Disappointment Pain Hits Different Unakabiliana nayo Vipi?

Disappointment Pain Hits Different Unakabiliana nayo Vipi?

ShesRise_1

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2025
Posts
17,749
Reaction score
42,229
Maumivu ni nini?

Maumivu ni hisia ya uchungu au usumbufu ambayo mwili, moyo au akili huipata pale kuna tatizo, jeraha, ugonjwa au emotional stress Sometimes pain is physical and sometimes it’s deep inside the heart

Kuna aina kuu mbili za maumivu
Maumivu ya mwili
Mf:

Kuungua
Kukatwa
Kuumwa kichwa
Kuumwa jino
Kuvunjika mfupa

Maumivu maumivu ya ndani

Mf:👇
Kuachwa na mtu unayempenda
Kufiwa
Kusalitiwa
Kukatishwa tamaa
Upweke
Kukosa kile ulichokuwa unakitamani
Au kua na matarajio makubwa na kitu&vitu na kisha viende kombo hupelekea hisia za maumivu

Unawezaje kukabiliana na hisia za maumivu ulitumia njia gani ?

Umewahi kumsaidia mtu mwenye mauvu fulani ulitumia njia gani?

Hua unajisikiaje ukiona mtu anapitia maumivu?

Umewahi kuumia kisha akatokea mtu akakuongezea maumivu?

Je umepona maumivu yako ?
Au umeamua kuishi nayo?

Nasaha yangu kama unajua huwezi kumponya,kumsaidia anaepitia maumivu basi ni bora zaidi kumuacha na maumivu yake ya kale usimzidishie ,usimuongezee maumivu zaidi

Karibuni😊😊


ShesRise_1 🖐
 
Maumivu kukata kwa siku hiyo hiyo haiwezekani ila unaweza kuyapunguza, mm hua nafanya kitu ambacho kitaniliwaza kwa wakati huo likes kusikiza mziki, kuongea na mtu khs hayo maumivu n.k
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom