Nyerere alituingiza kwenye tatizo!! kwanini mzanzibar anaruhusiwa kuwa rais wa Tanzania bara na mtanganyika haruhusiwi kuwa rais wa Zanzibar?

Mganguzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2022
Posts
2,308
Reaction score
4,687
Siku moja tusikie mwigulu nchemba ni rais wa Zanzibar au tumuone mnyakyusa kutoka mbeya akiiongoza ikulu ya Zanzibar ! Kwa Nini mngoni ,mmatumbi na mndengeleko wasiwe na sifa ya kuongoza zanzibar ? Ila wazanzibar wanakuja kutawala Tanganyika? Kwanini muungano wetu upo kama msaafu Kila anaejaribu kuhoji anaonekana mkorofi ? Sisi wa bara tutaenda lini kutawala Zanzibar ?wazanzibar wananufaika zaidi na Tanganyika kuliko Tanganyika inavyoneemeka na Zanzibar ! Ninani atakuja kututoa kwenye huu mtanzuko usio na faida kwa Tanganyika?
 
Tulia kijana
 
Tuna muungano wa hovyo sana. Muungano wa changu changu, chako changu. Ni wakati sasa wa kuipigania Tanganyika iliyo huru, na itakayo ongozwa na wazawa; badala ya wageni wengi kutoka nchi jirani.
 
kwahiyo wewe shida yako ni mtanganyika tu awe raisi Zanzibar hauna jengine?
 
ni ujinga wamejaa kila mkoa wanamiliki maduka makubwa, ardhi, mashamba, na wanazaliana mno, watakuja kutureplace tusipokuwa makini, sisi kule hatutakiwi
 
WATANGANYIKA WAMEJAWA NA UJINGA.

wao ni kuwaza simba na Yanga tu.
Mimi baada ya Huyu mama, siwezi kukubali kuwa na Rais kutoka Zanzibar.
 
Tuna muungano wa hovyo sana. Muungano wa changu changu, chako changu. Ni wakati sasa wa kuipigania Tanganyika iliyo huru, na itakayo ongozwa na wazawa; badala ya wageni wengi kutoka nchi jirani.
Tena wa kipuuzi kabisa
 
Siku moja tusikie mwigulu nchemba ni rais wa Zanzibar au tumuone mnyakyusa kutoka mbeya akiiongoza ikulu ya Zanzibar ! Kwa Nini mngoni ,mmatumbi na mndengeleko wasiwe na sifa ya kuongoza zanzibar ? Ila wazanzibar wanakuja kutawala Tanganyika? Kwanini muungano wetu upo kama msaafu Kila anaejaribu kuhoji anaonekana mkorofi ? Sisi wa bara tutaenda lini kutawala Zanzibar ?wazanzibar wananufaika zaidi na Tanganyika kuliko Tanganyika inavyoneemeka na Zanzibar ! Ninani atakuja kututoa kwenye huu mtanzuko usio na faida kwa Tanganyika?

Nyerere sijawahi mkubali, ametuachia majanga sana,
 
Muungano ulipatikana kinajimu, muungano ukivunjika ndiyo mwisho wa CCM
 
Back
Top Bottom