ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,239
- 40,779
- Thread starter
-
- #81
Ulale sasaNyie wanaume mnaotafuta trending kwa kutia majina ya watu kwenye mada za kipuuzi, kudadeki 😏
naomba msije mkahusisha jina hili ShesRise_1 kwenye mada za kishamba Mwisho wa siku hata mimi ntaonekana mshamba wa aina hiyo pia
Today naamka nakutana na waraka mrefu kama mkojo wa mlevi 😭 ukinihusisha, honestly sijapenda
please, na mwingine yeyote anayefikiria kufanya hivi stop it guys
Hivi hamna mada nyingine za kuanzisha nyie wapuuzi? 😭
Mwanaume timamu, anayejiamini na mwenye pesa zake, hapigi kelele hivi Kwa status yake anaweza kupata mwanamke yeyote anaemtaka, so hawezi kupiga makelele...
- ShesRise_1
- nonsense
- Replies: 161
- Forum: JF Chit-Chats
Bhna niache 😅Ulale sasa
Ucku mwema 🤗Bhna niache 😅
We huoni naifadhi nyuzi zangu hapa
Lala wewe
Lala unonoUcku mwema 🤗