*kwanza kabisa habari yenu wakuu
Aseee nimekereka sana na hawa NMB baada ya kuanza kufuatilia ATM card yangu iliyopotea toka january 7 nikapeleka taarifa kwenye tawivlao moja hapa DODOMA. Walinambia njoo baada ya wiki mbili week mbili zilipobisha nikaenda naaambiwa maombi hayajatumwa wakanambia njoo baada ya week mbili.baada ya hapo tukawa tumefunga chuo nikawa nimeondoka nimerud hivi mwezi wa tatu tarehe kumi na nane wananiambia kuwa card ilitengenezwa ikatumwa SENGEREMA ambako nilifungulia account yangu nikawauliza mbona niliombea hapa hiyo card wakanambia njoo baada ya siku tatu itakua ishafika hapa(hapo sikua mwenyew nilikutana na jamaa mwingine nae alikua na miezi minne anafuatilia anakuja kuambiwa card yake ipo KIGAMBONI
) sasa jana nimerud ikiwa ni takribani week baada ya kuambiwa nirudi, nilichokutana nacho naambiwa card bado haijafika nikamwuuliza huyo mzee ambae ndio yupo kama customer care kua mbona imekua mda sana sasa ananijibu "SASA MIMI NIFANYEJE" Ilibidi nimrudishie hilo hilo swali #kwa hyo unaniuliza mimi ufanyeje sio# akanirudishia form yangu na kunambia hana card kudadeki nilimaindi nikaona nitaharibu2 nikasepa ila NMB punguzeni usumbufu mbona CRDB ilikua week mbili tu jamanii
Sent using
Jamii Forums mobile app