Pages From My JF Diary 📝

Pages From My JF Diary 📝

Kulikuwa na binti mmoja, maisha yalikuwa yamembana sana
bad situation.

Alikuwa amechoka kupita kiasi kimwili, kiakili na hata moyoni

Siku moja jioni, baada ya mawazo kumzidi, akajisemea

Ngoja nitoke kidogo, nipate fresh air, maybe nitatulia

Akatembea polepole bila mwelekeo maalum, akijaribu kupunguza mzigo wa mawazo

Ghafla, macho yake yakatua kwenye chupa ya ajabu iliyokuwa imekaa peke yake kama inamsubiri

Alipoisogelea mambo yakabadilika
Ile chupa ikaanza kumsemesha

Ndiyo, ikaanza kumsemesha kwa sauti laini, yenye utulivu, yenye maneno matamu ya kuvutia maneno yaliyomfanya ahisi kueleweka kwa mara ya kwanza baada ya muda mrefu

Ilikuwa ajabu sana lakini ilikuwa halisi 🫰 not movie

Binti alisimama kimya, akisikiliza

Ghafla, ile chupa ikafunguka taratibu kisha ikasema kwa upole😊

Kunywa kilichopo ndani yangu
Binti, akiwa amechoka na maisha, bila kusita akainyanyua na kunywa

Lahaula…!

Ndani ya sekunde chache, kila kitu kikabadilika

Akahisi kama mzigo wote aliokuwa amebeba umetoweka
Moyo ukatulia

Mawazo yakapoa
Ni kama amezaliwa upya ajabu ya kweli 🙌

Baada ya kuridhika na ile hali ya utulivu na furaha, ile chupa ikajifunga yenyewe tena, kimya kimya😢

kama haijawahi kufanya chochote🙌

Binti alitabasamu kidogo, akaiangalia ile chupa kwa mshangao na shukrani

Na hapo ndipo alipoamua kuipa jina
CHUPA YA MAAJABU

This is my magic bottle✨
kuna kipindi ilikua avatar now ipo kabatini
bad98342-6e9e-40fe-b635-efdf8c0dbef4.jpeg
 
Ulikutana nayo ambushing sehemu gani hii
 
Back
Top Bottom