ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 7,798
- 19,243
Nyie wanaume mnaotafuta trending kwa kutia majina ya watu kwenye mada za kipuuzi, kudadeki 😏
naomba msije mkahusisha jina hili ShesRise_1 kwenye mada za kishamba Mwisho wa siku hata mimi ntaonekana mshamba wa aina hiyo pia
Today naamka nakutana na waraka mrefu kama mkojo wa mlevi 😭 ukinihusisha, honestly sijapenda
please, na mwingine yeyote anayefikiria kufanya hivi stop it guys
Hivi hamna mada nyingine za kuanzisha nyie wapuuzi? 😭
Mwanaume timamu, anayejiamini na mwenye pesa zake, hapigi kelele hivi Kwa status yake anaweza kupata mwanamke yeyote anaemtaka, so hawezi kupiga makelele humu juu ya mtu asiyemjua kutokana na imagination tu
Hii ni ishara kuwa mtu anayeandika mada za aina hii ni debe tupu tu 😭 debe likilia ngongoloooo hakuna kitu ndani
Mwisho kabisa 😌 kuna mwana huku anaichapa vizuri sana halafu anaku zoom jinsi unavyotafuta trending kupitia mimi 🤣🤣🤣 noma sana