kubakia madarakani kwa hofu kama wakitoka, uovu wao utawekwa hadharani na hivyo kuweza kuchukuliwa hatua.

5) Serikali gaidi huhakikisha nafasi zote muhimu i za kimadaraka au kiuchumi zinakuwa mikononi mwa wanagenge, na baadhi, hasa wale ambao huwa wapo tayari kufanya chochote kwaajili ya utukufu wa tumbo, hupewa vyeo fulani, lakini bila ya kujitambua, wao huwa wamewekwa kwaajili ya kuwatumikia wanagenge, na hao ndio hutumika kuwadhoofisha wenzao wanaojitolea kulinda rasilimali zinazoporwa.

6) Serikali gaidi zote huondolewa kwa taabu sana, na zinapoondoka, huondoka kwa aibu kubwa, na wahusika wote huwa na mwisho mbaya sana.

7) Serikali gaidi huundwa na syndicate ya familia fulani chache, wengine wanaoingizwa kwenye Serikali wanakuwa kama watu walioalikwa kuwatumikia.

8) Serikali gaidi ni hatari na mbaya zaidi kuliko hata makundi gaidi au mtu gaidi. Wakati makundi gaidi hufanya ugaidi wao kwa kificho, ugaidi wa Serikali gaidi hufanyika kwa uwazi, mbwembwe na mbele ya uso wa watu wote, na hutumia vyombo vya dola vilivyotakiwa kuwalinda wananchi.

Pamoja na jitihada nyingine zozote, ni vema waumini wote kuingia kwenye maombi makuu ya kuzuia kumea kwa ugaidi wa kiserikali yaani state terrorism. Tuombe kuangamia kwa state terrorism.

Mbukusi, Mdude, Madeleka, Dr. Slaa, Regemeleza, wote wana haki ya kuwa huru, kuwa na famikia zao sawa na uhuru wanaoufurahia magaidi wa kiserikali.

Magaidi wengi ni wanaume lakini magaidi wa kike na hatari zaidi. Gaidi aliyemwua waziri mkuu wa India Rajiv na maafisa wengine 14 Ghandi ni mwanamke Kalaivani aliyejifanya anampelekea maua. Wanawake, kutokana na asili yao ya kuonekana wapole, waoga na wanyenyekevu, wakiamua kufanya uovu, huufanya kwa mafanikio makubwa.
Anaupiga mwingi.
Screenshot_20230813-195325.jpg
 
Hivi hatuwezi kuwakodisha vijana kumi wa Burkina Faso au Niger waje watufanyie mambo hapa?
Hapana, hii kazi ni yetu wenyewe raia wa nchi hii. Vijana wetu acha wabaki na majukumu yao muhimu.

Hii kazi safari hii itakuwa nyepesi sana kuifanya.
 
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kinachotia moyo watu wengi wameelewa uhuni uliofanyika.
Mama ana Kasi sana kwenye kugawa Ardhi ya Tz, sijui ni kwa nini.
Iwe kwa kugawa kwa kukodisha miaka 99 au kuwapa bure wageni.

Na sasa kuna mashirika atayauza kwa kisingizio yanajiendesha kwa hasara, mfano NDC na NAFCO, ambayo yana umiliki wa maeneo ya Ardhi kubwa tu Tanganyika.

Atawapa wageni na kila kitu Chao ikiwemo Ardhi.

Eti Tz tuna Usalama wa Taifa, aisee!
 
Back
Top Bottom