Netanyahu "Bibi" Jioni hii Kapost kwenye Mtandao wa X

Netanyahu "Bibi" Jioni hii Kapost kwenye Mtandao wa X

Iran haiwezi kuua hata balozi wa nyumba kumi wa Tel Aviv
Hivi nyie taarifa za vita mnazipatia wapi? Mbona Kila siku viongozi wa Israel na US Wana lambishwa mchanga? Hivi mnadhani Kwa mnavyofichwa Kama sio mtu wa kufukunyua huwezi pata. Mnalishana upupu humu
 
Can be old video either!! Hata mimi nina video nying sijazipost na nikipost watu wanaweza kusema ni leo,kumbe nyingine za miaka mitatu nyuma..Tunataka afanye trending kama zamani za kutupa updates na taarifa za vita pamoja na kuongoza strategies za vita kama siku zote
Mtanyooka tu uongo wenu umewaumbua mnaua watu kwa maneno kutumia hisia!!!
 
🌟🤔Revolutionary Guard spokesman Brigadier General Ali Mohammad Naeini:

Doesn't Trump claim to have destroyed the Iranian navy? Then let him send his warships into the Gulf region if he has the courage.
 
🇮🇱🇺🇸⚡️🇮🇷 Israeli Broadcasting Corporation: The goals of the war in Iran must be re-evaluated as we are not progressing at the previously planned pace.

The difficulty of pushing the Iranian people to go out in large numbers to the streets is one of the challenges.
 
Israeli itadanganya mpaka lini kuwa Netanyau yupo hai? Mambo mangine ni ya kitoto sana. Watu wenye akili kama mimi nangojea nione kama wataweza kuficha hii mimba
We una akili Gani!?
 
Hamjiulizi kwanini habari hii ipo kwenye mitandandao tu? Kwenye television kubwa duniani haipo.

Angalieni msije kuwa Mmejazwa upepo na wajanja
 
Hamjiulizi kwanini habari hii ipo kwenye mitandandao tu? Kwenye television kubwa duniani haipo.

Angalieni msije kuwa Mmejazwa upepo na wajanja
Nyau karudi Tena ataanza kuwashona vizuri sana.
 
Mitandao ya kijamii ya viongozi wakubwa kwa 75% inapostiwa na wasaidizi wao waliopewa hiyo kazi, hivyo usiamini kila kinacho andikwa na kiongozi mkubwa kuwa ni yeye mwenyewe kaandika kwa mkono wake....
Okay Account ya Magufuli nani ana post?
 
Hivi nyie taarifa za vita mnazipatia wapi? Mbona Kila siku viongozi wa Israel na US Wana lambishwa mchanga? Hivi mnadhani Kwa mnavyofichwa Kama sio mtu wa kufukunyua huwezi pata. Mnalishana upupu humu
Top leaders (viongozi wakuu) wa Iran enzi za uhai wao

Hadi sasa viongozi wa Iran waliouawa wanafikia idadi ya 49+.

Haya leta ya Viongozi wa ISRAEL na USA
FB_IMG_1773606111651.jpg

Hivi mnadhani Kwa mnavyofichwa Kama sio mtu wa kufukunyua huwezi pata. Mnalishana upupu humu
Haya leta taarifa za viongozi wa ISRAEL NA USA waliouliwa
 
Kuna asilimia kubwa hii video ni AI na imeunganishwa vipande vya zamani pamoja

Kwenye sehemu Moja ya video inaonekana Netanyahu alitembelea mgahawa huo wa kahawa mnamo tarehe 13-03-2024

Jina la mgahawa ni sataf
1000038588.jpg
cafe,
angalia hiyo screenshot inaonyesha Tarehe ya risiti,bill😃
Hapohapo mtu gani anakunywa kahawa imejaa vilevile hata ha
1000038585.jpg
ipungui😬😄😄
 
Baada ya kipondo cha funga mwezi Feb 28,2026 .maadui zetu sasa hivi wanaweweseka na kuropoka maneno kama vichaa kwa kudai mimi nimekufa kwa mashambulio ya Iran hawakuishia hapo wakadai hotuba niliyoitoa ni AI maana nilikuwa na vidole sita kitu ambacho wajinga pekee wanaweza kukiamini.

Napenda kuufahamisha ulimwengu kuwa mimi ni mzima nakunywa kahawa na vidole vyangu vitano kwa mkono wa kulia na wa kushoto kama mnavyoniona.

Adui zetu silaha yao kubwa ni Uongo na Upotoshaji-Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu!! Taarifa hii waione wafuatao;
Adiosamigo gTurn gallow bird zitto junior na wote wanao omboleza kifo cha Gaidi Ayatollah Ali Khamenei kama vile kimsboy na Mme wake!!
Hiyo video ai,hata grok imessma ai,ukizoom tarehe japo kaunta ni march 2024,huo mgahawa upo mmoja tu Jerusalem na umefungwa kipindi hiki Cha vita
Kahawa jap kainywa mafunda mawili lakini haipungui
Japo kikombe kimejaa mpaka juu lakini hakuna tone lililodondoka
 
Back
Top Bottom